Makanisa yachomwa moto Zanzibar

Makanisa yachomwa moto Zanzibar

Status
Not open for further replies.
ndoa ya cuf na ccm ndio matokeo yake
Hizi ndoa hizi.........karibu Cameroon, karibu sana ujisikie upo magogoni.

12.jpg
 
Wale waliotaka kummaliza Yesu (Isa Ibn Mariam) walikuwa nani? Acha upuuzi wako I do not support the action taken in zanzibar and I condemn it but that should not mean you should despise other people's faith ndugu chunga mdomo wako.

ni kweli mkuu huu ni uhuni tu wa wanasiasa.Wabunge wa CUF waliapa bungeni hawataki kuiona chadema zanzibar.. Wakaitaka serikali ya zanzibar kuirudishia chadema ubani waliokuwa wametoa.Sasa wanapoona mtu wa bara wanadhani ni chadema
 
Hawa wachomaji nyumba za ibada Tanzania Visiwani ni watu gani hasa (Al-Shabaab)?

Je, watu hao wasiokamatika hata na polisi wakati wakiwa kwenye tukio usiku wa maanane wakikesha kubomoa nyumba ya Mungu wametumwa na nani na kwa malengo gani hasa?

Na imekua vipi hasa matukio hayo mawili yaende kwa kufwatana kwa karibu sana (premeditated incidences) ndani ya siku chache tu watu tunapojiandaa kama taifa moja kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wa nchi yetu?

Na inakua vipi jambo hili la kustaajabisha sana litokee tu siku chache tu tangu Dk Salim atutahadharishe kama taifa juu ya athari za udini katika siasa?

Wananchi tunaomba majibu ya kina na kujitosheleza na hasara zote zifidiwe mara moja!!
 
Siku zote wanaochoma makanisa zanzibar ni 'watu wasiojulikana...' Polisi wakiwakuta wanapiga risasi juu ili wakimbie waendelee kuitwa 'wasiojulikana' Lkn maeneo mengine jeshi hilohilo la polisi linaua wananchi wanaopita karibu na migodi ya madini! Huo ndio ule tunaoambiwa ni mfumokristo! Na hilo ndilo jeshi lenu la polisi.

Haya matukio huwezi kusikia wale wabunge na wawakilishi kutoka zanzibar wakiyalalamikia!!
 
Hao jamaa hawa,mbona huku Bara tunawaheshimu ila wao wakiwa huko kwao wanaleta uhuni wa namna hyo

kwa matendo ya chama cha cuf kwa watu wa tanzania bara hakika hakitasameheka.Kura za Igunga ni mwanzo wa laana kwao.
 
Siku zote wanaochoma makanisa zanzibar ni 'watu wasiojulikana...' Polisi wakiwakuta wanapiga risasi juu ili wakimbie waendelee kuitwa 'wasiojulikana' Lkn maeneo mengine jeshi hilohilo la polisi linaua wananchi wanaopita karibu na migodi ya madini! Huo ndio ule tunaoambiwa ni mfumokristo! Na hilo ndilo jeshi lenu la polisi. Haya matukio huwezi kusikia wale wabunge na wawakilishi kutoka zanzibar wakiyalalamikia!!

idumu ndoa ya cuf na ccm
 
Wale waliotaka kummaliza Yesu (Isa Ibn Mariam) walikuwa nani? Acha upuuzi wako I do not support the action taken in zanzibar and I condemn it but that should not mean you should despise other people's faith ndugu chunga mdomo wako.

What if the faith is founded and based on wrong doctrines and principles? Should we respect the faith of arsons, murderers, artheists and all other sorts of human demeaning faiths simply because they are "faiths"?(Refer to Somalia. Indeed, the al shabaab have a faith that should be respected by people like Mdondoaji, Malaria Sugu and Faiza Foxy.
 
Na Mwinyi Sadallah
9th December 2011

Akizungumza na NIPASHE, Mchungaji wa Kanisa la Siloam, Boniface Kalyabukama, alisema lilibomolewa wiki iliyopita na watu waliotumia nyundo za kupasulia miamba ya mawe.

KANISA LINGINE LACHOMWA

Mchungaji wa Kanisa hilo, Julius Magoho, jana alisema kuwa, lilichomwa moto wiki iliyopita majira ya saa moja usiku, baada ya kumwagwa mafuta ya taa juu ya paa la makuti.

CHANZO: NIPASHE
Kwanza napinga vikali vitendo hivi vilivyofanyika. Nina wasiwasi na uumini wa waumini waliofanya hivyo. Ni ugaidi na wala sio dini iliyowapelekea kufanya hivyo. Kubwa ni kuwa wanacheza na amani, wanaishi kwenye nyumba za vigae na kurusha mawe wao wenyewe.

Lakini pa nina wasiwasi na umakini wa mwandishi habari hizi. Ukiangalia tarehe ya kutumwa kwa taarifa hii, na wiki iliyopita, bila ya kutaja siku wala tarehe, mwandishi kaandika kiudaku na kiushabiki kuliko ufuata maadili ya kazi yake. Hii ilipaswa kuwa habari nzito iliyofuata maadili ya uandishi wa habari: LINI, WAPI, NINI, NANI. Hapo pa lini alipaswa kujua siku na tarehe na sio kusema tu wiki iliyopita.
 
Kwa nini tunaendelea kuficha hili kaa la moto kwenye mfuko wa suruali la nailoni huku tukijiaminisha kwamba hakuna matumizi mabaya sana ya udini katika siasa ndani ya nchi yetu bila kulishughulikia kwa pamoja kama jamii moja wakati janga lenyewe hivi sasa linatuvuruga na kutugharimu kiasi hiki?
 
What if the faith is founded and based on wrong principles? Should we respec the faith of arsons, murderers, artheists and all other sorts of human demeaning faiths simply because they are "faiths"?

Can you mentioned the principles which you regard them as wrong ? Arsons, murderers, homosexuality and all sort of demeaning acts are associated with faith or few individuals who deviate their attitudes to god and move to follow their desires.
 
Kwanza napinga vikali vitendo hivi vilivyofanyika. Nina wasiwasi na uumini wa waumini waliofanya hivyo. Ni ugaidi na wala sio dini iliyowapelekea kufanya hivyo. Kubwa ni kuwa wanacheza na amani, wanaishi kwenye nyumba za vigae na kurusha mawe wao wenyewe.

Lakini pa nina wasiwasi na umakini wa mwandishi habari hizi. Ukiangalia tarehe ya kutumwa kwa taarifa hii, na wiki iliyopita, bila ya kutaja siku wala tarehe, mwandishi kaandika kiudaku na kiushabiki kuliko ufuata maadili ya kazi yake. Hii ilipaswa kuwa habari nzito iliyofuata maadili ya uandishi wa habari: LINI, WAPI, NINI, NANI. Hapo pa lini alipaswa kujua siku na tarehe na sio kusema tu wiki iliyopita.

Nimeiona Mamamia asante kwa kulibainisha huo unaitwa uandishi makanjanja. I miss the likes of Adam Lusekelo, David Wakati na Mkapa walikuwa makini na uandishi wao siku hizi waandishi wa habari wamekuwa kama wapiga soga. Uchochezi tu!
 
Can you mentioned the principles which you regard them as wrong ? Arsons, murderers, homosexuality and all sort of demeaning acts are associated with faith or few individuals who deviate their attitudes to god and move to follow their desires.

My dear bro, dont be like a blind person who is arguing with a person endowed with sight. Stop being a fanatic, open your eyes wide. Ikiwezekana, hamia airtel, hamia MSALABA.
 
ni kweli mkuu huu ni uhuni tu wa wanasiasa.Wabunge wa CUF waliapa bungeni hawataki kuiona chadema zanzibar.. Wakaitaka serikali ya zanzibar kuirudishia chadema ubani waliokuwa wametoa.Sasa wanapoona mtu wa bara wanadhani ni chadema

Fmpiganaji usinivunje mbavuu
 
Jamani kuchoma makanisa ZNZ sio kitu kigeni, kime kuwepo na kitaendelea kuwepo
kwasababu kimebarikiwa kimya kimya na SMZ. Jiulize Polisi eti wanapiga risasi hewani
kuwatanya bandits wanaochoma kanisa?!

Mwaka huu wameanza mapema, lakini kila sikukuu ya Chistmas inapokaribia kunakwepo
na wimbi la uchomaji wa makanisa ZNZ. Huhitaji kuwa na Elimu ya unajimu kufahamu
kwamba kabla ya Cristimas Makanisa mengi yataendelewa kuchomwa ZNZ kwasababu SMS
imeruhusu.

Halafu leo eti watushawashi kwamba kodi yetu iendeshe mahakama ya kadhi?! Ngoja tusubiri
tamko la BAKWATA kuhusu huu ugaidi!
 
Kama serikali yetu bado tu halioni hili, kwa mwenendo huu wa kuchomeana mi-jumba ya ibada nchini inamaana huko tuendako si salama hata kidogo indapo halitoshughulikiwa kwa wakati na kiundani zaidi na dukuduku zote kutoka.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom