Ni sawa na kuuliza SPARE TYRE ina kazi gani kwenye gari?
Makamu wa Rais ni SPARE TIRE ya Rais.
Kama ilivyo spare tire ya gari, kama Rais sio incapacitated au hajafa, Makamu wa Rais hana KAZI.
Lakini unashauriwa kila mara kuwa spare tire kwenye gari lako, hata kama tires zako ni mpya au safari yako ni ya umbali mfupi, it is common sense.