Makanisa yachomwa moto Zanzibar

Makanisa yachomwa moto Zanzibar

Status
Not open for further replies.
Inasikitisha kuona katika ustaarabu wa dunia ya leo bado tuna watu ambao kiwango cha ukubwa wa imani ya dini yao ni chuki dhidi ya watu wengine. Huu ni uhuni a,bao wangekuwa wamefanyiwa wao saa hizi mambo ni mengine hapa. Kinachonishangaza ni serikali kutokuwa na macho ya kuliona hili. Kama tuna intelijensia ya kugundua fujo fikirika zitakazotokea endapo watu wataandamana kwa amani kudai kitu ambacho ni haki yao, leo hii inakuwaje tushindwe kudhibiti haya?

Si muda mrefu sana zimechomwa baa na maduka ya ufukweni ya watu wa bara huko huko unguja. Huu ni uhuni ambao serikali inaufumbia macho kwa manufaa ya nani, mimi sijui! Ila kwa ndugu zangu ambao mnajifanya kutukemea tunapotaka kuandamana kupinga ufisadi na katiba fisadishi kwa kisingizio cha kuwa tutaharibu amani, huu ndio uharibifu wa amani na wala sio maandamano ambayo yanahusisha watu wa dini na jinsia zote.

Nichukue nafasi hii kumkumbusha Mama Kilemba aliyejaa udini na u-CCM Faiza Foxy na ndugu yake Malaria Sugu kuwa ili tuishi kwa amani wanatakiwa waielimishe jamii ya watu wenye akili kama zao juu ya haki za watu wengine. Faiza Foxy awe muungwana tu kutuonesha jinsi KANISA lilivyoshiriki ktk uhuni huu kama jana alivyonadi kuwa ni kanisa huwa linaanzisha mauaji.

Ni shetani tu ndiye mwenye haki ya kuangamiza wengine kwani Mungu alim-grant permission ya kufanya hivyo.
 
Faiza Foxy na Malaria sugu watakutoeni roho. Inauma eeeh. Big up FF/MS. Mnawaumiza akina YESU ni MUNGU. Viva JF.
 
siku zote waislamu ni washenzi kuliko wanyama...eeh MWENYEZI MUNGU walipe sawa sawa na matendo yao hawa wavivu wa kufikiri na wabaguzi ....ndo maana hayaendelei hya na tatizo kubwa ni hivyo vyuo vikuu vyao wanavyosoma kuanzia chekechea a.k.a madrasa

Inauma eeeeh, inachoma eeeh. Ata bado, ndiyo kwanza mkoko unaalika maua. Waislam si kama wanyama, subirini basi muone kali yao. Mtajua kama ni wanyama au binadamu.
 
Faiza Foxy na Malaria sugu watakutoeni roho. Inauma eeeh. Big up FF/MS. Mnawaumiza akina YESU ni MUNGU. Viva JF.

A single sentence is enough to show how stupid one is.
(Tatizo lenu elimu)
 
Hapo kunakitu hakijaelezewa vizuri. kwanini hao polisi wasiwakamate waliowakuta wanavunja kwa mahojiano?

Hata mimi nilitegemea kusikia watu kadhaa wanashikiliwa na police,kwa uvamizi na uharibifu wa kanisa sasa sijui ndio utendaji wao wa kazi huo?
 
Tatizo ni kuwa mtume wao *%&*§#?**()/% alikuwa ni gaidi, ndio maana na wao ni magaidi.

kaka naomba usitukane kwani hawajamaa hawajui watendalo na Dini ya kiislam inaamrisha kuishi na watu wa dini nyingine bila bugudha wala mifarakano yaani kuishi kwa amani katika jamii moja na ndio maana Mtume SAW alishushiwa sura nzima ya kusisitiza kuishi kwa amani. Uislam unachotaka ni kulingania tu na si kumuua au kumtukana au kumpiga mtu kama hataki kuufuata uislam. Nina wasiwasi na Uelewa wa ndugu zangu hawa waliofanya hivi kwani ni kinyume na mafundisho ya uislam.
 
sijawahi kusikia nchi ya kiislam inaungana nchi yenye imani mchanganyiko,mchakato wa katiba uangalie ugaidi huu.,no wonder why america bought kigamboni to keep an eye on terrorist zanzibar..faiza foxy na malaria sugu wahojiwe na polisi.

Yaani! Hata mi nashanga!
Ni kama kuchanganya maji na mafuta lol.
Vitachanganyika kwa muda, vikitulia vitaanza
kujienga had utingishe tena.

Sasa tutatingisha hadi lini?Kuna siku tutachoka.

Torelance kwa imani za watu wengine jamaa hawana kabisa hawa!
Huwa nakereka sana na kerere zao asbi
Ila inabidi nikubali matokeao ila wao hawana uvumilivu kabsaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom