Vampire 99
Senior Member
- Jun 15, 2021
- 108
- 63
napajua huko mkuu umenishtuaAcha mzee ukoo mzima ulinishikia kidedea nikaona ngoja niende tu niepushe shari.
napajua huko mkuu umenishtuaAcha mzee ukoo mzima ulinishikia kidedea nikaona ngoja niende tu niepushe shari.
Yote yalishatabiriwa! Tumwombe Mungu tujae nguvu za Roho Mtakatifu kila mara kukabiliana na mafundisho ya mashetani na roho zidanganyazo. Tuifahamu kweli na kumjua sana Mwana wa Mungu na Mwokozi wetu Yesu Kristo.Shetani amekuwa na project nyingi na zilizopangwa kwa werevu mkubwa.
Sitasema project alizokuwa nazo tangu enzi hizo.Lakini nitasema kwa kifupi sana kuhusu mpango wa shetani kunasa watu kwenye makanisa mengi yanayochipukia sasa hivi.
Mpango uliopo ni kuwapa roho na upako wa kushetani.Roho hizi huwapelekea kuamsha shauku ya kufanya ngono,kuondoa uvumilivu katika ndoa,kuamsha tamaa ya wanawake kutawala ili kutimiza upesi mkakati wa kwenda New World Order.
Sio ajabu leo kukuta mchungaji au nabii anafundisha wanawake jinsi ya "kupelekewa moto"!Tena hadharani wakiwepo watoto.
Tumeona huko Kenya mauaji ya kutisha yakitokea.Hii si mara ya kwanza kusikia.
Hawa wanaojiita viongozi wa kiroho wamelitukanisha jina la Kristo kwa kiasi kikubwa sana.Ndio lengo la shetani.
Ni bahati mbaya hata wafuasi hawawezi kuhoji chochote.Wamejitoa hata kufa kwa akili ya dini yao.
Hata hivyo ninasikitika pia zipo dini nyingine wasio wakristo wao pia ni kati ya project kubwa za ibilisi ili wasiujue mpango wa Mungu kwa ulimwengu.
Shetani amekuwa na project nyingi na zilizopangwa kwa werevu mkubwa.

Uwe unaandika kwa uchache.Unajaza "server"!Mnajaza servers kwa kujadili midinidini hamjui dini ni uhaini mtupu tu..? Hapa Kila mmoja ataanza kutetea la kwake and mostly of religions we inherited from whites!.. I do wonder and asking myself when are we going to open our minds..??
Ni uhaini na upuuzi tu,ukiwaambia watu hiyo midini ni tamaduni za watu huko ndo kwanza hawasikii! There's no one God who has different laws!, Huku aruhusu uoe mke mmoja kule wanne!..
Kindly God knows how to solve problems but this one didn't know!.. you keep fire for siners while you made a devil to be a filter of your lovely people!.. hakuna stori ya kipuuzi kama hii vitu havina uhalisia kabisa! It's nonsense fungukeni akili,acheni kuudharirisha ulimwengu na utu wenu.. hizi zana si zenu Tena zilikuwa za mababu zenu,mmejaa ujinga na akili zenu zinatumai matumaini ambayo ktk uhalisia hayapo,life is real you can't heal anything by only saying wake up!!. Our environment can heal us but when we reach our limit for a given time that doesn't mean we can't do it next days!.
There's is no such kinds of Gods,aidha mnaumwa akili tu.
😂 Acha uvivu wakusomaUwe unaandika kwa uchache.Unajaza "server"!
Hakyanani tena,nimesoma mwandiko wote.😂Love j
😂 Acha uvivu wakusoma
Sasa walalamika niniHakyanani tena,nimesoma mwandiko wote.😂
Nilipomaliza kusoma ujazaji wako wa server,nilichoka sana.Nilipiga miayo kama gunia mbili.Sasa walalamika nini
Bangi tupu..😂Nilipomaliza kusoma ujazaji wako wa server,nilichoka sana.Nilipiga miayo kama gunia mbili.
Mbona Mzee wa upako mwenyewe amenena kuwa 90% ya wanaume ni diverters, je wana divert na % ngapi ya wanawake ambao ndiyo wengi kuliko wanaume tena ndiyo wengi kwenye hizo nyumba za ibada?Mpango uliopo ni kuwapa roho na upako wa kushetani.Roho hizi huwapelekea kuamsha shauku ya kufanya ngono,kuondoa uvumilivu katika ndoa,kuamsha tamaa ya wanawake kutawala ili kutimiza upesi mkakati wa kwenda New World Order.
Uzi wa hovyo kabisa, mbona huna hata hoja moja.. Ww ndo itakuwa ni shetani wa kwanzaShetani amekuwa na project nyingi na zilizopangwa kwa werevu mkubwa.
Sitasema project alizokuwa nazo tangu enzi hizo.Lakini nitasema kwa kifupi sana kuhusu mpango wa shetani kunasa watu kwenye makanisa mengi yanayochipukia sasa hivi.
Mpango uliopo ni kuwapa roho na upako wa kushetani.Roho hizi huwapelekea kuamsha shauku ya kufanya ngono,kuondoa uvumilivu katika ndoa,kuamsha tamaa ya wanawake kutawala ili kutimiza upesi mkakati wa kwenda New World Order.
Sio ajabu leo kukuta mchungaji au nabii anafundisha wanawake jinsi ya "kupelekewa moto"!Tena hadharani wakiwepo watoto.
Tumeona huko Kenya mauaji ya kutisha yakitokea.Hii si mara ya kwanza kusikia.
Hawa wanaojiita viongozi wa kiroho wamelitukanisha jina la Kristo kwa kiasi kikubwa sana.Ndio lengo la shetani.
Ni bahati mbaya hata wafuasi hawawezi kuhoji chochote.Wamejitoa hata kufa kwa akili ya dini yao.
Hata hivyo ninasikitika pia zipo dini nyingine wasio wakristo wao pia ni kati ya project kubwa za ibilisi ili wasiujue mpango wa Mungu kwa ulimwengu.
Wewe ulipelekwa kwa Mganga wa kienyeji.Juzi ndio nimejionea mambo ,mama mtoto wangu baada ya kuvutana sana akanipeleka kwa nabii niliyoyakuta huko sirudi tena.
1.Unachukua form unajaza unalipa kuanzia 10 mpaka M.Ndio unamuona huyo nabii
2.Ukifika anakusikiliza anakuandikia dozi .Mimi kwa kuwa nilikuwa dume la nyani lilikobuhu nilipewa dozi nzito ya maji+ udongo wa madhabau+ chumvi +mafuta jumla 59,000/= ukichanganya na 10 robo tatu ya laki ikabaki kwa nabii.
3.Aliponiacha hoi nabii mbele ya mama mtoto akaanza kuniuliza Sada ni nani? Ili kutowaudhi nikajibu alikuwa mpenzi wangu wa shule.Kiukweli sijawahi kuwa na mpenzi anaitwa Sada tokea nimezaliwa.
4.Nikaambiwa huyo ndio chanzo aliniibia MANII.Ndio maana nabugia mipombe ,hela haikai na naumwa.
5.Natakiwa kufunga na kesho nihudhurie siku ya mwisho kufunguliwa vifungo kwani nina nyota pia ya uongozi ila imechukuliwa.
Huwa najiuliza sana,Mnatuchosha, kila mmoja wenu amekuwa akiongea lake na kumpinga mwingne ilihali mnatumia kitabu kimoja yaani biblia ama hata mkiwa dini tofaut basi mnatumia asili moja ya imani ya ibrahimu
Kwann msiungane tu then musolve mapungufu yenu ndipo muibuke mitaani kutuhubiria hizo injili zenu za bandia?
Kwanza mnauhakika huyo Mnemuita Mungu ni kweli anataka muwe hivyo mnavyotaka ninyi?
Mnachosha zaidi pale mnapoanza kutuhusisha hata sisi tusiofuata mifumo yenu kwa kututishoa moto sjui mavitu gani ya kijinga.
Dini zote ni uzushi mtupu
Huyo shetani ni naniSiyo mengi, ni "yote".
Hata hayo unayoona siyo ya kishetani ni ya kishetani kupita kiasi, bofya chini hapo ukajionee mwenyewe mambo ya vatikano kwa papa👇🏾
![]()
Italian exorcists warn the Vatican of the dangers of 'beautiful young vampires' and satanic yoga
Father Cesare Truqui says that dioceses in Italy and beyond were experiencing a surge in reports of symptoms of possessionwww.independent.co.uk
Acheni kuhalalisha mambo yenu ya udanganyifu,Yote yalishatabiriwa! Tumwombe Mungu tujae nguvu za Roho Mtakatifu kila mara kukabiliana na mafundisho ya mashetani na roho zidanganyazo. Tuifahamu kweli na kumjua sana Mwana wa Mungu na Mwokozi wetu Yesu Kristo.
Bangi tupu..😂
Kama hawakuomba waokolewe?Acheni kuhalalisha mambo yenu ya udanganyifu,
Habari za Mungu sjui Yesu Mwokozi.
Yesu anaokoa kitu gani juzi Titan imezama baharini na kuua watu.
Dini ilianza pale tu Tapeli wa kwanza mwerevu alipokutana na mjinga wa kwanza kuwahi kuwepo duniani.
Kwahyo mpaka waombe waokolewe?Kama hawakuomba waokolewe?