Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 3,573
- 4,849
TBL wako very proactive wameuza kampuni kwa wamarekani wanaotengeneza Budweiser lakini kwenye forecast yao walianza kuanguka toka amri ya kufungua baa saa kumi kufunga saa tano usiku ilipotiliwa mkazo. TDL na Dar Brew (konyagi na chibuku)wameanguka zaidi baada ya amri ya marufuku viroba. Kampuni zote zimepunguza wafanyakazi wengi sana na waliopo wameambiwa kusaini mkataba wenye mshahara mdogo mpya au kusepa. Kushuka kwa purchasing power kumepelekea uzalishaji mdogo na unywaji.Hapo yanabanwa makampuni na wateja wao vile vile. Mfano TBL inaongoza kwa ulipaji kodi, lakini nalo linapunguza wafanyakazi, pengine ni ukweli kuwa ama wateja wao wamepunguziwa uwezo wa kufanya matumizi au kodi zimeongezeka na athari wanazipata wao kama kampuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama aliyekua akiishi kama malaika ataishi kama shetani je wewe uliyekua kuishi kama shetaini umewahi jiuliza utaishije?Waliokuwa wanaishi kama malaika wataishi kama mashetani.
Sio makampuni makubwa tu hata biashara ndogo zimeathirika, mfano baa nyingi zimefungwa au kupunguza watumishi, hotel I, migahawa, maduka nk yamefumgwa. Hii so ishara nzuri kwa uchumi wa nchi tukiweka mbali ushabiki na ulevi wa kisiasaMabadiriko ya kisiasa na kiuchumi huambatana na athari chanya na hasi.Maboresho ya sera,sheria,usimamiaji sheria,utekelezaji maazimio na usimamiaji.Athari chanya na hasi haziepukiki pindi mapinduzi ya taratibu za kimaisha zinapobinuliwa kwa maslahi tofauti kitaifa na kiuongozi.
Taasisi na makampuni mengi za kibiashara {uwekezaji} zimeyumba hata kupelekea kufunga biashara,kupunguza wafanyakazi,kusimamisha biashara,kuuza hisa na kutafuta wabia mbadala.lakini pia zipo kampuni ambazo zimewekwa chini ya uangalizi wa taasisi za fedha na nyingine kuwa katika mchakato wa kufirisiwa.
Mfano wa taasisi na makampuni tajwa ni Airtel {Redundancy},TBL{Redundancy},Home Shopping {Change Name},GSM Malls {Punguza Wafanyakazi},GSM Media {Imefungwa},Living Room {Kupunguza wafanyakazi},Subway-Diamond Plaza {Fungwa},IPP,SSB,Cocacola,Bravo {redundancy},BMTL {redundancy},Freightworld {redundancy},MTL,DSM Collidor,Quality Group,Abla Properties {...},Spencon {winding up},Acacia {Makinikia},Twiga Bancorp {Supervisory},Gapco {Sold to Total} n.k..
Kama taifa yatupasa kuhakiki faida na hasara za muda mrefu za mabadiriko,marekebisho,maboresho na ufinyangaji wa michakato,sera,usimamizi,utekelezaji wake.Ninayo imani yamkini ipo nia thabiti kabisa ya kila linalofanywa sasa kwa faida za kizazi kilichopo na kijacho hivyo basi tathmini ifanyike ili kulinda biashara halali zilizopo pamoja uwekezaji wa mabilioni na wenye athari mtambuka {ajira,kodi,n.k}.
Ila kuna watu ima ni wagumu kuelewa au hamuelewi uhusiano wa kutegemeana kati ya serikali, biashara na wafanyabiashara. Kuna rafiki yangu alikuwa private, alikuwa mshangiliaji mzuri wa maamuzi ya awamu hii akidhani madhara ya kuanguka kwa uchumi yeye hayatamkuta. Sasa hivi amepewa notice ya kuachishwa kazi kampuni inafunga biashara next month amechanganyikiwa. Madhara ya kuanguka kwa mzunguko wa fedha kutamkuta hadi mkulima mdogo wa vijijini.Ni kweli, kodi haijaongezeka, sheria Ni zilezile, hizo kampuni zilikuwa za kupiga dili tu, magufuri kaza Uzi tu mpaka kieleweke. Kampuni nyingi Tanzania zilikuwa zinakwepa kodi ndo maana zilishine sana, na nyingi zilifanya kazi na serikali kwa kuiba sana serikalini, kuingiza vitu Vila kulipa kodi, etc. Kwa hiyo hizo siyo kampuni za kufumbia macho, wacha wafilisike, wafunge biashara n.k.
nafikiri ni aggre.demand na si purchasing powerTBL wako very proactive wameuza kampuni kwa wamarekani wanaotengeneza Budweiser lakini kwenye forecast yao walianza kuanguka toka amri ya kufungua baa saa kumi kufunga saa tano usiku ilipotiliwa mkazo. TDL na Dar Brew (konyagi na chibuku)wameanguka zaidi baada ya amri ya marufuku viroba. Kampuni zote zimepunguza wafanyakazi wengi sana na waliopo wameambiwa kusaini mkataba wenye mshahara mdogo mpya au kusepa. Kushuka kwa purchasing power kumepelekea uzalishaji mdogo na unywaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Hakuna kitu kinachoitwa "Shell" za mafuta ni vituo vya kuuzia petrol, au petrol station.Shell ni kampuni ya Mafuta kama ilivyo BP,au Oilcom iliyokuwa ina operate nchini mpk miaka ya 80's ilipofunga shughuli zake ,kuita petrol station shell ni kosa ni Sawa na kuita Margarine Blue band nisamehe kwa kukurekebisha!Soon shell nyingi za mafuta nazo zitafungwa.
Mkuu ulipotea sana vip ulikuwa wap?Sio ishara nzuri kwa makampuni makubwa kuyumba .....
Lakini tutafakari kwa makini nini kimebadilika Tanzania?.
Kama ni kodi je uko nyuma walikuwa wanalipa kodi?.
Kama ni ndio kwa nini wanayumba?......
Maswali yanabaki kuwa na wao kuna sehemu wamekosea pia......
Maana kila mmoja hapo naona anguko lake ni tofauti na la mwingine......
Kcb ni ya Kenya, Delloite na City Bank ni za kimataifaSasa hivi mazingira ya kodi sio rafiki kwa mfanyabiashara mdogo. Kampuni nyingi zikishirikiana na watendaji zilikwepa kodi na sheria mbalimbali mfano za uajiri wageni. Ikiwa kampuni kubwa kama acacia hawakuwa na operating certificate hapo ndio ujue nchi ilipxa kiasi gani.
Bandarini ikihusisha na sekta zingine kama tra wamepindisha sana taratibu ili kukinga mikono sasa mambo hayo hakuna tena.
Customs wa airport walikuwa kama miungu watu endapo kama unleta mizigo lazima ujipendekeze ili wasikubamize kodi. Tunaamini sasa Hata Swissport wataacha kubutua mabegi na mizigo ya watu maana MH Makonda anataraji kufunga kamera za surveillance inabidi aanze kuzifunga kwenye ofisi za umma pia ili tuone utendaji wao.
Wakenya wanaongoza kwa uwekezaji hapa nchini lakini impact yao haikuwahi kuonekana sababu ya panya wanaokula rushwa hapo kati. Ni kampuni gani ya kikenya inapongezwa kwa kulipa kodi, hata mishahara labda Delloite na City bank
Sent using Jamii Forums mobile app
BMTL wamebadili JINAMabadiriko ya kisiasa na kiuchumi huambatana na athari chanya na hasi.Maboresho ya sera,sheria,usimamiaji sheria,utekelezaji maazimio na usimamiaji.Athari chanya na hasi haziepukiki pindi mapinduzi ya taratibu za kimaisha zinapobinuliwa kwa maslahi tofauti kitaifa na kiuongozi.
Taasisi na makampuni mengi za kibiashara {uwekezaji} zimeyumba hata kupelekea kufunga biashara,kupunguza wafanyakazi,kusimamisha biashara,kuuza hisa na kutafuta wabia mbadala.lakini pia zipo kampuni ambazo zimewekwa chini ya uangalizi wa taasisi za fedha na nyingine kuwa katika mchakato wa kufirisiwa.
Mfano wa taasisi na makampuni tajwa ni Airtel {Redundancy},TBL{Redundancy},Home Shopping {Change Name},GSM Malls {Punguza Wafanyakazi},GSM Media {Imefungwa},Living Room {Kupunguza wafanyakazi},Subway-Diamond Plaza {Fungwa},IPP,SSB,Cocacola,Bravo {redundancy},BMTL {redundancy},Freightworld {redundancy},MTL,DSM Collidor,Quality Group,Abla Properties {...},Spencon {winding up},Acacia {Makinikia},Twiga Bancorp {Supervisory},Gapco {Sold to Total} n.k..
Kama taifa yatupasa kuhakiki faida na hasara za muda mrefu za mabadiriko,marekebisho,maboresho na ufinyangaji wa michakato,sera,usimamizi,utekelezaji wake.Ninayo imani yamkini ipo nia thabiti kabisa ya kila linalofanywa sasa kwa faida za kizazi kilichopo na kijacho hivyo basi tathmini ifanyike ili kulinda biashara halali zilizopo pamoja uwekezaji wa mabilioni na wenye athari mtambuka {ajira,kodi,n.k}.
Vyeti fake,waloishia la 7,Hilo kundi linamsubiri 2020 limshughulikie vilivyo,na atakiona cha mtema kumi
Yapo makundi mengi ukiachilia mbali hilo
Shell ni jina la kampuni like Total,Gapco,GBP,CAMEL OIL,OILCOM,PETRO,PUMASoon shell nyingi za mafuta nazo zitafungwa.
Bampa to Bampa= Mabadiliko
= mabadiliko
Hujuwi namna ya kuwacha nafasi "spacing" unapoandika?
Huwa mna mawazo mazuri lakini mnapoyawasilisha kwa kukosea wapi pakuweka R na wapi pakuweka L ladha yote ya kusoma inaondoka.
Hivi mlienda shule kusomea ujinga?
[emoji418] Hujuwi
[emoji736]Hujui
halafu hili neno linakupa shida kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
TBL wapo kwenye orodha ya walipa kodi mahiriKati ya makampuni uliyoyataja ni yapi yanaongoza kwa kulipa kodi nchini?
Ni za kimataifa lakini za hapa zimetokea kenya central command yote haswa Hr inatokea Kenya. Mfano HR wa citi wa hapa anasubiri maamuzi makuu toka nairobi yeye anakuwa kama business partner tu.
Nakupendaga[emoji735]we mama nakupendaga hadi naumwa
Kwa sasa Tanzania haipo.Shell ni kampuni ya Kingereza / Kiholanzi. Ina makao makuu UK na Incorporated Uholanzi.
Ipo karibia dunia nzima.
TBL wanayumba kwa mengi.Ni ishara nzuri kwa wenye makampuni kujua athari za kufanya biashara kwa kutofuata taratibu na sheria zilizowekwa.
Wala hakuna issue ya mfumo wala Sera ni udhaifu wa watendaji wa Serikali iliyopita kuruhusu mambo kufanyika kiholela na makampuni mengi yakajisahau.
Amekuja mwenye nchi Sasa wengi wamechanganyikiwa wakiambiwa wakumbuke sheria zinazoongoza taratibu za hayo makampuni.