Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mtwara Mjini na Makamu Mwenyekiti wa chama cha CUF, Maftaha Nachuma amekihama chama hicho na kujiunga na chama cha ACT Wazalendo
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Maftaha amekabidhiwa kadi ya ACT Wazalendo na Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho bara, Isihaka Mchinjita kwenye kongamano la kumpokea lililofanyika katika Ukumbi wa Kanisa la Pentekoste Mtwara tarehe 19 Juni 2025