Mkuu kama wewe ni mchumi toa hoja una uwezo gani wa kuelewa uchumiKwani?mpango ndio waziri wafedhwa?
Abane fedha yeye kwani zake?Wanabodi, uteuzi wa Dkt Mpango kuwa Makamu wa Rais ni kudhibiti matumizi ya serikali na mambo mengine ya uchumi...
Huko tushatoka kwenye utawala wa jiwe aliyetutaka tuishi maisha ya shetaniMkuu kama wewe ni mchumi toa hoja una uwezo gani wa kuelewa uchumi
Mimi sio mtaalamu sana lakini nimetumia lugha rahisi kuelimisha watu ambao wanashangilia bila kuwa na uelewa wa sera zinazoandikwa kwa kiingereza
Mimi napinga hoja yako ya kwanza kwamba mabenki yanaikopesha serikali fedha.Wanabodi, uteuzi wa Dkt Mpango kuwa Makamu wa Rais ni kudhibiti matumizi ya serikali na mambo mengine ya uchumi...
Kwani wakati Magufuli alipokuwa hai si watu tulilalamika tena kwa kusaidiwa na Wabunge, tena Wabunge wa chama tawala, lakini nani aliyesikia malalamiko yetu?. Kwa hiyo hata kama tutalalamika kama wao hawajaamua kubadili mtizamo haitasaidia.Kwa vyovyote vile wakifanya maisha magumu tutakula nao sahani moja , make wananchi hatutaelewa na pia unafaidika nini kufanya vitu ambavyo jamii unayoiongoza haikuelewi ? Unapata faida gani ?! Au huwa wanafurahia kuona raia wanalalamika ?? Wanajiskia furaha Sana huenda
Je athari zake ni zipi Kwa kubana matumizi wakati mlaji na mtumiaji mkubwa wa pesa ni Serikali?
We huoni kilichotokea, vilio vyetu visiposikiwa na watawala, aliyetuweka duniani atasikia.Kwani wakati Magufuli alipokuwa hai si watu tulilalamika tena kwa kusaidiwa na Wabunge,tena Wabunge wa chama tawala,lkn nani aliyesikia malalamiko yetu?.Kwa hiyo hata km tutalalamika km wao hawajaamua kubadili mtizamo haitasaidia.
Kha! kha!, khaaa!!,Ina maana Samia asipowasikiliza watu naye atafariki??We huoni kilichotokea ,vilio vyetu visiposikiwa na watawala , aliyetuweka duniani atasikia
Mkuu Trilioni mbili makusanyo kwa Walipa kodi hawazidi watu miliona nneNinavyoelewa mimi DR. Mpango kwenye hotuba yake emphasis haikuwa kwenye kubana matumizi ya serikali bali kuthibiti matumizi mabaya ya fedha za Serikali. Kuthibiti matumizi sio CONTRACTIONARY POLICY bali PRUDENT PUBLIC EXPENDITURE POLICY. Serikali inapeleka fedha nyingi kwenye Halmashauri lakini matumizi yake ni mabaya sana ,hayaridhishi . Hiyo ni moja ya sababu ya kumuondoa Jaffo TAMISEMI, alishindwa kuthibiti matumizi mabaya ya fedha kwenye halmashauri.
Rais Samia ingefaa kama angewauliza hao wachumi wake ; KAMA MISHAHARA WANAYOWALIPA WAFANYAKZI SERIKALINI KAMA NI LIVING WAGE? JE HIYO NDIO SABABU ILIYOFANYA MSIONGEZE MISHAHARA TOKA MAGUFULI AINGIE MADARAKANI? Mpango should be able to explain this anomaly.
Mkuu kwa ufupi huwezi kuitenganisha Benki kuu na Mabenki ya biasharaMimi napinga hoja yako ya kwanza kwamba mabenki yanaikopesha serikali fedha.
Hiyo inakuwa serikali inafanya biashara na mabenki njia ambayo si sahihi.
Serikali yoyote ile huiagiza benki kuu pekee ama kuchapa fedha zaidi kwenda kwenye mzunguko au kudhibiti mfumuko wa bei na kuangalia kiwango cha riba.
Suala hapa ni kuruhusu biashara zishamiri huku biashara hizo zikilipa kodi stahiki.
Kila mlipa kodi ana wajibu huo wa kulipa kodi iwe kodi ya mapato, kidi ya maendeleo, kodi ya kiwanja, na kodi zingine zilizopo.
Hakuna njia ingine ya ya kupata fedha kwenye mzunguko na hata hiyo FDI nao hutakiwa kulipa kodi ya corporational tax ambayo 0wao hawataki kufanya hivyo.
Makampuni makubwa duniani kama Amzon wamekumbwa na dhoruba ya kiasi kikubwa cha kodi ambazo wamekuwa wakidaiwa na serikali za nchi kadhaa duniani.
Kodi ni wajibu .
Safi sana mkuuu.Mimi napinga hoja yako ya kwanza kwamba mabenki yanaikopesha serikali fedha.
Hiyo inakuwa serikali inafanya biashara na mabenki njia ambayo si sahihi.
Serikali yoyote ile huiagiza benki kuu pekee ama kuchapa fedha zaidi kwenda kwenye mzunguko au kudhibiti mfumuko wa bei na kuangalia kiwango cha riba.
Suala hapa ni kuruhusu biashara zishamiri huku biashara hizo zikilipa kodi stahiki.
Kila mlipa kodi ana wajibu huo wa kulipa kodi iwe kodi ya mapato, kidi ya maendeleo, kodi ya kiwanja, na kodi zingine zilizopo.
Hakuna njia ingine ya ya kupata fedha kwenye mzunguko na hata hiyo FDI nao hutakiwa kulipa kodi ya corporational tax ambayo 0wao hawataki kufanya hivyo.
Makampuni makubwa duniani kama Amzon wamekumbwa na dhoruba ya kiasi kikubwa cha kodi ambazo wamekuwa wakidaiwa na serikali za nchi kadhaa duniani.
Kodi ni wajibu .
Kwani Bank ya Maendeleo Africa sio Bank??? Exim Bank sio Bank??? Mbona serikali inakopa huko???Mimi napinga hoja yako ya kwanza kwamba mabenki yanaikopesha serikali fedha.
Hiyo inakuwa serikali inafanya biashara na mabenki njia ambayo si sahihi.
Serikali yoyote ile huiagiza benki kuu pekee ama kuchapa fedha zaidi kwenda kwenye mzunguko au kudhibiti mfumuko wa bei na kuangalia kiwango cha riba.
Suala hapa ni kuruhusu biashara zishamiri huku biashara hizo zikilipa kodi stahiki.
Kila mlipa kodi ana wajibu huo wa kulipa kodi iwe kodi ya mapato, kidi ya maendeleo, kodi ya kiwanja, na kodi zingine zilizopo.
Hakuna njia ingine ya ya kupata fedha kwenye mzunguko na hata hiyo FDI nao hutakiwa kulipa kodi ya corporational tax ambayo 0wao hawataki kufanya hivyo.
Makampuni makubwa duniani kama Amzon wamekumbwa na dhoruba ya kiasi kikubwa cha kodi ambazo wamekuwa wakidaiwa na serikali za nchi kadhaa duniani.
Kodi ni wajibu .
Kwani? Mpango ndio waziri wa fedhwa?