Makanali watatu wa Jeshi la Rwanda wakamatwa Dar, Wafikishwa Kisutu

Yani mpaka kutangazwa tu basi hakuna kinachoendelea au wana Diplomacy immunity? Kama sivo ilitakiwa wapitishwe kwenye arrogation wawe Tortured alafu Mchezo umalizwe apo apo wakishafunguka.
 
Rwanda yasonga mbele.. ndiyo mnavyokuwa brain washed?sasa subiri watu kama wewe mwisho wenu unakaribia Tanzania

Haya maneno ya mwisho wenu unakaribia nimeambiwa toka miaka ya 88 na bado tunadunda mpaka gamba natumia la Kijani kusafiria popote dunian wivu utakuua ndugu
 
Hivi mbona Tanzania ina Waburundi, Wakongo, Wamalawi na Wasomali wengi tena wanafanya mambo mengi mabaya katika Jamii zetu hizi lakini hamuwaandami kama mnavyowaandama Wanyarwanda?

Hivi Wanyarwanda tumewakoseeni nini nyie Watanzania? Kuna ambacho tumewalia labda tujichangishe tuwalipeni? Hivi mnajua kama hata huu 'ustawi' wenu mlionao na mnaojivunia nao sasa hata Raia wa Rwanda wameshiriki katika kuuchangia na kufanya uwepo hadi leo hii? Au ni hii IQ yetu kubwa na moyo wetu wa Ujasiri na Kujituma ndiyo unawateseni Watanzania?
Ungejiuliza kwanza kwa nn nyie na si hao wengine....huenda kweli mna tabia mbaya
 
Hii mbinu aliitumia raisi wa qiuba ndani ya America, ni mbinu hatari saana, nA zile nchi tunazokuwa nazo kwenye utafauti huwa wanapata wepesi mkubwa kutujua na kutuelewa mipango yetu
Kuna tofauti
ukilinganisha Cuba vs US na Tanzania vs Rwanda. Wa-Cuba wali-infiltrate wakati Wanyarwanda tumewaingiza cc wenyewe wakaja kutugeuka.

Threat ya US ukilinganisha na Tanzania ni kwa Israel pale Isreal itakapokuja kuisaliti US!
 
Tena tukaomba na UN ikajenga na Shule ile ya Tunduru secondary (SHAPLIA) Kule Tunduru, Mchonga akaona naye apatie humo humo akawachukua wanafunzi wa Kitanzania kutoka KIBITI na TOSAMAGANGA akawachanganya na WAKIMBIZI Na mwaka uliofuatia akachukua Watanzania tu kutoka mikoa ya MTWARA, RUVUMA na IRINGA akawatosa wakimbizi kwa kisingizio eti Tunduru ni mbali na Kambi za wakimbizi wa RWANDA NA BURUNDI...............wengi wa wakimbizi walienda High Schools then Vyuo na hatimae makazini tunao bado.............Hivyo kuwapurge kwenye System ni kazi ngumu........!!!!!!!!!!
I see! Hilo la kujengewa hadi shule Tunduru nilikuwa silifahamu! Lakini kama ulivyosema, kuwachomoa wote is almost to impossible cuz' wale tuliowasomesha in the name of refugees tayari wana watoto ambao nao tayari ni old enough kuwemo ndani ya system.
 
Hisia zangu ni kuwa lengo la hii kesi ni kutafuta namna ya kuwashughulikia wale maspy wa Kenya. Intelligence community inajua kabisa kuwa kuna maspy kutoka Rwanda walikamatwa na ni mda sasa umepita.

Sasa kwa vile Mkuu hana uhusiano mzuri na Kenyatta anataka kuwashughulikia hao maspy wa Kenya. Sasa angeshtaki hawa wakenya wakati waRwanda mda mrefu wamedakwa na hawajashtakiwa, intelligency community ingeelewa nini? Kwanini wasiwe hawa washtakiwe wale tu?

Sasa ndio imefanyika hiyo geresha, wataachiwa lakini lengo ni kuwabana wale wakenya.
Wale wa Kenya, serikali imeshasema haijui kuhusu uwepo wao, sasa wakija kuwashtaki ilhali walisema hawajui alipo doesn't make sense.
 
Kongo ina matatizo yake Sugu toka kagame Ajazaliwa Hizo fake news mnazosoma endeleen kusubiria ela za Makinikia Rwanda yasonga Mbele pia sijawaelewa Watz weng wanaiongelea Rwanda lakin Hapa Rwanda huwez skia wanaiongelea Tz hawana muda wao ni kazi juu ya Kazi na kuna wengine wengi ukiwauliza Tz mwaijua wanasema n nin hiki.
Sasa wewe unavoona Rwanda inakuwa discussed hapa JF, your shallow mind thinks wananchi wote wa Tz wanaijua Rwanda. Icho kinchi chenu ni kidogo kama wilaya ya Same, nobody gives a https://jamii.app/JFUserGuide about it, alafu honestly speaking from live experience, you guys are not that smart at all. I have met many Rwandese, hamna kitu special nyie. Just very ordinary folks.
 
Hivi mbona Tanzania ina Waburundi, Wakongo, Wamalawi na Wasomali wengi tena wanafanya mambo mengi mabaya katika Jamii zetu hizi lakini hamuwaandami kama mnavyowaandama Wanyarwanda?

Hivi Wanyarwanda tumewakoseeni nini nyie Watanzania? Kuna ambacho tumewalia labda tujichangishe tuwalipeni? Hivi mnajua kama hata huu 'ustawi' wenu mlionao na mnaojivunia nao sasa hata Raia wa Rwanda wameshiriki katika kuuchangia na kufanya uwepo hadi leo hii? Au ni hii IQ yetu kubwa na moyo wetu wa Ujasiri na Kujituma ndiyo unawateseni Watanzania?
iwacu heza, numva ndahakumbuye!
 
Wee ndu_mku kweli....huo unyarwanda wenu uliwasaidia nini zaidi ya kuchinjana tuu kwa ubinafsi na ukabila wenu?
hatuwataki hata kidogo musije kutuambukiza gonjwa la ubaguzi na kuchinjana hovyo kaa kuku.
 
Kwa hili itakuwa unamsingizia manake unafahamu hawa jamaa tupo nao since 1960s na Mwalimu akawafanya wajisikie home! Tukajichanganya nao na kusoma nao madarasa yale yale tuliyosoma sisi! Na tangu wakati huo wakawa wanaajiriwa serikalini pamoja nasi kwavile tuliwachukulia kama ndugu zetu!

Baadae wakaja kutugeuka na kuwa adui zetu! Walitugeuka wakati tayari wapo ndani ya idara mbalimbali za serikali kwa miaka nenda rudi!

Na hata huyo ambae umeshindwa kumtaja jina ndie serikali yake ilifanya kazi ya ziada kuwachomoa kwenye idara mbalimbali za serikali including majeshini ambako walijichomeka tangia awamu ya Mwalimu!

I believe wengine bado wapo kwa sababu tulichanganyika nao mno.
Tutawaondoa tuu...ije mvua lije jua...hawa wapuuxi hawachangamani na jamii ya kitz...ni wabinafsi sanaaa.
 
Wale wa Kenya, serikali imeshasema haijui kuhusu uwepo wao, sasa wakija kuwashtaki ilhali walisema hawajui alipo doesn't make sense.
Serikali ilisema haijui au IGP Sirro alisema hana taarifa nao?
 
Upuuzi mtupu kwa nini jitihada zenu zisijenge kwenu nyie wabaguzi mnagombana kila kukicha.

MNA nini nyie mmejaa ukabila. Kila Siku mnafikiria nani awe kiongozi wa nchi kati ya mtusi na mhutu.

Kama kweli wewe myarwanda nimechukizwa na comment yako.
Asituletee hizo huyo
 
Hivi mbona Tanzania ina Waburundi, Wakongo, Wamalawi na Wasomali wengi tena wanafanya mambo mengi mabaya katika Jamii zetu hizi lakini hamuwaandami kama mnavyowaandama Wanyarwanda?

Hivi Wanyarwanda tumewakoseeni nini nyie Watanzania? Kuna ambacho tumewalia labda tujichangishe tuwalipeni? Hivi mnajua kama hata huu 'ustawi' wenu mlionao na mnaojivunia nao sasa hata Raia wa Rwanda wameshiriki katika kuuchangia na kufanya uwepo hadi leo hii? Au ni hii IQ yetu kubwa na moyo wetu wa Ujasiri na Kujituma ndiyo unawateseni Watanzania?

Thibitisha kauli yako, Rwanda imeisaidiaje Tanzania
 
Kwa hili itakuwa unamsingizia manake unafahamu hawa jamaa tupo nao since 1960s na Mwalimu akawafanya wajisikie home! Tukajichanganya nao na kusoma nao madarasa yale yale tuliyosoma sisi! Na tangu wakati huo wakawa wanaajiriwa serikalini pamoja nasi kwavile tuliwachukulia kama ndugu zetu!

Baadae wakaja kutugeuka na kuwa adui zetu! Walitugeuka wakati tayari wapo ndani ya idara mbalimbali za serikali kwa miaka nenda rudi!

Na hata huyo ambae umeshindwa kumtaja jina ndie serikali yake ilifanya kazi ya ziada kuwachomoa kwenye idara mbalimbali za serikali including majeshini ambako walijichomeka tangia awamu ya Mwalimu!

I believe wengine bado wapo kwa sababu tulichanganyika nao mno.

Walianza fanya jambo gani, ?
 
Back
Top Bottom