Makanisa yavunje MoU na Serikali...

Makanisa yavunje MoU na Serikali...

Mkandara,

..sasa MOU unaweza kusema ni tatizo la Waislamu dhidi ya Wakristo.

..je, umewahi kukaa na kuwasikiliza Wakristo nao wana matatizo gani dhidi ya Waislamu?

..panahitajika busara ya hali ya juu kurudisha UMOJA WA KITAIFA ktk nchi yetu.
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi;
Huu ni mfano tu wa yale tunayopinga Tanzania

Funding Catholic schools and not those of other faiths equates giving them a privilege others don't enjoy, Ontario government lawyers agreed Wednesday, but said it's still a constitutionally protected right.
A Toronto woman is asking Ontario's Superior Court to order the government to stop funding Catholic schools because as a taxpayer who doesn't share the church's beliefs, she says it infringes her freedom of religion.
But as the funding was guaranteed in 1867 in the constitution, it is not subject to charter challenges, court heard.
Judge David Corbett, questioning the government lawyers, noted that section of the constitution was put in place at the time of Confederation to protect the rights of the Catholic minority, when the Protestant majority had the benefit of a Protestant school system.
Today the school system is secular and yet Catholic schools remain publicly funded, turning a law that was once intended to protect minority rights into one that confers a privilege, Corbett said.
Josh Hunter, a lawyer with the Ministry of the Attorney General, agreed.
Ontario, he said, could create other denominational school rights, as other provinces have.
"We had an election on that a few years ago," he said.
In 2007, then-Progressive Conservative leader John Tory lost a provincial election after his proposal to extend funding to schools of other faiths became a controversial part of his campaign.
Reva Landau, the woman in this case, said Tory's proposal first gave her the idea to launch her challenge. She believes no religious school should be publicly funded, but said she thought at least Tory's idea was fairer than the current system.
"Someone who's Buddhist or Muslim or Jewish or atheist who wants to send a child to a school that promotes their particular philosophy has to pay for it fully out of their own pocket," Landau said outside court Wednesday.
"Only Roman Catholics get the chance to send their children to a school that promotes their philosophy without having to pay any extra out of their pocket. So if we live in a multicultural society does that seem fair? Does that seem just?"
The Roman Catholic school system gets about one-third of Ontario's $24-billion education budget, but only 23 per cent of electors direct their education taxes to separate schools.
The province asked the court to dismiss Landau's challenge because the case has already been decided, as the Supreme Court of Canada has heard four similar cases. The government suggested Landau isn't raising any new issues that would lead the Supreme Court to reconsider their decisions.
It should also be dismissed because Landau doesn't have standing, Hunter said. For a citizen to challenge a law there must be a link between them and the law.
"Otherwise any taxpayer could challenge any law they didn't like," he said. "You clearly have to have that direct link and paying taxes isn't enough."
The Canadian Civil Liberties Association is intervening in the challenge and is supporting Landau.
Landau is asking the Ontario Superior Court of Justice to order that the government stop funding Catholic high schools and only fund Catholic elementary schools to the extent they were funded in 1867 at the time of Confederation.
That would amount to being funded with "only property taxes from Catholics who declare themselves to be separate school supporters and who live within three miles of a separate school, and property taxes from wholly Catholic owned businesses," Landau wrote in her challenge.
© The Canadian Press, 2012

cc Ritz, Mohamed Mtoi, Sikonge, Mkandara, ASHA Dii, Nguruvi3
 
Mkuu chama,
Bandiko lako limefunga huu mjadala wa MoU.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu chama,
Bandiko lako limefunga huu mjadala wa MoU.

Mkuu Ritz,
Hii itasaidia sana kuwafungua macho watu kama Mohamedi Mtoi; huu ni mfumo umedumu kwa karibu karne nzima watu wanataka fair play wamechoka na upuuzi; US walishapiga chini mfumo huu siku nyingi tu; tutaelemishana kwa kadri ya uwezo atakaotujalia Mola.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu chama,
Na hii ni nchi ya Kikirstu inajulikana itakuwa kazi kubwa sana unless swala zima zimetokana kwa Wayahudi maana ndio wanaotawala uchumi wa nchi. Province nyinginezo wameisha uondoa zamani lakini hapa makao ya Ukristu kuna kazi..
 
Mkuu chama,
Na hii ni nchi ya Kikirstu inajulikana itakuwa kazi kubwa sana unless swala zima zimetokana kwa Wayahudi maana ndio wanaotawala uchumi wa nchi. Province nyinginezo wameisha uondoa zamani lakini hapa makao ya Ukatoliki kuna kazi..

Mkuu Mkandara
Najua sana hilo lakini safari hii wana support ya CCLA litakwenda mbali sana unajua jamaa wana wanasheria wakali matajiri na hawaoni tabu kutetea hoja.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Wakuu zangu chama na Mkandara, endeleeni kutoa elimu ya uraia kwa watanzania kuhusu MoU kati ya Kanisa na Serikali.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu zangu chama na Mkandara, endeleeni kutoa elimu ya uraia kwa watanzania kuhusu MoU kati ya Kanisa na Serikali.

Mkuu Ritz;
Tutaendelea na somo hakuna anayetaka uvunjaji wa amani katika nchi yetu; wala hatupingi taasisi zisijitolee; tunataka watu waishi kwa amani tunapinga kuunda matabaka athari zake ni mbaya waliotutengenezea mifumo hii hawaishi Afrika tukiuana wao watakuwa baridi tu wanaendelea na maisha yao; yaliyotokea Rwanda chanzo chake ni mfumo wa matabaka uliotengenezwa na wakoloni; ni bora watanzania tuanze kuyaepuka bado mapema.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu Ritz;
Tutaendelea na somo hakuna anayetaka uvunjaji wa amani katika nchi yetu; wala hatupingi taasisi zisijitolee; tunataka watu waishi kwa amani tunapinga kuunda matabaka athari zake ni mbaya waliotutengenezea mifumo hii hawaishi Afrika tukiuana wao watakuwa baridi tu wanaendelea na maisha yao; yaliyotokea Rwanda chanzo chake ni mfumo wa matabaka uliotengenezwa na wakoloni; ni bora watanzania tuanze kuyaepuka bado mapema.

Chama
Gongo la mboto DSM

Nyie endeleeni tu kukalia politic badala ya kwenda shule na kupeleka watoto wenu shule. Sasa hiv mnakumbuka shuka kumeshakunja lakini nafuu yenu ni kwamba ndo kwaaaanza machweo japo kumeshakucha. Mkiendelea na hizi blahblah mtakuja kushtuka ni saa nne asubuh, mara saa saba mara saakumi na mbili halafu ndo hivyo tenaaaaaaa....mawio. endeleeni tu kudanganyana mkidhani eti wenzenu watawasubiri pahala...mwenye maskio na askie neno bwana awaambialo kanisa...tchaooo
 
Nyie endeleeni tu kukalia politic badala ya kwenda shule na kupeleka watoto wenu shule. Sasa hiv mnakumbuka shuka kumeshakunja lakini nafuu yenu ni kwamba ndo kwaaaanza machweo japo kumeshakucha. Mkiendelea na hizi blahblah mtakuja kushtuka ni saa nne asubuh, mara saa saba mara saakumi na mbili halafu ndo hivyo tenaaaaaaa....mawio. endeleeni tu kudanganyana mkidhani eti wenzenu watawasubiri pahala...mwenye maskio na askie neno bwana awaambialo kanisa...tchaooo

Angalia kulia na kushoto utaona wapo wakristo wengi tu wanashida kama watanzani wengine sioni hilo unalojigambia mfumo huu hauna maslahi kwa wote.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu chama,
Mimi nafikiri mfano ulioleta hauendani na MoU inayolalamikiwa.
Huko Canada, inaonekana Serikali ina-fund catholic schools. Hapa kwetu haipo hivyo. Siamini kama kuna shule ya kidini inapewa pesa na serikali.

MoU inafanya serikali igharamie huduma za hospitali ambazo zimekubalika, na kwa huduma ambazo serikali imeshindwa kuzitoa na badala yake inasaidiwa na Taasisi za kidini. Siku serikali ikiweza kusimama peke yake na kutoa huduma hizo kwa jamii nzima ya kiTZ, basi automatically inaweza ikaacha kusaidia gharama kwenye hospitali zilizo chini ya MOU.

 
Nyie endeleeni kulalamika tu wakat wakrsto na makanisa yanaendelea kujenga mashule na mavyuo watoto wa wakrsto wapo medium schoo,sec, na vyuo vkuu alafu baadaye muanze kuomba vyeo vya bure...na kusema matokeo yasaishwe upya....fanyeni kaz na muende shule hizo hoja kwa karne hii na kumpgia mbuzi gtaa....wenzenu wapo busy kutafta maendeleo nyie mnalalamika kila kukcha
 
Mnaona fahari kuujadili udini udini tu hapa,siku tutakapovuna matunda ya hichi tunachojadili hapa(udini) athari zitatuhusu sisi soote hapa.
 
Nyie endeleeni kulalamika tu wakat wakrsto na makanisa yanaendelea kujenga mashule na mavyuo watoto wa wakrsto wapo medium schoo,sec, na vyuo vkuu alafu baadaye muanze kuomba vyeo vya bure...na kusema matokeo yasaishwe upya....fanyeni kaz na muende shule hizo hoja kwa karne hii na kumpgia mbuzi gtaa....wenzenu wapo busy kutafta maendeleo nyie mnalalamika kila kukcha

young Tanzanian waambie wewe mkuu, labda wataelewa. Hawa watu wamekuwa brainwashed na hizi iman za mungu za kikoloni hadi wamepumbazika kabisa. Badala ya kufikiri kama Mtanzania Mwafrika wao wanafikiri kama mhindu, m-budha nk. Kutawaliwa kifikra ni kitu mbaya sana.
 
Nafikiri kwa wenye mapenzi mema na Tanzania wataliona na kugundua kuwa MoU na BAKWATA ni mabomu yanayokaribia kulipuka na kuiweka nchi yenu katika hali mbaya sana.

Poleni sana
 
Acheni kulalamikia jasho letu.sie tunafanya kazi sana na tunapata hela sana na tunatoa sadaka/malimbuko sana na ndo mana tuna uwezo wa kujenga hosp,schools n.k
Na nyie igine hivyo na mtafanikiwa.
Amen.
 
TAMKO LA MAASKOFU TANZANIA


Memorandum of Understanding" (M.o.U) ya mwaka 1992, kwa ajili ya huduma za kijamii zitolewazo na Makanisa kwa Watanzania wote, ikiwa ni pamoja na huduma za hospitali, vituo vya afya na zahanati na shule mbalimbali zinazoendeshwa na Makanisa nchini kote. Ni vema ikaeleweka wazi kwamba makubaliano hayo (M.o.U) yalikuwa ni kati ya Makanisa ya Tanzania na Makanisa ya nchini Ujerumani ambapo Serikali ya Tanzania ilihusishwa tu, kwa vile raia wake ndio wangenufaika na misaada hiyo ambayo nchi ya Ujerumani ingeitoa kupitia Makanisa hayo. Kanisa limeendelea kujishughulisha na huduma hizi kwa jamii hata kabla ya uhuru na baada ya uhuru pasipo ubaguzi. Ikibidi ni vema kuondoa hali hii, ya Kanisa kuendelea kutukanwa, chuki na kukashifiwa viongozi wake kutokana na huduma hizi kwa jamii yote. Jukwaa la Wakristo Tanzania tunaitaka Serikali itoe tamko la ufafanuzi juu ya M.o.U hiyo, maana yake, makusudi yake na manufaa yake kwa Watanzania wote.


document za MOU


cover.jpg


"The Government shall provide financial asssistance to Church insituttions and shall seek financial assistance to Church run social services in its bilateral negotiations with foreign governments"

source:The Memorandum of Understanding between the Government of the United Republic of Tanzania and the Tanzania Episcopal Council (TEC) and the Christian Council of Tanzania-page 3

UPI UKWELI?
KWANINI KAMA SEREKALI IMESHIRIKI KATIKA MUUNGANO WA MAKANISA TANZANIA. KWANINI INAZUIA KUUNGANISHA TANZANIA NA OIC KAMA ILIVYOFANYA KWA MAKANISA?
 
kwa hapa serikali ilikosea kweli kweli,ilipendelea upande mmoja.Pengine mimi ningewashauri waislam kwamba hatua nzuri ya kuchukua ambayo pia ni ya kimaendeleo.

Na sisi tuanzishe mahospitali makubwa makubwa halafu tuwe tunaomba ruzuku ya kuyaendeshea kutoka serikalini.Kwa kufanya hivyo tutakuwa tunaimarisha sekta ya afya na hivyo kuwasaidia wananchi kwa ujumla lakini pia tutakuwa na sisi tuna miradi mikubwa.
 
Back
Top Bottom