Makamu wa Rais Samia Suluhu akishiriki katika mazoezi ya viungo

Hahah hata walioambiwa Pombe Magufuli (PhD) atakuwa Raisi wa JMTZ 2015 walisema hivyo hivyo kama wewe!
Bingwa Wa
kukata utepe
kuzinduwa miradi
kufungua makongamano
kufunga warsha
kufagia masoko
. Upuuzi mtupu
 
Anne Makinda alishangaa sana alipoambiwa akatangaze Magufuli ameshinda nomination.
Hata mimi mpaka leo nauliza swali kama wale wafuasi wa John The Baptist,"Ndio wewe Mwokozi au tumsubiri mwingine?"
Let me hasten to add ninayo hapa chupa ya wine ya Pure Heaven
 
Makamu wa Rais, Samia Suluhu akishiriki katika mazoezi ya viungo pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi Oysterbay leo Disemba 31.
bf976ebc8cb6ba66d689aff1c5461a0c.jpg
Sijui niropoke
 
Mlevi tu wewe, karibu tuungane kwenye ulimwengu wa bacardi! Nina lichupa la hiyo kitu hapa...
 
Nakuja. Upo Kisongo, uko wapi? Mi nina chupa mbili hapa za Pure Heaven.
Halafu it is very unlikely kwamba Mimi nitakwenda kwenye rendez vous yoyote.
 
Ni hapa tu kwenye hili jiji la wapenda amani ila sasa imekuwa tofauti, (jina lake lilitoholewa) siyo kisongo!
 
Anne Makinda alishangaa sana alipoambiwa akatangaze Magufuli ameshinda nomination.
Hata mimi mpaka leo nauliza swali kama wale wafuasi wa John The Baptist,"Ndio wewe Mwokozi au tumsubiri mwingine?"
Let me hasten to add ninayo hapa chupa ya wine ya Pure Heaven
Dadeki
 
Vipi kuhusu igizo la yule aliyekuwa akihutubia kwa dakika tano tu wakati wa kampeni za uchaguzi za mwaka juzi?.
Mkuu kwa mtindo huu umewahi kufaulu mtihani kweli? Hapa yanazungumziwa mazoezi ya viungo sio kuhutubia. Kwanza nani kakuambia hutuba ni lazima izidi dakika tano na uwe umesimama?
 
Makamu wa Rais, Samia Suluhu akishiriki katika mazoezi ya viungo pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi Oysterbay leo Disemba 31.
bf976ebc8cb6ba66d689aff1c5461a0c.jpg
Ndio kazi aliyobakia kuifanya....magu hamuachii gap mama nae apate airtime
 
Mkuu kwa mtindo huu umewahi kufaulu mtihani kweli? Hapa yanazungumziwa mazoezi ya viungo sio kuhutubia. Kwanza nani kakuambia hutuba ni lazima izidi dakika tano na uwe umesimama?
Hahahaa, Happy New Year Mkuu Chakaza, let us hope 2017 itakuja na neema tele kwetu.

Uimara wa kiongozi hujionyesha hata akiwa jukwaani.

Nuru ya kiongozi hujionyesha popote anaposimama na kuongea na wananchi, na push ups kidogo zinatoa ushahidi wa uimara wa yule anayetaka tumpigie kura zetu nyingi.
 
Asante sana mkuu Phillipo Bukililo, kheri na kwako pia. Mie nadhani kwa viongozi wetu ni bora sana kuwa na Afya ya akili kuliko ya Mwili. Haitoshi kuwa na mtu anaweza kukimbia km 20 bila kupumzika, kupiga pushup 50 na kupakua Magunia 100 ya Mahindi toka kwenye Scania na kumpa uongozi kwani yuko kamili kiafya lakini kumbe ni Mirembe case. Kwamba hata sikia ushauri, anaweza kutoa maamuzi ya ajabu na hata kuaibisha.
Afya ya akili inamuwezesha kiongozi hata kama ame paralize na anatembea kwenye wheel chair bado anaweza kufanya maamuzi yenye tija kwa Taifa.
Ni hayo tuu mkuu
 
Back
Top Bottom