bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,343
- 25,329
UFO ni General hizo object zinaongozwa na viumbe.UFO ni viumbe.....
Kwahyo ukiskia UFO unaelewa kuwa ni viumbe!?
Wapo microorganisms kama Bacteria na viruses wasioonekana,
Lakini hawaonekani kwasababu ya upeo wa macho.
Zipo njia mbadala za kufanya waonekane.
Kwenye meditation sikuona.
Unauhakika kuwa elimu ya uchawi unaousema wewe itanifanya kuona yasiyoonekana?
Hujanielezea wewe umejaribu elimu ipi kujua hayo ikiwemo ile sayari iliyoko mbele ya dunia miaka 3000.
Waliokwenye industry ya uchawi wameproof Hilo.