Mdondoaji ni CCM ndiyo imefanya haya yote; mwaka 2010 kundi la watu (wakiwemo Waislamu wengi tu) walitaka CCM irudi madarakani. Sasa hilo la MoU siyo la Wakristu ni la serikali ya CCM. Imeshaoneshwa huko nyuma ni Ally Hassan Mwinyi (Muislamu) ambaye aliingia mkataba huo na wakati wanaingia na kanisa walifanya pia na Imam Aga Khan (Muislamu). Hicho kilichoingiwa kwa Kanisa kiliingiwa na kwa Aga Khan na taasisi yake inafanya karibu mambo yale yale ambayo yanafanywa na makanisa (elimu, shule n.k).
Ni kweli wakiamua kuvunja hii MoU isiwe nusu nusu; ihusishe na hizi taasisi nyingine lakini kama watu kweli wanataka an absolute secularization ya serikali yetu wasiishie hapo waende mbele zaidi.
Mdondoaji ni CCM ndiyo imefanya haya yote; mwaka 2010 kundi la watu (wakiwemo Waislamu wengi tu) walitaka CCM irudi madarakani. Sasa hilo la MoU siyo la Wakristu ni la serikali ya CCM. Imeshaoneshwa huko nyuma ni Ally Hassan Mwinyi (Muislamu) ambaye aliingia mkataba huo na wakati wanaingia na kanisa walifanya pia na Imam Aga Khan (Muislamu). Hicho kilichoingiwa kwa Kanisa kiliingiwa na kwa Aga Khan na taasisi yake inafanya karibu mambo yale yale ambayo yanafanywa na makanisa (elimu, shule n.k).
Ni kweli wakiamua kuvunja hii MoU isiwe nusu nusu; ihusishe na hizi taasisi nyingine lakini kama watu kweli wanataka an absolute secularization ya serikali yetu wasiishie hapo waende mbele zaidi.
Mkuu! si lazima Myahudi,Mpagani au Mkristo aeneze dini yake popote anapokwenda!..hebu nieleze ni wapi hapa Tanganyika ambapo Waarabu walieneza Ukristo, Uyahudi, au Upagani, ili tuweze kuwanasibisha na imani hizo..
Ulijuaje hilo la ushawishi wakati umeambiwa hapa kuwa alihamia baada ya kuitwa na Wakilwa?JokaKuu said:..kuhusu Sultani na kuhamia Zanzibar, bila shaka alifanya hivyo kutokana na kishawishi cha biashara ya WATUMWA pamoja na pembe za ndovu
Mzee Mwanakijiji,
Umesema Waislam wengi ndio walitaka CCM irudi madarakani, unataka kutuambia Wakiristu wengi nao walitaka Chadema wachukuwe dola.....
Wow!Sikonge, kwa nini wavunje? Mimi naona kuwa hili ni Hannity zuri linalofaa kuigwa. Hivyo ushauri wangu ni Huu-nendeni shule mkapate elimu ya kuweza kuandika proposal kuomba makubaliano na serikali.
Sideeq,
..ndugu yangu, hata Tanzania tuliitwa Ushelisheli kuwasaidia wakati makaburu walipojaribu kuwavamia. Lakini hukusikia Mwalimu Nyerere akihamisha makao makuu toka Dodoma kupeleka Port Victoria baada ya JWTZ kuwatimua makaburu.
..zaidi, Muarabu alijimilikisha eneo zima la pwani ya Afrika Mashariki mpaka alipokuja kuporwa na wazungu. Vilevile Waarabu alikuwa wakifanya vurugu[terror] kubwa sana ktk interior of Tanganyika mpaka Congo ambapo walikuwa vinara/wamiliki wa njia za kusafirisha WATUMWA.
..NOW, tunaweza tusikubaliane ktk mambo mengi, lakini nadhani hakuna mashaka yoyote kwamba DINI hizi mbili zililetwa katika zama za UKATILI na UDHALILISHAJI mkubwa kwetu sisi WAAFRIKA. Wakati mwingine huwa nawaza kama kweli MUNGU alikua na nia Waafrika nao wawe waumini wa dini hizi.
Mdondoaji ni CCM ndiyo imefanya haya yote; mwaka 2010 kundi la watu (wakiwemo Waislamu wengi tu) walitaka CCM irudi madarakani. Sasa hilo la MoU siyo la Wakristu ni la serikali ya CCM. Imeshaoneshwa huko nyuma ni Ally Hassan Mwinyi (Muislamu) ambaye aliingia mkataba huo na wakati wanaingia na kanisa walifanya pia na Imam Aga Khan (Muislamu). Hicho kilichoingiwa kwa Kanisa kiliingiwa na kwa Aga Khan na taasisi yake inafanya karibu mambo yale yale ambayo yanafanywa na makanisa (elimu, shule n.k).
Ni kweli wakiamua kuvunja hii MoU isiwe nusu nusu; ihusishe na hizi taasisi nyingine lakini kama watu kweli wanataka an absolute secularization ya serikali yetu wasiishie hapo waende mbele zaidi.
Kwa nini Pro-Chadema wengi uwa wanakuwa upande wa CCM linapokuja suala la MoU... halafu hapo hapo eti wana mawazo ya kuing'oa CCM madarakani wanachekesha sana.
Boko haram wanapochoma makanisa huko Nigeria ni kwa Sababu ya MOU?????
Ndg yangu mikoa yote uliyoitaja imedidimizwa makusudi na mfumo K, kwa sababu hata huduma za kijamii tu we angalia, ile mikoa yenye waislam wengi hata barax2, zimeanza kujengwa hivi karibuni tu. kwa hiyo hayo yote ni matokeo ya mfumo K, na ndo maana waislam wanataka usawa, kama ilivyo wanawake walivyokandamizwa na mfumo dume walikuja wakaanza kudai haki zao na sasa hivi wameanza kuzipata, the same to Muslim kudai wanaonewa si dhambi, wapewe haki zao, na niwakumbushe tu wakatoliki wenzangu, kwamba waislam tumewastua wenyewe kutoka usingizini, kwa sababu, pale wanapodai haki zao sisi tumekuwa wakwanza kutoa matamko mazito kupitia kwa viongozi wetu wa kiroho, wakati wao wanaidai serikali, na hata kwenye katiba munafanya hivyox2, sasa naombeni muwaache waislamu waidai serikali yao haki zao, na ninyi bakini na mambo yenu, lkn vinginevyo ninaona hatari tu. na naomba mungu atuepushe na balaa hili. Ameeeeeen.Tatizo la waislamu lipo karibu kwa watu wote, WALIOSOMA NA WASIOSOMA. Wakati unategemea waliosoma wawasaidie ambao hawajasoma unakuta na wao wakiwa kwenye vikao vyao wote wanawaza vilevile. Mapendekezo ya mtoa mada siyo tu ni ya kitoto bali pia yanaonesha ni ya mtu aliye soma lakini ameamua kufikiri kama wasio soma.
NI KAMA ANAPENDEKEZA KUWAWALIO ENDELEA WAWASUBIRI WALIO NYUMA KIMAENDELEO.
Waislamu walio wengi elimu kwao ni kama anasa. Ukiangalia maeneo yaliyo na waislamu wengi mahudhurio ya watoto wao shuleni yako chini ya asilimia 50. Ukienda BAGAMOYO, CHALINZE, LINDI YOTE, MTWARA YOTE KASORO MASASI, siku mvua ikinyesha tu asubuhi mahudhurio yanashuka hadi asilimia 25!! Hali kama hiyo huwezi kuikuta Kilimanjaro, Mbeya, Shinyanga, Iringa, Ruvuma, na maeneo yote ya wakristo wengi.
Kama wakitambua kuwa elimu ni ufunguo wa maisha basi ungetegemea kuona wanajenga shule nyingi zenye ubora wa hali ya juu na kuimarisha uongozi wa shule zao sambamba na kutafuta walimu wenye sifa nzuri kitaaluma na siyo kiroho tu. Shule zao siyo tu zinatia huruma lakini pia nyingi zinaendeshwa kimagumashi. Karibu zote wastani wa kufaulisha watoto kwenda kidato cha tano ni asilimia kati ya 2 hadi 5 tu.
USHARI WANGU NI wajitathini wenyewe kwanza.
Mkuu Sikonge,
Kwa labda nikusahihishe hizi MoU ni kwa taasisi zote ambazo si za kiserikali ziwe za kidini au kipagani inabidi zivunjwe kwa manufaa ya Taifa letu najua wadau wengi wamechangia labda nitakuwa narudia
1. MoU ni wizi tu rasiamali zetu kwa kutumia mgongo wa dini; taasisi husika zimekuwa zipokea free handout kutoka serikalini kwa kisingizio cha kupunguza gharama Za matibabu je ni kweli gharama zao ni nafuu? Si kweli hata kidogo hawana tofauti na hospitali za binafsi, ikiwa waislamu wanamudu kwenda hospitali za binafsi basi elewa fika hawatashindwa kulipia huduma za hospitali za taasisi husika.
2. Pesa wanazolipishwa wananchi zinakwenda wapi? Ni kweli pesa wanazolipa wananchi na pesa wanazopokea kutoka MoU zote zinakwenda kwenye kupunguza gharama za matibabu? Hayo si kweli taasisi husika zinatumia udhaifu wa serikali pesa hizo hizo ndizo zinazotumika kwenye miradi mengine ya elimu; ukichunguza kwa makini taasisi husika zimeweza kuongeza idadi ya mashule na vyuo baada ya mfumuko wa pesa MoU tusidanganyane eti ni pesa za sadaka za waumini.
3. Ikiwa hizi ni taasisi za kidini zinafanya kazi ya Mungu kuna ulazima gani wa wao kuchukua pesa kutoka serikalini? Hapo thawabu inapata serikali au taasisi husika? Yaani ni sawa kwa muumini aliyeshindwa kwenda kwenye sala na kumupa pesa jirani akamtolee sadaka.
3. Ukirudi kwenye hizi handout waathirika sio waislamu pekee wapo wakristo wengi tu waathirika wa wizi huu; inakuwaje taasisi husika zinachangia kujenga matabaka kwenye jamii? Ni kichekesho kwani hata hapa US upuuzi huu uliachwa siku nyingi zipo taasisi za kweli za kidini hatozi ada yoyote kwenye matibabu;inakuaje Tanzania tumeuzwa wajinga kiasi hiki kutetea upuuzi ambao athari zake ni kuja kuuana uvumilivu una kikomo; wana historia someni mapinduzi ya ulaya yalitokana na nini?
Niwahi kufanya kazi kwenye taasisi ya kidini hapa US kila mwisho mwaka kila mfanyakazi anapewa bonus kati dola 1000-700 baada yakutoa gharama zote kinachobaki kinagiwa wafanyakazi kwasababu zipo chini not for profit organization je hicho ndicho kinachoafanyika hapo Tanzania!Ningeomba nyie washabiki wakubwa mmoja wenu ende kwenye hospitali mnazozitetea aombe kutibiwa bila pesa halafu arudi hapa jamvini atueleze hatima yake.
Chama
Gongo lamboto DSM
Yai na kuku nini kimetangulia!!! Unaondoa ruzuku gharama zipande watu wafe kwa kukosa matibabu wakati unajenga hospitali? Zote zingekuwa za serikali bado ruzuku ingetolewa na bado ingeendelea kujenga hospitali mpya!!Serikali ijenge kwa pesa gani wakati mabilioni ya pesa za serikali zinakwenda Kanisani kupitia MoU.
Unataka serikali ikachukuwe mkopo wenye riba kujenga hizo hospitali na Vyuo bora, mkopo na riba ambazo baadae zitawaumiza wananchi wenyewe wakati hela zao zipo zinakwenda Kanisani?
...ivunjwe MoU kwanza!
Hawa hata huko kwenye nchi ambazo ni za dini yao, huwa hawaishi kulalamika. Hapa kwetu Ukristo ni ajenda yao ya kudumu ili ufutwe. Hata ukiufuta watatafuta sababu nyingine. Je, nini kinatokea Iran, ambako alitokea kiongozi wao na hata kuwa na uwezo wa kutangaza hukumu ya kifo kwa mtu ye yote ( Ref Salimin Rushdie). Wanalalamikia MoU ya Wakristo, nani wao kawazuia kujenga shule na hospitali za kwao. Rais Mkapa aliwapa chuo cha Tanesco Morogoro, badala ya kuwa Chuo Kikuu sasa ni uchochoro wa dini. Chuo hicho kilikuwa ni amli ya umma, iweje wapewe kundi la watu wenye imani moja. Mbona Wakristo na wasoi wakristo hawalalamiki. Hawa watu inafaa kuwajibu bila mafumbo maana wanazidisha uwongo, na uwongo ukirudiwa mara nyingi huweza kuonekana kama ukweli. Hili wanalijua ndio maana wanarudia rudia ili uwogo ugeuke ukweli. Tuwaombe wale ambao ni Waislam na wana elimu ya kutosha wasaidie taasisi zao kujenga vyuo, shule na hospitali. Huwezi kuvunja MoU, bila kuumiza watu wengi wakiwemo wao pia, maana pamoja na kelele zote hizo bado wanatibiwa huko huko na hawabaguliwi. Kelele zote ni chuki ya ukristo, basi.Kenya, Somalia na kwingineko Waislamu wanalalamika tu!!! Huko nao kuna MOU????
Hawa hata huko kwenye nchi ambazo ni za dini yao, huwa hawaishi kulalamika. Hapa kwetu Ukristo ni ajenda yao ya kudumu ili ufutwe. Hata ukiufuta watatafuta sababu nyingine. Je, nini kinatokea Iran, ambako alitokea kiongozi wao na hata kuwa na uwezo wa kutangaza hukumu ya kifo kwa mtu ye yote ( Ref Salimin Rushdie). Wanalalamikia MoU ya Wakristo, nani wao kawazuia kujenga shule na hospitali za kwao. Rais Mkapa aliwapa chuo cha Tanesco Morogoro, badala ya kuwa Chuo Kikuu sasa ni uchochoro wa dini. Chuo hicho kilikuwa ni amli ya umma, iweje wapewe kundi la watu wenye imani moja. Mbona Wakristo na wasoi wakristo hawalalamiki. Hawa watu inafaa kuwajibu bila mafumbo maana wanazidisha uwongo, na uwongo ukirudiwa mara nyingi huweza kuonekana kama ukweli. Hili wanalijua ndio maana wanarudia rudia ili uwogo ugeuke ukweli. Tuwaombe wale ambao ni Waislam na wana elimu ya kutosha wasaidie taasisi zao kujenga vyuo, shule na hospitali. Huwezi kuvunja MoU, bila kuumiza watu wengi wakiwemo wao pia, maana pamoja na kelele zote hizo bado wanatibiwa huko huko na hawabaguliwi. Kelele zote ni chuki ya ukristo, basi.
Point taken.nadhani unafahamu nini maana ya neno KUJITOLEA ukidai pesa huko si kujitolea ni biashara; nimeshakuambia hizi pesa MoU hazitumiki kwenye huduma za afya kama wengi mnavyodai; na ndio zimechangia kwa kiasi kikubwa mfumuko wa mashule na vyuo;
ikiwa kama makanisa ya pesa ya kujenga mashule na vyuo kama ambavyo wengi mnavyodai iweje yashindwe kuhuduma hospitali zake? Hebu nionyeshe ni hospitali gani ya kanisa utakayokwenda kupewa matibabu bila pesa;
Hebu nenda Agakhan Hospitali na hospitali yoyote ile hapo Dar ya kanisa omba matibabu bila pesa tuone kujitolea kwao.
Mkuu Sikonge
Tabora naifahamu vizuri sana mimi nilikuwa mmoja wa vinara wa Gongoni Stars; huu mjadala MoU ulianza kiasi cha mwaka hivi mwanzoni niliuunga mkono kwasababu sikufahamu undani niliangalia zaidi dhana ya kusaidia watanzania wote bila kujali dini; na huo ndio utaifa wetu; naunga mkono sana kwa taasisi ziwe za kidini na NGO kujitolea kuwasaidia watanzania kwenye nyanja ya elimu na afya; nadhani unafahamu nini maana ya neno KUJITOLEA ukidai pesa huko si kujitolea ni biashara; nimeshakuambia hizi pesa MoU hazitumiki kwenye huduma za afya kama wengi mnavyodai; na ndio zimechangia kwa kiasi kikubwa mfumuko wa mashule na vyuo; ikiwa kama makanisa ya pesa ya kujenga mashule na vyuo kama ambavyo wengi mnavyodai iweje yashindwe kuhuduma hospitali zake? Hebu nionyeshe ni hospitali gani ya kanisa utakayokwenda kupewa matibabu bila pesa; Nimekupa mfano hata hapa Marekani zipo hospitali zakujitolea za kiisalamu zinawasaidia sana waumini wa dini zote hawakutozi hata senti moja kutoa utatoa wewe mwenyewe kusaidia kuendesha hospitali na kama utahitajika kupata matibabu zaidi wao wanakusaidia kupata matibabu karibu na bure huwezi kuniambia hizi taasisi zinapokea mamilioni kwa mwaka halafu eti wanajitolea tusidanganyane huo ni wizi sawa na ile mikataba ya madini. Hebu nenda Agakhan Hospitali na hospitali yoyote ile hapo Dar ya kanisa omba matibabu bila pesa tuone kujitolea kwao.
Chama
Gongo la mboto DSM