Mtambuzi
Platinum Member
- Oct 29, 2008
- 8,809
- 15,417
Wote tunajua kuhusu makampuni au mashirika yanayolipa vizuri na kuwajali wafanyakazi wake kwa kiwango cha juu na cha kuridhisha. Makampuni ambayo kila mtu anawaza siku moja apate kazi katika makampuni au mashirika hayo kwa imani kwamba maisha yake yatakuwa mororo na ataweza hata kujiwekea malengo yake na kuyatimiza.
Je kwa hapa nchini ni makampuni au mashirika gani yenye sifa hizo?