Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,568
- 104,512
Hata neno imani nalo tufundishane?Sasa,hapa tunaanza kukwama.Nmekuuliza unajua maana ya imani?
Hata neno imani nalo tufundishane?Sasa,hapa tunaanza kukwama.Nmekuuliza unajua maana ya imani?
Kama wokovu huuwezi kaa kimya waache watu na imani zaoJuzi ndio nimejionea mambo ,mama mtoto wangu baada ya kuvutana sana akanipeleka kwa nabii niliyoyakuta huko sirudi tena.
1.Unachukua form unajaza unalipa kuanzia 10 mpaka M.Ndio unamuona huyo nabii
2.Ukifika anakusikiliza anakuandikia dozi .Mimi kwa kuwa nilikuwa dume la nyani lilikobuhu nilipewa dozi nzito ya maji+ udongo wa madhabau+ chumvi +mafuta jumla 59,000/= ukichanganya na 10 robo tatu ya laki ikabaki kwa nabii.
3.Aliponiacha hoi nabii mbele ya mama mtoto akaanza kuniuliza Sada ni nani? Ili kutowaudhi nikajibu alikuwa mpenzi wangu wa shule.Kiukweli sijawahi kuwa na mpenzi anaitwa Sada tokea nimezaliwa.
4.Nikaambiwa huyo ndio chanzo aliniibia MANII.Ndio maana nabugia mipombe ,hela haikai na naumwa.
5.Natakiwa kufunga na kesho nihudhurie siku ya mwisho kufunguliwa vifungo kwani nina nyota pia ya uongozi ila imechukuliwa.
MwenyeeZi Mungu hachezewi, hili kanisa chini hapa huko USA linaitwa Episcopal Chrch lilikuwa linafanya ndoa hizo za jinsia moja. Likapigwa na radi ya ajabu. Jionee...Na Hayo ndio yataanz fungusha ndoa za kichoko
Mkuu unafurahisha baraza au ni ukweli? Back to the topic: haya makanisa na ''mitume'', ''wachungaji'', ''manabii'' wa makanisa ya kiroho asilimia kubwa ni matapeli wa kutupwa. Kimsingi ile kazi waliyokuwa wanafanya ''masangoma'' zamani ndiyo wameiteka wao. Kuna mmoja ''aliyemwagulia'' mke wangu eti nina mke na mtoto pembeni. Ninaposoma uliyoandika sishangai kwani kama hili la ''ada'' ya kumuona nabii najua lipo na ni wengi wanalipisha. Hata hizo ''dose' za matibabu ni wengi wanatoa kwa malipo. Ila mimi sina muda wa kwenda kupoteza huko kwa matapeli na wala siwezi kutoa fedha zangu zitakazowafanya hao ''manabii'' kuongeza idadi ya wanawake wanaotembea nao. Tujiulize: Hivi huyu Mwamposya ni mtumishi wa Mungu? Mbona ana wanawake wengi hivyo? Hivi Gwajima ni mtumishi wa Mungu? Mbona ni tapeli namna hiyo?Juzi ndio nimejionea mambo ,mama mtoto wangu baada ya kuvutana sana akanipeleka kwa nabii niliyoyakuta huko sirudi tena.
1.Unachukua form unajaza unalipa kuanzia 10 mpaka M.Ndio unamuona huyo nabii
2.Ukifika anakusikiliza anakuandikia dozi .Mimi kwa kuwa nilikuwa dume la nyani lilikobuhu nilipewa dozi nzito ya maji+ udongo wa madhabau+ chumvi +mafuta jumla 59,000/= ukichanganya na 10 robo tatu ya laki ikabaki kwa nabii.
3.Aliponiacha hoi nabii mbele ya mama mtoto akaanza kuniuliza Sada ni nani? Ili kutowaudhi nikajibu alikuwa mpenzi wangu wa shule.Kiukweli sijawahi kuwa na mpenzi anaitwa Sada tokea nimezaliwa.
4.Nikaambiwa huyo ndio chanzo aliniibia MANII.Ndio maana nabugia mipombe ,hela haikai na naumwa.
5.Natakiwa kufunga na kesho nihudhurie siku ya mwisho kufunguliwa vifungo kwani nina nyota pia ya uongozi ila imechukuliwa.
Hujajibu swali bado.Hata neno imani nalo tufundishane?Sasa,hapa tunaanza kukwama.
Hii ndio miungu yaoShetani amekuwa na project nyingi na zilizopangwa kwa werevu mkubwa.
Sitasema project alizokuwa nazo tangu enzi hizo.Lakini nitasema kwa kifupi sana kuhusu mpango wa shetani kunasa watu kwenye makanisa mengi yanayochipukia sasa hivi.
Mpango uliopo ni kuwapa roho na upako wa kushetani.Roho hizi huwapelekea kuamsha shauku ya kufanya ngono,kuondoa uvumilivu katika ndoa,kuamsha tamaa ya wanawake kutawala ili kutimiza upesi mkakati wa kwenda New World Order.
Sio ajabu leo kukuta mchungaji au nabii anafundisha wanawake jinsi ya "kupelekewa moto"!Tena hadharani wakiwepo watoto.
Tumeona huko Kenya mauaji ya kutisha yakitokea.Hii si mara ya kwanza kusikia.
Hawa wanaojiita viongozi wa kiroho wamelitukanisha jina la Kristo kwa kiasi kikubwa sana.Ndio lengo la shetani.
Ni bahati mbaya hata wafuasi hawawezi kuhoji chochote.Wamejitoa hata kufa kwa akili ya dini yao.
Hata hivyo ninasikitika pia zipo dini nyingine wasio wakristo wao pia ni kati ya project kubwa za ibilisi ili wasiujue mpango wa Mungu kwa ulimwengu.
Utanilipa shilingi ngapi kwa kunichosha?Hujajibu swali bado.
Unajua maana ya imani?
Kwa mujibu wako, imani ni nini?
😂 Dini ni utapeliKama hawakuomba waokolewe?
Shetani ni mpinga Kristo yaani hata wewe ni shetani...Umeandika mengi, na uliyosema hapo yote ni hearsey tu.
Ukiulizwa shetani ni nani utasemaje
Mi sio mtu wa kusali sana ila mpaka wazee walipoanza kunipigia makelele nikaona niende tu.Hapa na furushi la dose ya maji chupa 6+ chumvi pakti 3+ mafuta chupa 1+Udongo wa madhabau.Mkuu unafurahisha baraza au ni ukweli? Back to the topic: haya makanisa na ''mitume'', ''wachungaji'', ''manabii'' wa makanisa ya kiroho asilimia kubwa ni matapeli wa kutupwa. Kimsingi ile kazi waliyokuwa wanafanya ''masangoma'' zamani ndiyo wameiteka wao. Kuna mmoja ''aliyemwagulia'' mke wangu eti nina mke na mtoto pembeni. Ninaposoma uliyoandika sishangai kwani kama hili la ''ada'' ya kumuona nabii najua lipo na ni wengi wanalipisha. Hata hizo ''dose' za matibabu ni wengi wanatoa kwa malipo. Ila mimi sina muda wa kwenda kupoteza huko kwa matapeli na wala siwezi kutoa fedha zangu zitakazowafanya hao ''manabii'' kuongeza idadi ya wanawake wanaotembea nao. Tujiulize: Hivi huyu Mwamposya ni mtumishi wa Mungu? Mbona ana wanawake wengi hivyo? Hivi Gwajima ni mtumishi wa Mungu? Mbona ni tapeli namna hiyo?
Islamic are always Mad.MwenyeeZi Mungu hachezewi, hili kanisa chini hapa huko USA linaitwa Episcopal Chrch lilikuwa linafanya ndoa hizo za jinsia moja. Likapigwa na radi ya ajabu. Jionee...
View attachment 2667003
Limeteketea lote, kila kitu. Hata gari za zima moto zimewahi na vifaa waalivyonavyo likagoma kuzimika mpka limekwisha lote kabisa.
View attachment 2667010
View attachment 2667012
Allahu Akbar.
Pole sana. I understand. Hasa family inaweza kuweka pressure kubwa uende. Hata hili la shinikizo mimi nililipitia lakini huwa siyo rahisi kunyoosha mikono.Mi sio mtu wa kusali sana ila mpaka wazee walipoanza kunipigia makelele nikaona niende tu.Hapa na furushi la dose ya maji chupa 6+ chumvi pakti 3+ mafuta chupa 1+Udongo wa madhabau.
Umesababisha utata huko juu kuhusiana na dhana nzima ya imani ndio maana imebidi nkuulize imani ni nini.Utanilipa shilingi ngapi kwa kunichosha?
Ooh sawa ahsante kwa kunielewesha kuhusu Shetani,Shetani ni mpinga Kristo yaani hata wewe ni shetani...
Wee Jamaa utakuwa na stress za MaishaShetani amekuwa na project nyingi na zilizopangwa kwa werevu mkubwa.
Sitasema project alizokuwa nazo tangu enzi hizo.Lakini nitasema kwa kifupi sana kuhusu mpango wa shetani kunasa watu kwenye makanisa mengi yanayochipukia sasa hivi.
Mpango uliopo ni kuwapa roho na upako wa kushetani.Roho hizi huwapelekea kuamsha shauku ya kufanya ngono,kuondoa uvumilivu katika ndoa,kuamsha tamaa ya wanawake kutawala ili kutimiza upesi mkakati wa kwenda New World Order.
Sio ajabu leo kukuta mchungaji au nabii anafundisha wanawake jinsi ya "kupelekewa moto"!Tena hadharani wakiwepo watoto.
Tumeona huko Kenya mauaji ya kutisha yakitokea.Hii si mara ya kwanza kusikia.
Hawa wanaojiita viongozi wa kiroho wamelitukanisha jina la Kristo kwa kiasi kikubwa sana.Ndio lengo la shetani.
Ni bahati mbaya hata wafuasi hawawezi kuhoji chochote.Wamejitoa hata kufa kwa akili ya dini yao.
Hata hivyo ninasikitika pia zipo dini nyingine wasio wakristo wao pia ni kati ya project kubwa za ibilisi ili wasiujue mpango wa Mungu kwa ulimwengu.
Hahahaa wachungaji nawakubali sana wanavowanyoosha huko makanisani. Kwasbab hamna akili. Kwaio wacha wawanyooshe hahaa.Juzi ndio nimejionea mambo ,mama mtoto wangu baada ya kuvutana sana akanipeleka kwa nabii niliyoyakuta huko sirudi tena.
1.Unachukua form unajaza unalipa kuanzia 10 mpaka M.Ndio unamuona huyo nabii
2.Ukifika anakusikiliza anakuandikia dozi .Mimi kwa kuwa nilikuwa dume la nyani lilikobuhu nilipewa dozi nzito ya maji+ udongo wa madhabau+ chumvi +mafuta jumla 59,000/= ukichanganya na 10 robo tatu ya laki ikabaki kwa nabii.
3.Aliponiacha hoi nabii mbele ya mama mtoto akaanza kuniuliza Sada ni nani? Ili kutowaudhi nikajibu alikuwa mpenzi wangu wa shule.Kiukweli sijawahi kuwa na mpenzi anaitwa Sada tokea nimezaliwa.
4.Nikaambiwa huyo ndio chanzo aliniibia MANII.Ndio maana nabugia mipombe ,hela haikai na naumwa.
5.Natakiwa kufunga na kesho nihudhurie siku ya mwisho kufunguliwa vifungo kwani nina nyota pia ya uongozi ila imechukuliwa.
Hili neno sheitani linapatikana kwenye qur,aan ndipo chimbuko lake neno hilo au ni jina hilo lina maana nyingi mno miongoni mwake ni mtu au watu kuabudu kufanya ibada ambazo hazikutoka kwenye qur,aan kundi hilo kwa mujibu qur,an litakuwa liamuabudu sheitani au shayatwiniUmeandika mengi, na uliyosema hapo yote ni hearsey tu.
Ukiulizwa shetani ni nani utasemaje
Kristo ni mwanadamu yaani mwili kama wewe ila yeye alikuwa amezaliwa kwa nguvu za Roho Mtakatifu na hii yote ni Pendo la MUNGU kutuokoa tutoke dhambiniOoh sawa ahsante kwa kunielewesha kuhusu Shetani,
Kristo naye ni nani?