Makanisa kuwekewa Ulinzi

Makanisa kuwekewa Ulinzi

Status
Not open for further replies.
Huu ni utumiaji mkubwa wa rasilimali za taifa....najiulizaga sijui watu wanafikiria kwakutumia nini......wakianza kuyalinda makanisa then kesho GULIO likishambuliwa wanatuambia Magulio yote yataanza lindwa na polisi???

hiyo ndo kazi ya jeshi la police kuhahakikisha usalama wa raia...
 
Wakubwa kwa hali ilivo sasa hivi me nasapoti hii ki2 kwa asiliamia 200, ikiwezekana makanisa yafungwe vifaa maalum vya ku-detect silaa, coz kuna uwezekano kabisa sasa hivi 2kasikia kuna m2 kajitoa muhanga siku ya ibada katika kanisa fulani. Kiujumla serikali inatakiwa ifanye kila inachoweza kuhakikisha amani ya nchi inabaki kama ilivo, 2siangalie makanisa 2 coz M23 walisha2piga biti kwa hiyo kuna uwezekano na wenyewe ndo wanataka ku2vunjia amani kwa njia izo...
 
Waambieni washughulikie chanzo ambacho kinafahamika ni wufuasi wa ile imani ya kiarabu. It is hard if not impossible to dwell in peace and harmony with those people.


Psalm 133: 1 Behold, how good and how pleasant it is for brethren to dwell together in unity!
 
hiyo ndo kazi ya jeshi la police kuhahakikisha usalama wa raia...

hilo sijakataa hata kidogo, ninachokibisha ni kwamba....Polisi hawana uwezo hata kidogo wa kulinda Makanisa yote...sio Arusha wala Tanganyika nzima........ni vema wangetuambia wanatumia tekinohama...ningewaelewa.....ushawaji jiuliza kwa nchi yetu ratio ya polisi na raia ni ngapi.........kwanza polisi wenyewe hawatoshi....hawana vitendea kazi nk

kwa wenzetu wanajitahidi saana kuzuia ujangili....ugaidi kabla haujatendwa....mfano wajua kwanini Israel inashambulia baadhi ya maeneo Sireia kwa sasa???????ukienda UK, US kuna watu wako kwenye uangalizi wa polisi bila wao kujijua kutokana na mienendo yao kutiliwa shaka................ushajiuliza kwa hapa Tanganyika polisi wanatumia hizo mbinu...........mara nyingi wanakurupuka pale tu tukio linapotokea.................Mipolisi ya Tanzania inaongozwa na Wazee wenye mawazo ( tena mgando refer kwa yule boss wa polisi Iringa) na akili ya miaka ya 47.........wao wanachokijua ni mabomu ya Machozi na risasi za moto tu....Ushawahi ona wapi polisi aliyefuzi anampiga raia ambaye anaaandamana bila silaha na risasi za moto??????? huoni huu ni upunguwani wa polisi.......

wao wakiweka ulizi makanisani unafikiri wanaotaka kushambulia wataaenda tena shambulia kanisani...........wangefanya uchunguzi wa kina.....wajue kwanini lile shambulio lilitokea pale kanisani.....yawezekana tatizo wala halikuwa kanisa bali walikuwa wanamlenga mtu ambaye alitokea tu kuwa pale siku ile.........

Jeshi la polisi kwa hali ilivyo sasa linatakiwa lifanyiwe marekebisho makubwa saaana........ watambue dunia imebadilika.......na kikubwa matukio ya kihalifu nayo yanabadilika kuendana na.... ukuwaji wa uchumi .....tekinologia pamoja na ukuwaji wa uchumi wa mtu moja moja...........
 
Bwana asipoulinda mji waulindao wakesha buuuuuuuuuure! Kwanza hao polisi wa kulinda makanisa wako wapi? Tushughulikie ugaidi na udini ili tuendelee na maisha yetu ya kawaida. koleo sio umma ita koleo ni koleo uone kama kutakuwa na chokochoko
 
Kwa nini ulinzi wakati wanayaripua wenyewe!
 
Mi naona kila kwenye mkusanyiko wa watu kwa mantk ya imani,siasa,kidiplomasia na kijamii ulinzi shirikishi pamoja na jeshi liwepo kwa usalama wa raia na mali zao.
 
ina maana Akina Ambrose wanataka kumaliza makanisa Yao.?
kama hili tukio haliusiani na udini kwa misikiti hailindwi.!!
 
inamaana ulinzi hakuna mbaka majanga yatokee? sikubali! upelelez wa nn? na je magaidi wapo harusha tu? mbona dar kila siku ---- wizi wa bastola au mbaka
watumie mabomu ?!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom