Makanali watatu wa Jeshi la Rwanda wakamatwa Dar, Wafikishwa Kisutu

Jamani kuna tension kubwa EAC kati ya Rwanda na Uganda, Yoweri anasema Kagame anampango wa kumwondoa, vile vile Kagame naye anadai the same.

RWANDA-UGANDA COLD WAR: KAGAME SUMMONS SECURITY CHIEFS, URUGWIRO MEETING DETAILS ON MUSEVENI LEAK
Posted by Placide Kayitare | Nov 6, 2017

Rwandan president Gen Paul Kagame has held a security meeting with his trusted security chiefs as the relations between Kampala and Kigali continue to become frosty.

According to our highly placed military source from Urugwiro, the meeting which took place on Saturday moments after Kagame had returned from Africa Global Business Forum in Dubai was attended by Fred Ibingira the head of Rwanda’s Reserve Force, Joseph Nzabamwita the head of Rwanda National Intelligence and Security Services (NISS) James Kabarebe the minister of defense and Francis Mutiganda the head of Rwanda External Security Organization (ESO).

This military source told this website that the purpose of the meeting was to discuss plan B after Ugandan government embarked on a crackdown and arrest of Rwandan spies operating in Uganda and police officers suspected to have been spying for Kigali.

Recently, the chieftaincy of Military Intelligence (CMI) arrested several police officers and a Rwandan former government soldier Rene Rutagungira accused of kidnap and illegal repatriation of former member of Kagame’s body guard Lt Joel Mutabazi who had sought refugee in Kampala and is currently serving life imprisonment in Kigali.

Kigali since last week responded by firing all Ugandan employees working in key positions in Kigali without giving explanations. Their employers were instructed to replace them with qualified Burundian refugees and other Rwandese.

A source also told us that Kagame is not happy with his former Luwero bush war comrade and boss Gen Yoweri Museveni and has promised to deal with Kampala decisively.

It is reported that during Saturday meeting, the discussed measures on how to revenge to Kampala actions including supporting the possible uprising in case the ruling regime in Kampala forcefully changes the constitution to enable president Museveni to re-run for presidency in 2021.

“Kigali is waiting until change is made because president Kagame believes that changing constitution is done deal. He wants to support in flaming the fire that will rise after constitutional change.”

“Kigali is praying for Museveni to change the constitution and use the ant Museveni sentiment to disorganize Uganda and cause Museveni to relinquish power”. A source said.

It is also indicated the meeting also accepted to fund one of Uganda’s key opposition figures and cause civil unrest in Ugandan until the regime falls.

“In the weekend meeting this was also another plan they had but they fear to approach Dr Besigye because they betrayed him in the past. They promised him a lot and gave him nothing in the past and Gen Muntu totally refused to work with them to betray Uganda.”

The source also noted that Kigali is also waiting on the Gen Kale Kayihura’s fate after the arrest of his top aides in police.

There have been reports that Kigali is clandestinely supporting Gen Kayihura to replace president Museveni for president a move Kigali recently denied.

Hawa wasela wawili tuwe nao.makini.

Wanataka kulianzisha halafu walete huo ujinga huku Tanzania ili wajicukulie madini na wanyama kule mbugani na hifadhini.

Maana, awamu hii tumewafanya marafiki wa karibu sana kosa ambalo Kabila Junior wa DR Congo alilifanya kisha wakaingiza moto kule DR Congo hadi leo wanajichotea Mali wapendavyo.

Walianza ivyo hivyo, uyo huyo Kagame.na M7 kisha wakalipeleka DR Congo hadi leo hapaeleweki.

TISS na Wazee wa kazi zile za formula nzito iweni makini.
 
Hivi ni ipi afadhali kati ya mifugo kuingia nchini na hawa watu wakimyakimya wanaotoka kwenye taasisi za ulinzi za hawa Maswahiba wetu majirani?

Yote ni hatari.
Kama hujawahi kusikia au kuona basi kuanzia leo sikia na elewa kuwa nchi zinatumia hadi wanyama kama ng'ombe, ndege kama kuku, njiwa, tai, mwewe n.k.n.k kwenye ushushushu/ espionage tambua kuwa jirani yako ndiye adui yako namba moja.
 
Yote ni hatari.
Kama hujawahi kusikia au kuona basi kuanzia leo sikia na elewa kuwa nchi zinatumia hadi wanyama kama ng'ombe, ndege kama kuku, njiwa, tai, mwewe n.k.n.k kwenye ushushushu/ espionage tambua kuwa jirani yako ndiye adui yako namba moja.
Wangeonyesha picha za hao watu tunaweza tukawafahamu na tukawasaidia kwenye uchunguzi wao
 
Yote ni hatari.
Kama hujawahi kusikia au kuona basi kuanzia leo sikia na elewa kuwa nchi zinatumia hadi wanyama kama ng'ombe, ndege kama kuku, njiwa, tai, mwewe n.k.n.k kwenye ushushushu/ espionage tambua kuwa jirani yako ndiye adui yako namba moja.
point yako nini kwenye iyo issue
 
Kwa hili itakuwa unamsingizia manake unafahamu hawa jamaa tupo nao since 1960s na Mwalimu akawafanya wajisikie home! Tukajichanganya nao na kusoma nao madarasa yale yale tuliyosoma sisi! Na tangu wakati huo wakawa wanaajiriwa serikalini pamoja nasi kwavile tuliwachukulia kama ndugu zetu!

Baadae wakaja kutugeuka na kuwa adui zetu! Walitugeuka wakati tayari wapo ndani ya idara mbalimbali za serikali kwa miaka nenda rudi!

Na hata huyo ambae umeshindwa kumtaja jina ndie serikali yake ilifanya kazi ya ziada kuwachomoa kwenye idara mbalimbali za serikali including majeshini ambako walijichomeka tangia awamu ya Mwalimu!

I believe wengine bado wapo kwa sababu tulichanganyika nao mno.
Hii mbinu aliitumia raisi wa qiuba ndani ya America, ni mbinu hatari saana, nA zile nchi tunazokuwa nazo kwenye utafauti huwa wanapata wepesi mkubwa kutujua na kutuelewa mipango yetu
 
Kagame anataka kuchukua wakimbizi toka Libya sijui anawapeleka wapi ktk hako ka nchi nafkiri ana plan fulani evil ya kuwatumia

Ni kweli nimekutana na baadhi ya wanyaru wakiwa pale mji mkuu Libya wakifanya mchongo huo.
 
point yako nini kwenye iyo issue

Soma.vizuri swali la.aliyeuliza na lingajisha majibu yangu.

Usipoelewa basi tambua hilo swali na jibu lake havina nafasi kwenye ubongo wako. I mean, you need a different stuff than that one.
 
Yote ni hatari.
Kama hujawahi kusikia au kuona basi kuanzia leo sikia na elewa kuwa nchi zinatumia hadi wanyama kama ng'ombe, ndege kama kuku, njiwa, tai, mwewe n.k.n.k kwenye ushushushu/ espionage tambua kuwa jirani yako ndiye adui yako namba moja.
sio kwenye nchi zenye watawala washamba washamba
 
Soma.vizuri swali la.aliyeuliza na lingajisha majibu yangu.

Usipoelewa basi tambua hilo swali na jibu lake havina nafasi kwenye ubongo wako. I mean, you need a different stuff than that one.
acha ujinga na ubishi wa kibashite simply what was ur point there
 
Kajiita Mwenyewe hivyo akiwa Mzumbe

Jakaya ndio role model wangu wa Muda wote Mkuu!

JK ni binadamu sana.

maduka kariakoo leo hii yanafungwa, wafanyabiashara tena zile safari za Hongkong, Thailand, Dubai na Ghunzhou hazipo tena, Ujenzi wa nyumba mpya mijini umepungua kwa kiasi kikubwa, Furniture centre haziuzi tena kama zamani..

JK alitaka kuimodernize tanzania na watanzani wafunguke kimataifa lakini ndio hivyo ndoto zimezimwa tena na wenye mawazo ya karne ya saba...
 
Mm ninaunga mkono ma spy wa Rwanda lakini wawe wa kike wakituma wa kiume tuwapige risasi tu
 
Mi natamani miaka iliyobaki ipite iende zake kwa mana ninadomo chafu naweza kupayuka mimi hapa alafu wakaningoja getini
 
Back
Top Bottom