Tatizo ni hizo dini zenu zinazolazimisha tuwe mashoga. Kwa taarifa yako, Uislamu ndio mfumo wa maisha wa kwanza kutambua kuwa mtu mweusi naye ni binadamu kama weupe na anastahili heshima. Na ni mfumo usio endekeza ubaguzi wa aina yoyote. Kama mtume wetu aliishi vizuri na Wakristo na Wayahudi na alifundisha kuvumiliana (tolerance) baina ya Waislamu na wasiokuwa. Kuwaita waislamu wavivu wa kufikiri ni tusi kubwa, Uislamu sio kama mifumo mingine ya kimaisha ilivyo kidikteta, kama Yesu mwenyewe alikataa kuitwa mwema na kusema mwema ni aliye juu pekee, Paulo alivyochakachua Injili akamgeuza Yesu kuwa Mungu...wakristo si tu wavivu wa kuhoji pia mapapa wenu ni madikteta wa imani, wamewaaminisha na kitu tofauti alicholeta Yesu, kwa uvivu wenu na udikteta wa viongozi wa Imani yenu mmekuwa vipofu japo mna macho, hamsikii japo mnamasikio, mabubu japo mna vinywa...