tanga kwetu
JF-Expert Member
- May 12, 2010
- 2,193
- 1,441
Hizo hospitali kubwa zote unazozitaja serikali ndiyo iliyozifikisha hapo zilipo na Mh. Rais Mstaafu Mkapa kutaka kuficha mabaya yake akaamua kuyapatia makanisa na awali zilitaifishwa na Mwalimu na zilipotaifishwa na kuchukuliwa na serikali zilikuwa ktk hali duni serikali ikafanya mabweresho na Mkapa akazirudisha kinyemela kutaka kuficha zile biashara alizokuwa anazifanya ikulu na kawaziba mdomo kina Kitwana Kondo akatoa majengo ya Tanesco kuwapa the so called muslim university!
Bora yavunje MoU binafsi yangu pamoja na familia yangu aina msaada wowote tukiungua tunatibiwa kwa pesa zetu, na shule nalipa pesa kusomesha watoto na jamaa zangu...hiyo MoU ni kwa faida ya Kanisa na Wakiristo sijawahi kutibiwa bure wala sijawahi kusaidiwa hada ya shule kwa vijana wangu ni mie binafsi ndio napambana.
Kanisa haliwezi, na halitaweza kujiendesha bila kubebwa na serikali, Just for your information, sasa hivi hadi posho za madaktari serikali inagharamia tofauti na zamani ambapo posho zilitoka mahospitalini.
Bora yavunje MoU binafsi yangu pamoja na familia yangu aina msaada wowote tukiungua tunatibiwa kwa pesa zetu, na shule nalipa pesa kusomesha watoto na jamaa zangu...hiyo MoU ni kwa faida ya Kanisa na Wakiristo sijawahi kutibiwa bure wala sijawahi kusaidiwa hada ya shule kwa vijana wangu ni mie binafsi ndio napambana...hiyo MoU hata waivuje leo sawa tu aina faida kwa Waislam. tutaenda Aga Khan, TMJ, Hindu, Regence, kwa pesa zetu.
Kwanini watu mnapenda UONGO? kwamba wakoloni waeneza dini walijenga kwa pesa za walipa kodi? Sijapata hata mmoja kati yenu anayenifafanuliwa kipengele angalau kimoja kwenye MOU. sijapata kupata hata mmoja kati yenu aliyenieleza muongozo au TORs za NECTA na jinsi zinavyopendelea ukristo!! Ni majungu na verbal diarrhea's tu shame!!!usiende huko!
Mahospitali,makanisa,shule vilivyojengwa na mkoloni kwa hela ya watanganyika wa dini zote viliachiwa wakristo waendelee kuvimiliki baada ya uhuru, nyerere aliona mbali kuwa baadaye watu watakuja kuhoji hili hivyo akaleta ubabaishaji wa kujifanya kuvitaifisha baadaye kumuachia mwingine avirudishe!
Mou, necta, muungano ni vitu ambavyo wakristo hawatokubali kwa gharama yoyote ile viingiliwe kwa sababu ndiyo mihimili yenyewe ya mfumo kristo
kulijuwa hili ninalolisema angalia mtaharuki uliowapata wachangiaji hapa kuhusu hoja ya kanisa kuvunja mou na serikali.
Mkuu punguza hasira, alafu wafikirie na wengine wasioweza mapambano!.Bora yavunje MoU binafsi yangu pamoja na familia yangu aina msaada wowote tukiungua tunatibiwa kwa pesa zetu, na shule nalipa pesa kusomesha watoto na jamaa zangu...hiyo MoU ni kwa faida ya Kanisa na Wakiristo sijawahi kutibiwa bure wala sijawahi kusaidiwa hada ya shule kwa vijana wangu ni mie binafsi ndio napambana.
Kadhi, Mou, Sharia, OIC, Kuslimisha kila mtu...............
mna madai mengi, si haba.
ipo siku wajingawajinga watawasikiliza
Nimekopi hiki kipande tu ili wote mnaopiga blah blah kuhusu MOU bila kufaham imekusanya nn ndani yake mpate kufunguka - Waislam hawapigi kelele za bure tu.
Kwa bilioni 300 mlizopewa so far, mnaweza kujenga dispensary 600 kila moja ikigharimu milion 500; Mnaweza kujenga shule za kisasa 300 kila moja ikigharimu bilion moja. Mapaka serikali itakapokiri hadharani na kuwafidia waislam, fujo hazitaisha... zitapungua na kuibuka upya. Hiki ni kidonda kinachotuuma waislam.
Mnatoa majibu mepesi kama eti waislam nao hawjakatazwa kuomba, Mou ndo inaleta fujo Naijeria na kwingineko; Hili ni suala gumu na si la majibu ya kianti kama hayo.
Serikali haijashindwa, tatizo ni kwamba haijaamua.
Kama imeweza kujenga kilomita elfu 18 za lami kwa miaka 8 tu dhidi ya efu 11 tangu tupate uhuru iweje ishindwe kujenga hosptl na shule?
Msiitetee serekali kwavile mnanufaika na MoU. Mbona kwenye kuwaongeza mishahara madaktari na waalim nyie ndo mlikuwa mkiilaumu serekali kuwa haitaki kuwapa madokta na waalim stahiki yao wakati uwezo inayo?
Iweje kwenye hili muitete serikali kama sio kwa vile mnanufaika?
mkuu unalalama juu ya MoU huku umejificha nyuma ya kioo cha laptop.
changamka kama Ponda upelekwe mahakama pekupeku.
Makanisa yavunje MoU na Serikali.