Makanikia: Sura halisi za Tundu Lisu na Zitto Kabwe kujulikana kesho

Martin George

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,695
1,470
Report inayowasilishwa kesho itajielekeza kwenye kutuonyesha economic lmpact na kamati yake imeundwa na wabobezi wa uchumi na sheria. Sasa kama kweli Lisu na Zitto nia yao ni njema kwenye sakata hilii la makanikia basi kesho watakuwa uwanja wa nyumbani kwa mujibu wa taaluma zao. Kwenye ile ripoti ya Prof Mruma, hawa wanasiasa wawili walidandia treni kwa mbele na tunaweza kuwasamehe kwa kuwa Yale maji yalikuwa marefu kwao. Kesho ndio tutazijua rangi zao halisi maana wanasheria ni mabingwa wa kucheza na lugha, bado hatujasahau ya Richmond na BMK!
 
Watanzania wa leo wameamka toka usingizini. Hakuna cha Tundu Lissu wala Zitto katika hili la wizi wa madini yetu. MCHAWI wetu katika hili ni CCM na Serikali yake. Hawa ndo wamesaini mikataba mibovu na kupitisha sheria mbovu bungeni tena kwa hati za dharura huku wakiitikia kishabiki ndiyooooooooooooo!
 
Hawa watu wehu sana
 
..hiyo ripoti itakuja na jambo gani jipya ambalo Tundu Lissu hajapata kulisemea?

..ukumbuke Tundu Lissu yupo kwenye hizi harakati tangu mwaka 98 / 99.

..pia nashangaa focus imekuwa Tundu Lissu badala ya makampuni ya madini au maswahiba zao waliosaini mikataba mibovu.
 
Ccm hamna akili... Yaani mikataba wasaini mawaziri wenu lawama zihamie kwa dito na lissu
 
Report inayowasilishwa kesho itajielekeza kwenye kutuonyesha economic lmpact na kamati yake imeundwa na wabobezi wa uchumi na sheria. Sasa kama kweli Lisu na Zitto nia yao ni njema kwenye sakata hilii la makanikia basi kesho watakuwa uwanja wa nyumbani kwa mujibu wa taaluma zao. Kwenye ile ripoti ya Prof Mruma, hawa wanasiasa wawili walidandia treni kwa mbele na tunaweza kuwasamehe kwa kuwa Yale maji yalikuwa marefu kwao. Kesho ndio tutazijua rangi zao halisi maana wanasheria ni mabingwa wa kucheza na lugha, bado hatujasahau ya Richmond na BMK!
Kwa bahati mbaya kabisa ripoti ilitoka kabla ya hata tume haijaundwa, tume yenyewe imepewa marking scheme inakili majibu, ya kesho yamwshavuja wanatafuta wakumhamishia mzigo mtu aliye nje ya mfumo na hajawahi kuwamo humo...
 
Wale jamaa huwa wajanja sana. Wakiongea huwa wanaacha na chochoro za kutorokea wakibanwa.
Wwngekuwa straight kwenye siasa zao tungewafaidi sana tatizo hawatulii ili kujua wanasimamia upande gani hasa..
Anytime they can change to any direction...

Ni ujinga kudhani kila anayeongea anatunza uchochoro.Who to escape sasa wakati mikataba waliingia CCM ?

ZIGO LENU WENYEWE SHUGHULIKENI WENYEWE.
 
Report inayowasilishwa kesho itajielekeza kwenye kutuonyesha economic lmpact na kamati yake imeundwa na wabobezi wa uchumi na sheria. Sasa kama kweli Lisu na Zitto nia yao ni njema kwenye sakata hilii la makanikia basi kesho watakuwa uwanja wa nyumbani kwa mujibu wa taaluma zao. Kwenye ile ripoti ya Prof Mruma, hawa wanasiasa wawili walidandia treni kwa mbele na tunaweza kuwasamehe kwa kuwa Yale maji yalikuwa marefu kwao. Kesho ndio tutazijua rangi zao halisi maana wanasheria ni mabingwa wa kucheza na lugha, bado hatujasahau ya Richmond na BMK!
Zitto na Lissu ndiyo wamesaini mikataba na ACACIA???
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kama mnafanya kwa ajili ya kumukomoa Lissu kuna uwezekano wa kutokufika mbali kwa kuwa Hanna nia njema na nchi kama ambavyo hamukuwa na nia njema Siku mulipokuwa mnasaini mikataba mibovu.

Wakati Lissu aliyekuwa na nia njema na nchi alikuwa anapinga mikataba isisainiwe kwa nia njema ileile ya kuihurumia nchi Lissu bado anatoa tahadhari kwa nia nzuri aliyonayo mh rais kuwa afanye kazi kwa tahadhari anaposhughulikia suala hili kwani nia njema na yenyewe isipokuwa na tahadhari inaweza ikaitumbukiza nchi katika janga kubwa zaidi.
 
Back
Top Bottom