Kuna taarifa chini ya kapeti kuwa kuanzia JUMAPILI wiki hii makanisa yote hasa ya Arusha yataanza kulindwa wakati wa ibada kama ilivyo Kenya. Polisi watakuwa na kazi kubwa maana makanisa ni Mengi ARUSHA
hivi wewe una akili timamu?Huu ni utumiaji mkubwa wa rasilimali za taifa....najiulizaga sijui watu wanafikiria kwakutumia nini......wakianza kuyalinda makanisa then kesho GULIO likishambuliwa wanatuambia Magulio yote yataanza lindwa na polisi???
hivi wewe una akili timamu?
hivi wewe una akili timamu?
hivi wewe una akili timamu?
Wakihamia Mwanza je?
Kwani Mwanza hakuna polishi
Huu ni utumiaji mkubwa wa rasilimali za taifa....najiulizaga sijui watu wanafikiria kwakutumia nini......wakianza kuyalinda makanisa then kesho GULIO likishambuliwa wanatuambia Magulio yote yataanza lindwa na polisi???