Hivi siku hizi watu hawawezi kufunga ndoa bila michango?

Vocal Fremitus

JF-Expert Member
Oct 20, 2016
1,187
5,996
Kwanza niweke wazi mimi bado sijaoa. Nipo kwenye early 30s na sina mpango wa kuoa kwa sasa. Na hata ikitokea naoa sitaki mchango wa mtu.

Kuna jambo limenikuta. Yani nina classmates na washkaji zangu kama sita hivi wote wapo mbioni kuoa mwaka huu na mwanzo wa mwaka ujao. Wote wanataka michango. Na wote michango yao ni zaidi ya 50k kila mmoja.

Kuna hawa wawili tulishapotezana huu mwaka wa sita tangu tumalize chuo na hatujawahi kuonana tangu kipindi hiko. Lakini wamepambana mpaka wakapata mawasiliano yangu. Wote wameniunga katika magroup yao ya whatsapp ya kuchangisha michango. Mmoja ameset kabisa kiwango mchango ni 100k kwa single, na 130k kwa couple.

Nikijitazama niko mbali nao kijografia na uwezekano wa kushiriki katika harusi zao ni mdogo sana. Lakini kwangu wamekua kama kero. Leo asubuhi nimekuta missed call nane na sms za kuombwa michango yao ya harusi. Kwakweli nakwazika sana.

Ndoa sio jambo la dharura. Sio busara kusumbua watu wakuchangie.
 
Hii tabia ya kulazimisha michango hata kwa watu ambao hauna ukaribu nao ni upuuzi sana.
Maisha yamebadilika na kwakifupi watu wanatakiwa watambue kwamba harusi ni jambo binafsi linalo husu wahusika na watu wake wa karibu, hivyo basi kwakua ndoa sio jambo linalo hitaji pesa.... nivizuri mtu anapo hitaji harusi basi yeye ajiandae binafsi pamoja na watu wake wa karibu.
 
Kwanza niweke wazi mimi bado sijaoa. Nipo kwenye early 30s na sina mpango wa kuoa kwa sasa. Na hata ikitokea naoa sitaki mchango wa mtu.

Kuna jambo limenikuta. Yani nina classmates na washkaji zangu kama sita hivi wote wapo mbioni kuoa mwaka huu na mwanzo wa mwaka ujao. Wote wanataka michango. Na wote michango yao ni zaidi ya 50k kila mmoja.

Kuna hawa wawili tulishapotezana huu mwaka wa sita tangu tumalize chuo na hatujawahi kuonana tangu kipindi hiko. Lakini wamepambana mpaka wakapata mawasiliano yangu. Wote wameniunga katika magroup yao ya whatsapp ya kuchangisha michango. Mmoja ameset kabisa kiwango mchango ni 100k kwa single, na 130k kwa couple.

Nikijitazama niko mbali nao kijografia na uwezekano wa kushiriki katika harusi zao ni mdogo sana. Lakini kwangu wamekua kama kero. Leo asubuhi nimekuta missed call nane na sms za kuombwa michango yao ya harusi. Kwakweli nakwazika sana.

Ndoa sio jambo la dharura. Sio busara kusumbua watu wakuchangie.

Ujumbe uwafikie oaneni kimya kimyaaaaa..tumechoka
 
Mi sina fedha za mchezo kuchangia sherehe zisizo na maana
 
Kinachokera ni zile simu za mara kwa mara..utakuta mtu umemuahidi tarehe fulani nitakupa mchango wangu, lakini kabla ya ile tarehe utakuta amekupigia sio chini ya mara kumi kukumbusha. Tafsiri yake nini kama sio hakujipanga au amekurupuka
Umemaliza yani hapo ndo wanapofeli! Yani hawa jamaa zangu wamekua ni zaidi ya wasumbufu mpaka inakera.
 
Back
Top Bottom