Makanisa mpunguze michango jamani. Hasa RC, kuna nini siku hizi?

Mambo ya michango yamesababishwa na hii jumuia ya kikristo Tanzania. Yalianza makanisa machache baadae wote wakaiga uupuzi. Mimi nasali Moravian huku nako usiseme soda ya 500 inauzwa kwa mnada mpaka 20000. Wizi mtupu!!!
 
Naona hela zinakuuma Pole sana!!!
Anzisha kanisa la kwako ili upate hela kama unafikiri ni kazi rahisi.
kakobe na Gwajima usiwaonee wivu
 
Soma MATHAYO 23:9. Imeandikwa hivi; "wala msimwite mtu baba duniani maana Baba yenu ni mmoja aliye wa mbinguni".
Usibebe mazimamazima hebu digest kidogo, hivi tunapoambiwa katika amri ya 4 kuwa waheshimu baba na mama upate miaka miaka mingi na heri duniani, je unataka kusema hata kumwita mzazi baba ni kosa? Nadhani unapaswa kuangalia context na siyo kubeba yalivyo.
 
Jamani ibada nyingi iznazofanyika makanisani sku Mungu wala hazitambui. Kaini alaaniwa kwa kutoa sadaka huku akiwa na ghadhabu moyoni. Siku hizi watu wanalazmishwa kuotoa sadaka, Tena wanaitwa kwa majina inamaana Mathayo 6: 1-4 kuhusu kuotoav
 
Jamani ibada nyingi iznazofanyika makanisani sku Mungu wala hazitambui. Kaini alilaaaniwa kwa kutoa sadaka huku akiwa na ghadhabu moyoni. Siku hizi watu wanalazmishwa kutoa sadaka, Tena wanaitwa kwa majina inamaana Mathayo 6: 1-4 kuhusu kutoa kwa siri watumishi wetu hawalijui?Je kwanini tusilaaniwe km Kaini?
 
Usibebe mazimamazima hebu digest kidogo, hivi tunapoambiwa katika amri ya 4 kuwa waheshimu baba na mama upate miaka miaka mingi na heri duniani, je unataka kusema hata kumwita mzazi baba ni kosa? Nadhani unapaswa kuangalia context na siyo kubeba yalivyo.
Ni wapi mimi nimesema kumwita mzazi "baba" ni makosa??
Mimi nasema, tena siyo mimi bali YESU alisema kuwaita viongozi wa kidini "baba" ni makosa. Ni makosa makubwa kumwita kiongozi wa kanisa "Baba Mtakatifu". Hicho ndicho kitu mimi nilikuwa nazangumzia. Sasa wewe umetoka huko ulikotoka, hujui hata tunajadili nini unarukia tu mada kwa mbele.

Labda nikuulize swali wewe ndugu permanides hivi ukimwita kiongozi wa kanisa Baba mtakatifu, Je! huyo kiongozi ni baba yako? Je! ni sahihi kumwita binadamu mwenzako "Baba Mtakatifu"??

Kama wewe umesoma vizuri na kuelewa YESU aliposema msimwite mtu yeyote yule "baba" hapa duniani, hebu tuambie YESU alimaanisha nini.
Nasubiri majibu yako.
 
Ndugu hata km kanisa litajenga shule au hospitali si kwa kuchangisha waumini.Pesa yote lazma itoke kwenye Zaka au Sadaka ya shukrani. Amini kuwa km waumini wakifundishwa NENO sahihi kuhusu sadaka na likakaa mioyoni mwao wala kanisa halitamdhalilisha Mungu kwa michango ya aibu km ilivyo ss. Pia kanisa haliruhusiwi kufanya biashara endapo wakijenga shule wanatakiwa waikabidhi serikali km msaada sio wao ndo wafanye biashara. Ni kosa kubwa kanisa kujihusisha na biashara. Angalia issue ya Escro ilivyochafua RC kupitia benki ya MKOMBOZl inayomilikiwa na RC, angalia jinsi maaskofu wanavyovurugana na kushikana uchawi kutokana na miradi ya makanisa.Yesu (Mungu) alijua haya kabla ndio maana alikataza.
 
Mbona simpo tu. Tulia tu kwako uone kama kuna atakaye kusumbua kwa mchango wowote.
 
Aiseeeeee hii kero,, nakumbuka mie hata cheti cha TYCS form 6, skupata kwa sababu ya michango hiyooo,, injili n bure,,, lkn..... Aiseeee mi nshasahau milango ya makanisa kwa sasa,,, ila ntaanza kusali mbeleni,,,, tu
 
Acha mental slavery..!!
Nani kakwambia ni hiari siku hizi michango usipotoa sahau huduma za kanisa.. Siongelei sadaka, nasema michango..
Unajua zaka tunatoa za kila jpili and jumuia tunatoa sana hadi unga, mchele tunachanga.. But inakuwa kerooo kerooo sanaaa sbb wanazidisha michango kuliko kawaida.. Ni mingi mnoo.

Kanisa lina vitega uchumi vingi tu sana, sadaka za jpili zingewatosha sana sana.. Ila wanamichango mingiii mnoo
Hama dhehebu
 
Unasema makanisa kama ya kina Kakobe ni biashara halafu unasema RC kama hujato michango sahau kubatiziwa mtoto, tofauti ni nini kati ya Kakobe na RC kama hata kubatiza mtoto lazima ulipe hela?

Kubatiza ulipe hela, kubariki mtoto ulipe hela, kubariki ndoa ulipe hela, michango ya ujenzi wa shule(ingawa mwanao hawezi kupewa discount ukimpeleka hapo pamoja na kwamba ulichangia ujenzi),hospitali, ukumbi, kumbariki padri na mamichango kibao alafu unasema sio kama kina Kakobe?

Sisi wengine tulishashtukia huu mchezo wa dini miaka mingi sana kua ni ulaji wa viongozi na wala hakuna kitu kinaitwa Mungu wala shetani ni uhuni tu.

Cha ajabu unakuta mtu anawacheka waumini wa Kakobe kua wanaibiwa, yeye hajioni kama anaibiwa na labda anaibiwa zaidi. Hivi siku hizi ile hela ya kutoa usamehewe dhambi na padri imeondolewa? Eti padri au askofu anasamehe dhambi!!!
Kuwa atheist
 
Ndugu bora hata km hukuchukua hicho cheti.Mi mwenyewe nilikataa kuchukua cheti cha dini chuo.Sku ya mwisho Mungu hata dai cheti cha sjui Tycs bali utakatifu wa moyo wako basi hizo mambo ya vyeti ni mbwe mbwe tu zmeletwa makanisan hamna lolote
 
Mimi nasema, tena siyo mimi bali YESU alisema kuwaita viongozi wa kidini "baba" ni makosa.


Hebu nioneshe hapo Yesu aliposema kuwaita viongozi wa 'dini'...

Na je! Huyo Yesu alikuwa analenga viongozi wa dino gani..??

Ni wapi mimi nimesema kumwita mzazi "baba" ni makosa??
Unajifanya unajisahulisha ehhh..

Hapa si wewe uliandika...au

wala msimwite mtu baba duniani maana Baba yenu ni mmoja aliye wa mbinguni".


Nimekuonya toka mwanzo usisome biblia neno kwa neno ila soma maana kwa maana..
 
Sasa wewe umetoka huko ulikotoka, hujui hata tunajadili nini unarukia tu mada kwa mbele.
Unaakili timamu weww...??? Kwenye ukoo wenu kuna watu wana kichaaa...???? Au kwenye familia kuna watu wana matatizo ya akili na utahira..???


Nioneshe hilo andiko linalosema Yesu kawakataza viongozi wa dini kujiita Baba....
 
Baba mtakatifu, Je! huyo kiongozi ni baba yako? Je! ni sahihi kumwita binadamu mwenzako "Baba Mtakatifu"??
Nilishakupa jibu kuwa anaitwa Baba Mtakatifu kwa kazi anazozifanya za kulitakatifuza Kanisa na wala si yeye kama yeye..


Kwanini unarudia kuuliza kitu kile kile angali nimekupa jibu...????
 
Back
Top Bottom