Makao Makuu Gani Haya? Dodoma Usiku ni Kama Kijiji!

Jackpiano

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2025
Posts
531
Reaction score
650
Makao Makuu Gani Haya? Dodoma Usiku ni Kama Kijiji! 🏙️❌

Wakuu, nashindwa kuvumilia hili nisilitupie JF. Nilikwenda Dodoma hivi majuzi kwa ajili ya interview, nikasema acha nipange basi kwenda mapema – nifanye interview asubuhi, nimalize mambo yangu, then nitafute basi la kurudi usiku huo huo.

Lakini balaa lilianzia hapo!

Baada ya interview nikawa nime enda restaurant fulani nikiikilia interview nikakimbilia stendi jioni kuelekea usiku, nikashangaa stendi yenyewe ipo pembeni kabisa karibu na kichaka! Ukishuka tu, unasafiri kwa miguu kwenye njia za bush hadi ufike ndani ya stendi. Yaani taa nyingi hazifanyi kazi, na hakuna hata ulinzi wa maana. Usiku ule nikaona mabasi matatu tu ndani ya stendi. Nikauliza nikaambiwa:
"Dodoma hakuna mabasi ya kuondoka usiku. Yale yalikuwepo ndiyo yamebaki hapa kwa kesho.

Nikabaki najiuliza: hivi tunalazimisha Dodoma kuwa makao makuu kwa nguvu za kiserikali tu au kuna mpango wa kuiendeleza kweli? Mji mkuu wa nchi unakosa:

Harakati za usiku

Mabasi ya safari za usiku

Taa za barabarani na stendi

Miundombinu ya usalama

Sasa kama mimi mgeni ningeibiwa pale au hata kushambuliwa, nani angenisaidia? Hii ni aibu kwa mji unaoitwa "Makao Makuu ya Taifa."

Maswali yangu kwa wana JF:

1. Kwa nini Dodoma bado haijawa na maisha ya usiku licha ya kuwa makao ya Serikali?

2Tunalazimisha au tunajenga maendeleo ya kweli?

Naomba tupige stori bila chuki, lakini kwa uzalendo wa kweli.
 
Pako vizuri mkuu,pamejengwa kwa mpangilio, huku ni usafiri wa Ndege na SGR, mabasi tumesahau!
 
ILA mkuu Umeandika uongo mwingi labla sio Dodoma hii nayoijua mm
 
Kwani wewe kwenu wapi?
 
Ujuaji mwingi, Kumbe ushamba kibao miaka ya leo tunakata tiketi mtandaoni jombaa na bus kupanda sio lazima uende stand pole sana.

Nyie ndio mnaotoka mikoa ya matakoni huko.
 
Sema ukweli, usiku wa kiza ilikuwa unatafuta nini? Wafanyao shughuli zao usiku mabarabarani siyo wengi kama huko utokapo.
 
Ujuaji mwingi, Kumbe ushamba kibao miaka ya leo tunakata tiketi mtandaoni jombaa na bus kupanda sio lazima uende stand pole sana.

Nyie ndio mnaotoka mikoa ya matakoni huko.
Sitaki kuingilia biffu lenu lakini kwa uhakika Miji iliyoendelea, BUS unatakiwa upandie Bus Stand na siyo Barabarani.

Ni kama Treni huwezi panda Treni vichakani, ina vituo vyake rasmi na ndivyo inapaswa kuwa kwa Buses.

Bus linapaswa liwe Stand na Liwe na Vibao au Electronic Sign kueleza linakwenda wapi kupitia wapi.

Na Kila Bus Linapaswa kuwa na Ofisi yake, Waweke Number za huduma kwa mteja, au Muda wa Bus Kuondoka na linaelekea wapi, ili abiria wake wawe na sehemu ya kuuliza au pa kuanzia.

Siyo kufanya mambo kiholela kama dala dala halafu tuite huo ndio ujanja.
 
Kweli kabisa iyo na support
 
Back
Top Bottom