Makamu wa Rais Samia Suluhu akishiriki katika mazoezi ya viungo


Hute

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
6,567
Likes
4,764
Points
280

Hute

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
6,567 4,764 280
Makamu wa Rais, Samia Suluhu akishiriki katika mazoezi ya viungo pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi Oysterbay leo Disemba 31.
bf976ebc8cb6ba66d689aff1c5461a0c.jpg
hivi hayo matambara kwa joto la dsm na yupo kwenye mazoezi huwa haoni joto? au ni uvumilivu? hadi huwa nawaonea huruma.
 

Mzee

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Messages
13,396
Likes
3,448
Points
280

Mzee

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2011
13,396 3,448 280
Mnasisitiza mazoezi wakati watu hawana uhakika wa milo mitatu kwa siku, sijui hayo mafuta ya ziada yatatoka wapi.
Maisha ya Tanzania ni mazoezi tosha.....

"MASKINI ANATEMBEA KILOMITA NYINGI KUTAFUTA CHAKULA WAKATI MATAJIRI WANATEMBEA KILOMITA NYINGI KUMENG'ENYA CHAKULA"
 

Forum statistics

Threads 1,204,005
Members 457,048
Posts 28,138,070