Hata kama umesoma namna gani na hujui hivi vitu, bado wewe ni Primitive!

Fortilo

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
5,015
15,638
Muda unavyoenda nimekutana na wimbi kubwa la vijana wanazungumza kila kitu kwa hisia, hata vinavyohitaji ushahidi au vinavyohitaji maelezo ya kina na utaalam wa hali ya juu, Ukituona tunaongea yani ni kama tunajua kila kitu kumbe hatuji kitu, au basi angalau kujifunza na kujua wengine wanaishije (Tanzania sio kisiwa na binadamu wote kibiologia ni sawa)

Kuna wimbi kubwa la vijana wanaowakatisha wenzao tamaa hasa wanapohitaji mwanga fulani ili kufikia hatua fulani katika maisha hata kama wao wenyewe wameshafika tena na kuponda na kukashifu vya kutosha nimeona ni muhimu nikawambia vijana wenzangu wanaofuata mkumbo na wao kutumbukia kwenye shimo ambalo wanabaki wenyewe wasijue la kufanya.

Ukweli wa mambo ni kwamba kama hujui....

1. Ujuzi wa kuwasiliana (Communication skills)

Namna ya kuongea na watu wa level tofauti na namna ya kunegotiate dili na watu wa taaluma mbali mbali kulingana na kaz unayofanya hata iwe ni kuuza mkaa itakuongezea hatua kubwa sana kujua wakati gani wa kusikiliza na wakat gani wa kuzungumza na kipi cha kusema.

Kingine ni kujifunza lugha (Trend ya watu wanaotetea kutokujua kingereza binafisi imenishangaza na imenisononesha sana),

Chance ya wewe kuwa Rais wa Tanzania ni 1/45M=0.00000002222222 kila baada ya miaka kumi sasa jiulize kwanini wewe usipambane kwa mtindo wako ufanikiwe kivyako.
Kwamfano, ukijua kiswahili pekee.. una weza kuwasiliana na waafrika wenzako mil. 60 tu(Tena wengi wao maskini), wakat ukijua kiswahili na kingereza vizuri unaweza kuwasiliana na watu mil.900 duniani kote,

Au pengine ukajua kiswahili, Kingereza na Kispanish, utaweza kuwasiliana na watu BIl.1.3
Kumbuka dunia ina watu Bil 7, angalau wewe utaweza kuwasiliana na Asilimia 20 ya watu wote duniani walioendelea.

2. Compyuta (Computer skills)
Ni vizur sana ukajua excel(Pivot table, kufanya hesabu, kuchambua data, na kuchora graph mabili mbali), Kuandika report, kuattach mafile, kuwasiliana kwa email, nk.. basic computer applications na uzitumie angalao mara mbili kwa wiki hata kujikumbushia..... hata kama unauza duka, kuna kipindi utazihitaji na utashukuru Mungu kukupa muda wa kuzijua.
Achana na mambo ya copy paste kwenye wassup na insta... havitakuongezea kitu cha maana kwenye harakat zako za maisha.... hakuna atakaekuuliza una like ngapi facebook au insta... trust me hakuna.

3. Kujua Afya ya Mwili ( Body Health)
Kujua afya ya mwili inaanza na kujua vyakula unavyokula kila siku, mfano vyakula vyenye mafuta, chumvi nyingi, sukari, wanga kwa wingi... matunda na aina ya vitamin inazobeba na faida zake mwilini.... kama una mtoto jifunze pia namna nzur ya kumpa lishe bora mwanao.. kila kitu kipo kwenye mtandao...
Achana na hulka kuwa ukinenepeana ndo shavu mwanangu... ni hatari sana kwa afya
Report ya WHO ya 2012 inakadiria kuwa watu 7 kat ya 10 kwenye nchi zinazoendelea watakufa kwa NCDS(Non Communicable diseases) kama Kisukari, Pressure, magonjwa ya moyo, Figo , na Tumbaku.
Jua pia ni namna gani unatakiwa u maintain uzito wako..... namaanisha Kufanya mazoez.
Ule ubishoo wa kwenda na gari /Boda boda ,popote hata nusu kilomita itakupunguzia wastani wa miaka 10 kwenye maisha yako kama hufanyi mazoez... achilia mbali ajali, na magonjwa ya kurithi.
Magonjwa yanayosababishwa na ngono, Madhara ya kuzaa watoto wengi ukiwa na umri mdogo... na vile vile kujua dawa tofauti.. hasa za magonjwa kama malaria, maumivu, typhoid, kuharisha nk..... (yale common kwenye mazingira yanayotuzunguka) na namna ya kutoa huduma ya kwanza

4. Kujua kutumia muda vizuri(Time management)
Pamoja na kufanya kaz kwa bidii kujiingizia kipato bado muda wa ziada unaweza ukatumia kushirik mambo ya kijamii, kuangalia mpira, kucheza, kuimba, kuogelea na pia kuna vitu kama
kukaa na familia, kufanya biashara ya ziada, kuandika kwenye forums tofauti.. kama JF, Kujisomea, kwa muda wa ziada..... kila siku, wenzetu waliotutawala wanasoma kila siku, kumaliza shule sio kumaliza kujifunza....! Pamoja na nchi yetu kuwa na mazingira yanayokatisha tamaa kwa watu wanaopenda kujifunza lakini tusichoke, tumia muda wako wa ziada kujifunza... utapata ujuzi na maarifa ambayo huwah ambiwa darasani wala na mtu yeyote yule...........Learn, learn, learn.. hata kujifunza lugha ya ziada , kusoma vitabu, mitandao yenye kujenga.. kama JF, Quora , nk
Pangila mambo unayopenda kwenye maisha yako uyape muda mwingi kuyafanya.. inatenda miujiza.

5. Nidhamu(Discipline)
Nidhamu kwenye kila kitu na ndio kila kitu
Nidhamu ya pesa, matumizi, namna ya kuwasiliana na wengine, unapoendesha gari, unapopanda daladala, unapofanya kazi..... itakufanya uheshimike na wengine pia.

6. Kujua kudhibiti Fedha (Finance management knowledge)
Kujua namna ya kuwekeza fedha zako(Investiment options) na namna zitakavyorudi (ROI), na muda zitakazo rudi( Pb) kujua risky ya kila maeneo unayotaka kuwekeza, kujua faida za kuwa na asset na aina zake.. kujua kusoma statement , kujua maana ya CR, DB, na namna ya kuzitumia kwa bank na kwa bishara ndogo ndogo, hata kwenye mshahara wa mwezi, kujua mzunguko wa pesa kwenye eneo unalofanyia kazi na namna gani inaweza kukuathiri (+/-) na vitu gani vinaweza kuiathiri, Kujua masoko ya fedha yanavyofanya kazi nk nk.
Pamoja na kwamba wanasema jack of all master of none, haina maana ufanye hayo mambo yote kwa pamoja kama carrier japo unaweza kuwa umebobea labda kwenye fani moja haina maana usijue mambo mengine, kujua tu hakutakuathiri wewe kama Muhasibu, Daktari, Mjasiriamali au hata mwalimu ... haichukui hata nukta ya ujuzi wako bali inakuongezea zaidi...
Sijazungumzia siasa maana najua wengi hilo wanajua, na kujua siasa za dunia kunafanyiwa sana promo na vyombo vya habari.. lakini kuelewa undani na upande wa pili na namna siasa za dunia zinavyofanya kazi itakusaidia sana pia.

Angalizo.... Maisha hayana kanuni, na wala hayachagui mtu huyu wala yule.. yanampiga yeyote.. kuna kanuni ya Murphy inasema... "kitu chochote kinachoweza kutokea hutokea" (If anything has to happen will happen") iwe ni kufilisika, kupoteza uhai, kushindwa mashindano na kadalika, .....lakini kuna vitu ukivijua vinaweza kuokoa uhai wako siku moja.....

Hivyo ni vinaonekana vitu vidogo lakini vikubwa sana kwa mtu anaetaka kuwa amestaarabika(Civilized literate good citizen) kama hujui hayo wewe bado upo dunia ya giza, na ukichunguza kwa makini wenzetu wanatuzidi kwa vitu vidogo kama hivyo.. awe Mkenya, Mnigeria, Mzungu hata wahindi.... watu wanasifiwa na round knowledge ya mambo, then specialization, experience and work ethics... you can talk to anyone, go anywhere with that, do whatever you want, get what you want provided you are prepared and committed into it..... go man.
Sky is the limit.

Wasalaam.
 
Muda unavyoenda nimekutana na wimbi kubwa la vijana wanazungumza kila kitu kwa hisia, hata vinavyohitaji ushahidi au vinavyohitaji maelezo ya kina na utaalam wa hali ya juu, Ukituona tunaongea yani ni kama tunajua kila kitu... kumbe hatuji ktu,au bas angalau kujifunza na kujua wengine wanaishije...(Tanzania sio kisiwa na binadamu wote kibiologia ni sawa)

Kuna wimbi kubwa la vijana wanaowakatisha wenzao tamaa hasa wanapohitaji mwanga fulani ili kufikia hatua fulani katika maisha hata kama wao wenyewe wameshafika... tena na kuponda na kukashifu vya kutosha.... nimeona ni muhimu nikawambia vijana wenzangu wanaofuata mkumbo na wao kutumbukia kwenye shimo ambalo wanabaki wenyewe wasijue la kufanya.

Ukweli wa mambo ni kwamba kama hujui....
1. Ujuzi wa kuwasiliana (Communication skills)
Namna ya kuongea na watu wa level tofauti na namna ya kunegitiate dili na watu wa taaluma mbali mbali kulingana na kaz unayofanya hata iwe ni kuuza mkaa... itakuongezea hatua kubwa sana... kujua wakat gani wa kusikiliza na wakat gani wa kuzungumza na kipi cha kusema.
Kingine ni kujifunza lugha... (Trend ya watu wanaotetea kutokujua kingereza binafis imenishangaza na imenisononesha sana),
Chance ya wewe kuwa Rais wa Tanzania ni 1/45M=0.00000002222222 kila baada ya miaka kumi..... sasa jiulize kwanini wewe usipambane kwa mtindo wako ufanikiwe kivyako...

dot com
 
Umeosha ndugu, narudia tena kusoma
 
MAda muhimu hawa kwa vijana na watoto wetu wanaokuwa na kudhani kuwa kwenye simu muda wote ni jambo linaloonyesha kuelimika kwao.
Binafsi : Utaalamu wa mawasiliano na nidhamu naviweka namba moja maana hivi kuvijenga vina chukua muda na ukiwa navyo havifi kamwe tofauti na ujuzi wa kompyuta na mengine. Hivi leo mwambie tu kijana aliyemaliza form four - unahitaji kazi ya kujishikiza hebu jieleze kwa mwenye kiwanda upate nafasi - atakuambia baba kazi siku hizi za kujuana we nifanyie mpango. Umahiri wa kujieleza , kuweka sera kwa utaratibu ni mdogo .
Tumezoea kauli za : Ahh Mungu amenipangia kuwa maskini, Maisha ndivo yalivyo- kauli hizi huua sana na watoto wetu huingia kwenye mikumbo ya kauli hizi . Ninamini Mungu ametupa utashi wa kujipangia na kujitafutia maisha tutakayo kwa nguvu akili na maarifa aliyotupa yeye . We are masters of our ow destiny. Njia za kufikia ndizo hatutaki - hatutaki kujishughulisha na kutoka jasho. Namkumbuka mwana falsafa mmoja Bwana Jim Rohn alisema " Do what others dont want to do today , so that you can live the life they dont have tomorow" ....twende extra mile, tujifunze zaidi, tusome vitabu zaidi, tusafiri zaidi ili maarifa hayo yatuweke huru kujitambua na kujitawala.

Big up mleta mada.
 
Hakuna kanuni ya maisha ya aina moja ambayo ndio njia ya kupata maendeleo katika maisha kwa kila mtu, kinachotakiwa ni kufika ubungo ila kila mtu ana njia yake ya kumfikisha huko.
 
Ujumbe muhimu kwa nchi zilizoendelea ila sisi tunakomaa kuwakomboa ndugu zetu kwa sababu ya extended family, kupanga kama thread yako tutaonekana wachawi
 
Hakuna kanuni ya maisha ya aina moja ambayo ndio njia ya kupata maendeleo katika maisha kwa kila mtu, kinachotakiwa ni kufika ubungo ila kila mtu ana njia yake ya kumfikisha huko.

Muda unavyoenda nimekutana na wimbi kubwa la vijana wanazungumza kila kitu kwa hisia, hata vinavyohitaji ushahidi au vinavyohitaji maelezo ya kina na utaalam wa hali ya juu, Ukituona tunaongea yani ni kama tunajua kila kitu... kumbe hatuji ktu,au bas angalau kujifunza na kujua wengine wanaishije...(Tanzania sio kisiwa na binadamu wote kibiologia ni sawa)

Kuna wimbi kubwa la vijana wanaowakatisha wenzao tamaa hasa wanapohitaji mwanga fulani ili kufikia hatua fulani katika maisha hata kama wao wenyewe wameshafika... tena na kuponda na kukashifu vya kutosha.... nimeona ni muhimu nikawambia vijana wenzangu wanaofuata mkumbo na wao kutumbukia kwenye shimo ambalo wanabaki wenyewe wasijue la kufanya.

Ukweli wa mambo ni kwamba kama hujui....
1. Ujuzi wa kuwasiliana (Communication skills)
Namna ya kuongea na watu wa level tofauti na namna ya kunegitiate dili na watu wa taaluma mbali mbali kulingana na kaz unayofanya hata iwe ni kuuza mkaa... itakuongezea hatua kubwa sana... kujua wakat gani wa kusikiliza na wakat gani wa kuzungumza na kipi cha kusema.
Kingine ni kujifunza lugha... (Trend ya watu wanaotetea kutokujua kingereza binafis imenishangaza na imenisononesha sana),
Chance ya wewe kuwa Rais wa Tanzania ni 1/45M=0.00000002222222 kila baada ya miaka kumi..... sasa jiulize kwanini wewe usipambane kwa mtindo wako ufanikiwe kivyako...
Kwamfano, ukijua kiswahili pekee.. una weza kuwasiliana na waafrika wenzako mil. 60 tu(Tena wengi wao maskini), wakat ukijua kiswahili na kingereza vizuri unaweza kuwasiliana na watu mil.900 duniani kote,
Au pengine ukajua kiswahili, Kingereza na Kispanish, utaweza kuwasiliana na watu BIl.1.3
Kumbuka dunia ina watu Bil 7, angalau wewe utaweza kuwasiliana na Asilimia 20 ya watu wote duniani walioendelea.

2. Compyuta (Computer skills)
Ni vizur sana ukajua excel(Pivot table, kufanya hesabu, kuchambua data, na kuchora graph mabili mbali), Kuandika report, kuattach mafile, kuwasiliana kwa email, nk.. basic computer applications na uzitumie angalao mara mbili kwa wiki hata kujikumbushia..... hata kama unauza duka, kuna kipindi utazihitaji na utashukuru Mungu kukupa muda wa kuzijua.
Achana na mambo ya copy paste kwenye wassup na insta... havitakuongezea kitu cha maana kwenye harakat zako za maisha.... hakuna atakaekuuliza una like ngapi facebook au insta... trust me hakuna.

3. Kujua Afya ya Mwili ( Body Health)
Kujua afya ya mwili inaanza na kujua vyakula unavyokula kila siku, mfano vyakula vyenye mafuta, chumvi nyingi, sukari, wanga kwa wingi... matunda na aina ya vitamin inazobeba na faida zake mwilini.... kama una mtoto jifunze pia namna nzur ya kumpa lishe bora mwanao.. kila kitu kipo kwenye mtandao...
Achana na hulka kuwa ukinenepeana ndo shavu mwanangu... ni hatari sana kwa afya
Report ya WHO ya 2012 inakadiria kuwa watu 7 kat ya 10 kwenye nchi zinazoendelea watakufa kwa NCDS(Non Communicable diseases) kama Kisukari, Pressure, magonjwa ya moyo, Figo , na Tumbaku.
Jua pia ni namna gani unatakiwa u maintain uzito wako..... namaanisha Kufanya mazoez.
Ule ubishoo wa kwenda na gari /Boda boda ,popote hata nusu kilomita itakupunguzia wastani wa miaka 10 kwenye maisha yako kama hufanyi mazoez... achilia mbali ajali, na magonjwa ya kurithi.
Magonjwa yanayosababishwa na ngono, Madhara ya kuzaa watoto wengi ukiwa na umri mdogo... na vile vile kujua dawa tofauti.. hasa za magonjwa kama malaria, maumivu, typhoid, kuharisha nk..... (yale common kwenye mazingira yanayotuzunguka) na namna ya kutoa huduma ya kwanza

4. Kujua kutumia muda vizuri(Time management)
Pamoja na kufanya kaz kwa bidii kujiingizia kipato bado muda wa ziada unaweza ukatumia kushirik mambo ya kijamii, kuangalia mpira, kucheza, kuimba, kuogelea na pia kuna vitu kama
kukaa na familia, kufanya biashara ya ziada, kuandika kwenye forums tofauti.. kama JF, Kujisomea, kwa muda wa ziada..... kila siku, wenzetu waliotutawala wanasoma kila siku, kumaliza shule sio kumaliza kujifunza....! Pamoja na nchi yetu kuwa na mazingira yanayokatisha tamaa kwa watu wanaopenda kujifunza lakini tusichoke, tumia muda wako wa ziada kujifunza... utapata ujuzi na maarifa ambayo huwah ambiwa darasani wala na mtu yeyote yule...........Learn, learn, learn.. hata kujifunza lugha ya ziada , kusoma vitabu, mitandao yenye kujenga.. kama JF, Quora , nk
Pangila mambo unayopenda kwenye maisha yako uyape muda mwingi kuyafanya.. inatenda miujiza.

5. Nidhamu(Discipline)
Nidhamu kwenye kila kitu na ndio kila kitu
Nidhamu ya pesa, matumizi, namna ya kuwasiliana na wengine, unapoendesha gari, unapopanda daladala, unapofanya kazi..... itakufanya uheshimike na wengine pia.

6. Kujua kudhibiti Fedha (Finance management knowledge)
Kujua namna ya kuwekeza fedha zako(Investiment options) na namna zitakavyorudi (ROI), na muda zitakazo rudi( Pb) kujua risky ya kila maeneo unayotaka kuwekeza, kujua faida za kuwa na asset na aina zake.. kujua kusoma statement , kujua maana ya CR, DB, na namna ya kuzitumia kwa bank na kwa bishara ndogo ndogo, hata kwenye mshahara wa mwezi, kujua mzunguko wa pesa kwenye eneo unalofanyia kazi na namna gani inaweza kukuathiri (+/-) na vitu gani vinaweza kuiathiri, Kujua masoko ya fedha yanavyofanya kazi nk nk.
Pamoja na kwamba wanasema jack of all master of none, haina maana ufanye hayo mambo yote kwa pamoja kama carrier japo unaweza kuwa umebobea labda kwenye fani moja haina maana usijue mambo mengine, kujua tu hakutakuathiri wewe kama Muhasibu, Daktari, Mjasiriamali au hata mwalimu ... haichukui hata nukta ya ujuzi wako bali inakuongezea zaidi...
Sijazungumzia siasa maana najua wengi hilo wanajua, na kujua siasa za dunia kunafanyiwa sana promo na vyombo vya habari.. lakini kuelewa undani na upande wa pili na namna siasa za dunia zinavyofanya kazi itakusaidia sana pia.

Angalizo.... Maisha hayana kanuni, na wala hayachagui mtu huyu wala yule.. yanampiga yeyote.. kuna kanuni ya Murphy inasema... "kitu chochote kinachoweza kutokea hutokea" (If anything has to happen will happen") iwe ni kufilisika, kupoteza uhai, kushindwa mashindano na kadalika, .....lakini kuna vitu ukivijua vinaweza kuokoa uhai wako siku moja.....

Hivyo ni vinaonekana vitu vidogo lakini vikubwa sana kwa mtu anaetaka kuwa amestaarabika(Civilized literate good citizen) kama hujui hayo wewe bado upo dunia ya giza, na ukichunguza kwa makini wenzetu wanatuzidi kwa vitu vidogo kama hivyo.. awe Mkenya, Mnigeria, Mzungu hata wahindi.... watu wanasifiwa na round knowledge ya mambo, then specialization, experience and work ethics... you can talk to anyone, go anywhere with that, do whatever you want, get what you want provided you are prepared and committed into it..... go man.
Sky is the limit.

Wasalaam.

Ujumbe muhimu kwa nchi zilizoendelea ila sisi tunakomaa kuwakomboa ndugu zetu kwa sababu ya extended family, kupanga kama thread yako tutaonekana wachawi

Ujumbe muhimu kwa nchi zilizoendelea ila sisi tunakomaa kuwakomboa ndugu zetu kwa sababu ya extended family, kupanga kama thread yako tutaonekana wachawi
 
Asante sana!
Tatizo moja lililopo ni watu kutishana kuhusu hii kitu inaitwa maisha! Unamsalim mtu, utasikia, aaah, poa tu bado TUNAPIGANA na maisha! Kuna ile hofu ya hili dubwasha, maisha! Vijana wanaogopa hata kuthubutu sababu ya kutishwa.
Cha msingi points za hapo juu zitekelezwe ila take it easy and simple! Hata kama una kipato cha kawaida, maisha yatakuwa ya afya na furaha.
 
yote maisha tu. kila mtuu anasababu zake za yeye kuwa hapo alipo
Hii kauli siipendi sana. Mtu anakuba msaada unamwambia sitaweza, anakwambia YOTE MAISHA, kakosa kazi, YOTE MAISHA, kila baada ya kulalamika anamalizia YOTE MAISHA....
 
Muda unavyoenda nimekutana na wimbi kubwa la vijana wanazungumza kila kitu kwa hisia, hata vinavyohitaji ushahidi au vinavyohitaji maelezo ya kina na utaalam wa hali ya juu, Ukituona tunaongea yani ni kama tunajua kila kitu... kumbe hatuji ktu,au bas angalau kujifunza na kujua wengine wanaishije...(Tanzania sio kisiwa na binadamu wote kibiologia ni sawa)

Kuna wimbi kubwa la vijana wanaowakatisha wenzao tamaa hasa wanapohitaji mwanga fulani ili kufikia hatua fulani katika maisha hata kama wao wenyewe wameshafika... tena na kuponda na kukashifu vya kutosha.... nimeona ni muhimu nikawambia vijana wenzangu wanaofuata mkumbo na wao kutumbukia kwenye shimo ambalo wanabaki wenyewe wasijue la kufanya.

Ukweli wa mambo ni kwamba kama hujui....
1. Ujuzi wa kuwasiliana (Communication skills)
Namna ya kuongea na watu wa level tofauti na namna ya kunegitiate dili na watu wa taaluma mbali mbali kulingana na kaz unayofanya hata iwe ni kuuza mkaa... itakuongezea hatua kubwa sana... kujua wakat gani wa kusikiliza na wakat gani wa kuzungumza na kipi cha kusema.
Kingine ni kujifunza lugha... (Trend ya watu wanaotetea kutokujua kingereza binafis imenishangaza na imenisononesha sana),
Chance ya wewe kuwa Rais wa Tanzania ni 1/45M=0.00000002222222 kila baada ya miaka kumi..... sasa jiulize kwanini wewe usipambane kwa mtindo wako ufanikiwe kivyako...
Kwamfano, ukijua kiswahili pekee.. una weza kuwasiliana na waafrika wenzako mil. 60 tu(Tena wengi wao maskini), wakat ukijua kiswahili na kingereza vizuri unaweza kuwasiliana na watu mil.900 duniani kote,
Au pengine ukajua kiswahili, Kingereza na Kispanish, utaweza kuwasiliana na watu BIl.1.3
Kumbuka dunia ina watu Bil 7, angalau wewe utaweza kuwasiliana na Asilimia 20 ya watu wote duniani walioendelea.

2. Compyuta (Computer skills)
Ni vizur sana ukajua excel(Pivot table, kufanya hesabu, kuchambua data, na kuchora graph mabili mbali), Kuandika report, kuattach mafile, kuwasiliana kwa email, nk.. basic computer applications na uzitumie angalao mara mbili kwa wiki hata kujikumbushia..... hata kama unauza duka, kuna kipindi utazihitaji na utashukuru Mungu kukupa muda wa kuzijua.
Achana na mambo ya copy paste kwenye wassup na insta... havitakuongezea kitu cha maana kwenye harakat zako za maisha.... hakuna atakaekuuliza una like ngapi facebook au insta... trust me hakuna.

3. Kujua Afya ya Mwili ( Body Health)
Kujua afya ya mwili inaanza na kujua vyakula unavyokula kila siku, mfano vyakula vyenye mafuta, chumvi nyingi, sukari, wanga kwa wingi... matunda na aina ya vitamin inazobeba na faida zake mwilini.... kama una mtoto jifunze pia namna nzur ya kumpa lishe bora mwanao.. kila kitu kipo kwenye mtandao...
Achana na hulka kuwa ukinenepeana ndo shavu mwanangu... ni hatari sana kwa afya
Report ya WHO ya 2012 inakadiria kuwa watu 7 kat ya 10 kwenye nchi zinazoendelea watakufa kwa NCDS(Non Communicable diseases) kama Kisukari, Pressure, magonjwa ya moyo, Figo , na Tumbaku.
Jua pia ni namna gani unatakiwa u maintain uzito wako..... namaanisha Kufanya mazoez.
Ule ubishoo wa kwenda na gari /Boda boda ,popote hata nusu kilomita itakupunguzia wastani wa miaka 10 kwenye maisha yako kama hufanyi mazoez... achilia mbali ajali, na magonjwa ya kurithi.
Magonjwa yanayosababishwa na ngono, Madhara ya kuzaa watoto wengi ukiwa na umri mdogo... na vile vile kujua dawa tofauti.. hasa za magonjwa kama malaria, maumivu, typhoid, kuharisha nk..... (yale common kwenye mazingira yanayotuzunguka) na namna ya kutoa huduma ya kwanza

4. Kujua kutumia muda vizuri(Time management)
Pamoja na kufanya kaz kwa bidii kujiingizia kipato bado muda wa ziada unaweza ukatumia kushirik mambo ya kijamii, kuangalia mpira, kucheza, kuimba, kuogelea na pia kuna vitu kama
kukaa na familia, kufanya biashara ya ziada, kuandika kwenye forums tofauti.. kama JF, Kujisomea, kwa muda wa ziada..... kila siku, wenzetu waliotutawala wanasoma kila siku, kumaliza shule sio kumaliza kujifunza....! Pamoja na nchi yetu kuwa na mazingira yanayokatisha tamaa kwa watu wanaopenda kujifunza lakini tusichoke, tumia muda wako wa ziada kujifunza... utapata ujuzi na maarifa ambayo huwah ambiwa darasani wala na mtu yeyote yule...........Learn, learn, learn.. hata kujifunza lugha ya ziada , kusoma vitabu, mitandao yenye kujenga.. kama JF, Quora , nk
Pangila mambo unayopenda kwenye maisha yako uyape muda mwingi kuyafanya.. inatenda miujiza.

5. Nidhamu(Discipline)
Nidhamu kwenye kila kitu na ndio kila kitu
Nidhamu ya pesa, matumizi, namna ya kuwasiliana na wengine, unapoendesha gari, unapopanda daladala, unapofanya kazi..... itakufanya uheshimike na wengine pia.

6. Kujua kudhibiti Fedha (Finance management knowledge)
Kujua namna ya kuwekeza fedha zako(Investiment options) na namna zitakavyorudi (ROI), na muda zitakazo rudi( Pb) kujua risky ya kila maeneo unayotaka kuwekeza, kujua faida za kuwa na asset na aina zake.. kujua kusoma statement , kujua maana ya CR, DB, na namna ya kuzitumia kwa bank na kwa bishara ndogo ndogo, hata kwenye mshahara wa mwezi, kujua mzunguko wa pesa kwenye eneo unalofanyia kazi na namna gani inaweza kukuathiri (+/-) na vitu gani vinaweza kuiathiri, Kujua masoko ya fedha yanavyofanya kazi nk nk.
Pamoja na kwamba wanasema jack of all master of none, haina maana ufanye hayo mambo yote kwa pamoja kama carrier japo unaweza kuwa umebobea labda kwenye fani moja haina maana usijue mambo mengine, kujua tu hakutakuathiri wewe kama Muhasibu, Daktari, Mjasiriamali au hata mwalimu ... haichukui hata nukta ya ujuzi wako bali inakuongezea zaidi...
Sijazungumzia siasa maana najua wengi hilo wanajua, na kujua siasa za dunia kunafanyiwa sana promo na vyombo vya habari.. lakini kuelewa undani na upande wa pili na namna siasa za dunia zinavyofanya kazi itakusaidia sana pia.

Angalizo.... Maisha hayana kanuni, na wala hayachagui mtu huyu wala yule.. yanampiga yeyote.. kuna kanuni ya Murphy inasema... "kitu chochote kinachoweza kutokea hutokea" (If anything has to happen will happen") iwe ni kufilisika, kupoteza uhai, kushindwa mashindano na kadalika, .....lakini kuna vitu ukivijua vinaweza kuokoa uhai wako siku moja.....

Hivyo ni vinaonekana vitu vidogo lakini vikubwa sana kwa mtu anaetaka kuwa amestaarabika(Civilized literate good citizen) kama hujui hayo wewe bado upo dunia ya giza, na ukichunguza kwa makini wenzetu wanatuzidi kwa vitu vidogo kama hivyo.. awe Mkenya, Mnigeria, Mzungu hata wahindi.... watu wanasifiwa na round knowledge ya mambo, then specialization, experience and work ethics... you can talk to anyone, go anywhere with that, do whatever you want, get what you want provided you are prepared and committed into it..... go man.
Sky is the limit.

Wasalaam.
one of the rare species i have encountered here on the jf...........live longer brother.
 
kuna kanuni ya Murphy inasema... "kitu chochote kinachoweza kutokea hutokea" (If anything has to happen will happen") iwe ni kufilisika, kupoteza uhai, kushindwa mashindano na kadalika, .....lakini kuna vitu ukivijua vinaweza kuokoa uhai wako siku moja.....
kama hii nimakubaliana nayo 100%...........hivi unajua kuna watu wanaamini wao wapo kwa ajili ya kuombwa misaada tu na kamwe wao hawawezi kuja kusaidiwa as they will never have problems.
 
Back
Top Bottom