Makanisa mengi hasa ya Kilokole ni Mradi wa Shetani

Kwahyo mpaka waombe waokolewe?

Inamaana hakuwepo huyo Mungu ambaye tunaambiwa yuko kila mahali.
Means ni mpuuziaji tu na hana upendo wote kama anavyodaiwa.

Unaelewa kuwa Kama kweli angekuwepo huyo Mungu mjuzi wa yote muweza wa yote na mwenye upendo wote kusingewezekana hiyo submarine kupata ajali wala kuzama.?
Kwani haukuwahi kusimuliwa kuhusu:-
-Omba upewe?
-Bisha hodi ufunguliwe? Nk.
 
Ni makanisa yote ya Jumapili.

Hakuna sehemu Mungu alisema watu waombe kwa kelele vile, maombi gani yasiyo na utaratibu?

Wanaongea mambo yasiyo eleweka
Una hoja mwanangu. Hii mikengele, miziki na adhana ni kelele za shetani mwenyewe. Kwani, wanakumbushwa hawajui wajibu wao? Mbona hawakumbushwi kwenda kula au kulala kama. ni mataahira na wasahaulifu hivyo?
 
Mtu hapaswi kumbushwa wala shurutishwa kumuabudu Mungu.

Mungu hahitaji makelele ili asikie maombi
Mungu wetu ni wa utaratibu, ana utaratibu wake wa jinsi ya kumuabudu

Mungu wetu alionesha uwezo wake kwa wale Baal walipojikata kata na kuimba, kuomba ila hakufanya kitu, Mtumishi wake aliloanisha kila kitu, mwisho akasema Mungu jioneshe, akajionesha.

Haya makanisa ya miujiza na kuhubiri mafanikio tuyakatae, Mungu hakuja hubiri mafanikio
 
Nimewahi kuskia hadithi za Alfa_ulela ulela hzo.

Bado hujanijibu nlichokuuliza hapo mwanzo.
Kuna namna ya kujibu.Sipendi kujaza "servers" za JF.Pale kwenye "Alfu lela u lela" ulifuatilia yule mwanamke alivyokuwa anakula wali kwa kutumia kijiti?
 
Ni makanisa yote ya Jumapili.

Hakuna sehemu Mungu alisema watu waombe kwa kelele vile, maombi gani yasiyo na utaratibu?

Wanaongea mambo yasiyo eleweka
Si ya Jumapili tu, yote ni yakitapeli tu + miskiti + masnagogi + hekalu

Ujinga tu
 
Kuna namna ya kujibu.Sipendi kujaza "servers" za JF.Pale kwenye "Alfu lela u lela" ulifuatilia yule mwanamke alivyokuwa anakula wali kwa kutumia kijiti?
Tangu JF imeanza kuna mamilion ya text, hvyo text yako moja is almost neglected ukiicompare na millions of text.

Hujanijibu bado unazunguka.

By the way unaweza kumthibitisha huyo Mungu wako anayesimulia "omba ndio upewe" kama kweli yupo na si mhusika wa hadithi za alfu lela ulela?
 
Nguvu uliyotumia kuziamini hadithi za "Alfu lela u lela" ungetumia hata robo tu kutafuta ufanyaji kazi wa Mungu,wala usingehangaika kuulizauliza maswali infinities.
 
Makanisa, masinagogi, matemple na misikiti vyote ni mpango wa shetani wa ugenini
Una haki na mawazo yako. Kwanini tubishane kwa mawazo yako huru? iioni sababu isipokuwa tunaweza tukaelimishana kwa kwa ushahidi kwa kila mmoja wetu anachokijuwa. Mwisho wa siku kila mmoja wetu atakuwa kajifunza kutoka kwa mwenzake japo kiduchu. Kukikubali ni hiyari huru ya mtu. Hakuna kulazimishana katika imani.

Naamini katika kujifunza, mimi ni mwanafunzi daima.
 
FaizaFoxy ,weye unasali kanisa gani la kilokole?
 
Nguvu uliyotumia kuziamini hadithi za "Alfu lela u lela" ungetumia hata robo tu kutafuta ufanyaji kazi wa Mungu,wala usingehangaika kuulizauliza maswali infinities.
Aliyekwambia nlitumia nguvu kuziamini ni nani?

Unaongelea ufanyaji kazi wa Mungu,
Ambae hayupo.

Hujanijibu swali langu, waweza kumthibitisha huyo Mungu kuwa ni real na anaexist, si mhusika wa hadithi?
 
Sasa,unataka ueleweje jambo(Mungu) ambalo unaamini halipo?Uelewe ili iweje?Wewe endelea kuamini kwamba hayupo.Kwani kuna "noma" mkuu?
 
Na Hayo ndio yataanz fungusha ndoa za kichoko
 
Sasa,unataka ueleweje jambo(Mungu) ambalo unaamini halipo?Uelewe ili iweje?Wewe endelea kuamini kwamba hayupo.Kwani kuna "noma" mkuu?
Aliyesema anaamini kuwa Mungu hayupo nani?

Hapo hakuna anayeelewa kuhusu huyo Mungu, wote hamuelewi, si ajabu mnatumia tungo tata na vitabu vyenye kujipinga vyenyewe kimantiki.

Unaelewa ama ni kama mziki unatembea na biti tu?

ungekuwa unaelewa usingeshindwa kunielewesha hapa na kutatua utata kwenye hiyo dhana ya Mungu.

Nnajua huwezi kufanya hivyo kwasababu Mungu mjuzi wa yote, muweza wa yote na mwenye upendo wote hayupo.

Bisha
 
Imani yako halafu nikubishie?Nitakuwa sitendi haki na uhuru wako wa kujieleza na kufikiri.
 
Unajua maana ya imani?

Hujaweza kutatua contradiction za wazi kwenye hyo dhana ya Mungu.
Unajiamini halafu Unazunguka tu
Sijazunguka.Nimejikita kukufariji kuhusu kutokuwepo Mungu.Ulipendelea tujadili "hamna"?
 
Back
Top Bottom