Makamba ni mzigo kwa nchi hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makamba ni mzigo kwa nchi hii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gaza, Nov 20, 2010.

 1. G

  Gaza Senior Member

  #1
  Nov 20, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 103
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Makamba ni mpumbavu asie na huruma na maisha ya watanzania masikini.
  Uchaguzi umekwisha ingekua wakati muafaka sasa wakuweka mikakati ya kumpunguzia mwananchi mzigo wa umasikini alio twikwa na CCM yeye anaelekeza wabunge na madiwani wa CCM walio kataliwa na wananchi wafungue kesi mahakamani na chama kita gharamia gharama za kesi .kwanini hizo pesa zisitumike kwa kazi zingine za maendeleo ya taifa letu uchaguzi umekwisha huu ni wakati wa kusonga mbele
   
 2. k

  kingwipa1 JF-Expert Member

  #2
  Nov 20, 2010
  Joined: Jul 2, 2008
  Messages: 335
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Unategemea nini kutoka kwa mbumbumbu Makamba? Yeye hafikirii maisha ya mtanzanzania bali madaraka n kuendeleza ukoloni uliondolewa na baba wa Taifa.
  Mukasa hawezi kurudi bungeni labda aende Uganda kugombea huko, tunajua huyo ni ndugu yako maana mkeo mganda ni ndugu wa Mukasa.
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Nov 20, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,830
  Likes Received: 10,142
  Trophy Points: 280
  Na kwa familia yake pia
   
 4. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #4
  Nov 20, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mods plz, hawa members walijiunga kwa mizuka ya uchaguzi watatuharibia jukwaa muda si mrefu, hii lugha wanayotumia mbona kama wametumwa vile ili kijiwe hiki kionekane cha wahuni?

  Halafu tofauti na ilivyokuwa mwanzo ambapo sisi tilipojiunga angalau unachukua muda kusoma kanuni na taratibu za JF ambazo zinakataza lugha kama hizi, hawa wenzetu wao nafikiri wanakurupuka. Tafadhali jamani bado tunaipenda JF.

  By the way hata mimi sim fagilii Makamba lakini siwezi kumtukana kihivyo kwakuwa na ni binadamu.
   
 5. T

  The Infamous JF-Expert Member

  #5
  Nov 20, 2010
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  kwakweli hizi lugha hebu mziangalie..isije ikatokea kama ya utamu wa kujingata ulimi..pls tutumie lugha nzuri kidogo
   
 6. T

  The Infamous JF-Expert Member

  #6
  Nov 20, 2010
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  hivi hizi post hazikaguliwi kabla ya kuachiwa hapa jamvini? manake zingine zina lugha kali sana kama ya huyu member..tujirekebishe jamani
   
 7. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #7
  Nov 20, 2010
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Makamba bora useme turudie uchaguzi wa rais. CCM inawauma kadiri siku ziendavyo wanazidi kutumbukia kaburini 2015 hitima
   
 8. HISIA KALI

  HISIA KALI JF-Expert Member

  #8
  Nov 20, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 694
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waacha waende Mahamaka, na naomba washinde kesi zote ili chaguzi zirudiwe tena halafu waone wanapiga kura watakavyo watia aibu kubwa. Wezi wakubwa hao
   
 9. HISIA KALI

  HISIA KALI JF-Expert Member

  #9
  Nov 20, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 694
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukimwaangalia Makamba ana nundu utosini, nadhani hii inaconnection na ubongo wake. Aende hospital
   
 10. O

  Ongeauchoke Senior Member

  #10
  Nov 20, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 150
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  MAKAMBA
  Hivi huyu mtu (Makamba) anafikiri kuwa watanzania hawana ufahamu wa kupima mambo? CCM wametawala miaka 50, kuna nini kilichofanyika? ukilinganisha maisha ya majirani zetu ni nafuu sana hapa ni mzigo kwa sababu ya CCM. Wabunge wa CCM walioshinda ni kwa kuhonga na kuchakachua iliposhindikana hasa pale wapiga kura walivyokuwa ngangari wameshindwa. Mwache awatose ili walipe gharama za kesi kwani hawawezi kushinda kesi hizo. Vilevile elewe kuwa Mungu hakuipa CCM kutawala milele; lakini kwa sababu hawafikirii kabisa kumwondolea mwananchi matatizo isipokuwa kujineemesha wao tu ndiyo maana anawza kwenda mahakamani. wako wabunge wao waliochakachua na kupora matokeo km yule wa Segerea ambaye kwa muda mfupi atabwagwa chini kwa sababu alishindwa kabisa!
   
 11. anti-fisadi

  anti-fisadi JF-Expert Member

  #11
  Nov 20, 2010
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Guys, this buddy anajimaliza mwenyewe kama ccm inavojimaliza! They (ccm) will automatically go out of the system, you will see...
  Posistion like this guy have, is very powerful; need someone very focused,educated,talented...just like you know who dr (phd) slaa. I wonder ccm just cant learn till their end of time comes...
   
Loading...