Makampuni gani ukipata kazi unahisi umeshinda bahati nasibu?

Yeah, ofisi ya Dar ina watu wachache kwa sababu ya mradi mdogo wa malaria. Ofisi kubwa ipo Mbeya makao makuu ambapo nyanda za juu kusini ndio ina mradi Mkubwa wa HIV/AIDS.
Ukijipanga vizuri,ukajiuza vizuri wakati wa interview wanalipa mpunga wa kutosha tuu, mid level posts up to 5m-7m.
Vipi tuliosomea ualimu tunaweza pata?
 
Yeah, ofisi ya Dar ina watu wachache kwa sababu ya mradi mdogo wa malaria. Ofisi kubwa ipo Mbeya makao makuu ambapo nyanda za juu kusini ndio ina mradi Mkubwa wa HIV/AIDS.
Ukijipanga vizuri,ukajiuza vizuri wakati wa interview wanalipa mpunga wa kutosha tuu, mid level posts up to 5m-7m.
Nina degree ya uchumi napataje kazi hapo?
 
View attachment 516692

Wote tunajua kuhusu makampuni au mashirika yanayolipa vizuri na kuwajali wafanyakazi wake kwa kiwango cha juu na cha kuridhisha. Makampuni ambayo kila mtu anawaza siku moja apate kazi katika makampuni au mashirika hayo kwa imani kwamba maisha yake yatakuwa mororo na ataweza hata kujiwekea malengo yake na kuyatimiza.

Je kwa hapa nchini ni makampuni au mashirika gani yenye sifa hizo?
Mochuale
 
Nikweli kabisa
FB_IMG_1497422141664.jpg
 
Back
Top Bottom