Martin George
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,695
- 1,470
Report inayowasilishwa kesho itajielekeza kwenye kutuonyesha economic lmpact na kamati yake imeundwa na wabobezi wa uchumi na sheria. Sasa kama kweli Lisu na Zitto nia yao ni njema kwenye sakata hilii la makanikia basi kesho watakuwa uwanja wa nyumbani kwa mujibu wa taaluma zao. Kwenye ile ripoti ya Prof Mruma, hawa wanasiasa wawili walidandia treni kwa mbele na tunaweza kuwasamehe kwa kuwa Yale maji yalikuwa marefu kwao. Kesho ndio tutazijua rangi zao halisi maana wanasheria ni mabingwa wa kucheza na lugha, bado hatujasahau ya Richmond na BMK!