Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Dr Dr Dr (Fitna, Majungu, Unazi) Makamba yu njiani kujiuzuru
taarifa zilizonifikia hivi punde kuna ushawishi mkubwa kutoka NEC juu ya Makamba kutoendelea na wadhifa wake wa Ukatibu Mkuu! Mkutano wa NEC ulio mbioni kufanyika huenda utamtema kutokana na vuguvugu kubwa la kumtaka aachie ngazi haswa kuhusiana na sakata la Arusha! Tega sikio kuskia zaidi
mh wamweke tambwe ili chama kife kabisaaaaaaaaaaaaa
Atajiuzulu wapi wakati anafurahia sherehe ya Mapinduzi kwa kuchekelea??? Lini Watu Wa CCM wanafukuzana??
Hawawezi kumtoa huyu Mzee na ni hatari kwa CCM na wanajua...
Acheni Uongo Huyu Hapa Kwenye Sherehe Za Mapinduzi Z'Bar akichekelea na furaha Tele...
mkuu... huyu jamaa si msomali...! tena
hapa umenena mkuu huyu jamaa abakie azidi kuharibu maana amesaidia sana wapinzani kuwa na nguvu.
kwa kuwa huyu jamaa hajui chochote zaidi ya porojo ni bora sana kuliko kuja mwingine ambaye anaweza kuanza kukisuka sisiem kikasimama tena.
kwa sasa sisiem inahemea kwenye mashine ya dharura ni vyema huyu ambaye hajui kitu aendelee ili upinzani uzidi kug'ara na kuwapiga chini 2015
kweli mkuu chiligati is the bestduu.. haribu haribu yake ndio ilikuwa inasaidia .... tuombe mungu wamweke kilaza mwingine kama Chiligati
duu.. haribu haribu yake ndio ilikuwa inasaidia .... tuombe mungu wamweke kilaza mwingine kama Chiligati
Kati ya Mropokaji na Fisadi yupi anastahili kuwa Katibu Mkuu? Wanaruka mkojo na kuangukia mavi!