Makamba kupewa ukuu wa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro?

Status
Not open for further replies.
Makamba aje awe Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro? Thubutuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu atakuwa anakaa Dar. Hata hivyo Mkuu wa Mkoa hapa sijui huwa anafanya nini anyway anaweza aje!!!
 
Jamani hii iwe treated kama tetesi hadi hapo itakothibitika kikamilifu kabisa.

Habari hizi za uhakika kiasi zimefika mezani kwangu kwa njia za panya.

Baada ya kuona kuwa Mzee Makamba atapata wakati mgumu kujieleza mbele ya wajumbe wa Kikao cha Kamati Kuu mkuu wa nchi ameshauriwa na wapenzi wa CCM kuwa mzee huyu apangwe ukuu wa mkoa ili akapumzike huko.

Katika hali ya kuonyesha kuwa watu hawa walikuwa wamejipanga wamependekeza kuwa Mhe. Makamba apewe mkoa wa Kilimanjaro ambao ni ngome ya CHADEMA ili apambane kuisambaratisha ngome hiyo.
Ni imani ya wapenda chama hao kuwa Makamba anaweza kabisa kuifuta CHADEMA mkoani Kilimanjaro.

Ninaishangaa hii ilivyokaa hovyo!!!!!!!!!!

Makamba ana nguvu gani ya kuvunja ngome ya chadema!!!!!!!!!!!! Kama kweli ccm ndivyo wanavyotaka kufanya basi wanapoteza muda.
 
Nasikia makamba kwa sasa anaugulia kwa mtt wake januari kukosa uwaziri,sasa kama atapelekwa kwenye ukuu wa mkoa anaweza kudondoka na kusababisha akapata nundu ya pili pale kwenye paji lake la uso.
 
tunamkaribisha sana knjaro!mkuu wa mkoa hana kazi labda kualikwa kwenye maafali. Kuivunja ngome hataweza!
 
mhh kama ni kweli mbona atarudi na ngeu ya pili upande wa pili wa kichwa,unacheza na peoples power
 
Jamani hii iwe treated kama tetesi hadi hapo itakothibitika kikamilifu kabisa.

Habari hizi za uhakika kiasi zimefika mezani kwangu kwa njia za panya.

Baada ya kuona kuwa Mzee Makamba atapata wakati mgumu kujieleza mbele ya wajumbe wa Kikao cha Kamati Kuu mkuu wa nchi ameshauriwa na wapenzi wa CCM kuwa mzee huyu apangwe ukuu wa mkoa ili akapumzike huko.

Katika hali ya kuonyesha kuwa watu hawa walikuwa wamejipanga wamependekeza kuwa Mhe. Makamba apewe mkoa wa Kilimanjaro ambao ni ngome ya CHADEMA ili apambane kuisambaratisha ngome hiyo.
Ni imani ya wapenda chama hao kuwa Makamba anaweza kabisa kuifuta CHADEMA mkoani Kilimanjaro.

Ninaishangaa hii ilivyokaa hovyo!!!!!!!!!!

Kilimanjaro hatutaki rejects au viongozi wabovu. Kilimanjaro si sehemu ya kutupia viongozi wabovu, so is kila mkoa na wilaya ya tanzania.
 
KAMA NDIVYO BASI HIYO SAFI SANA, MAANA MAKAMBA NDIYE ALIYEKISAMBARATISHA CHAMA CHA MAPINDUZI!!!!!!!!!!!AKIONDOLEWA TU CCM ITAKUWA NA UHAI TENA!!!!!!!!!:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:
 
Wamruhusi akajifie na siasa zake za maji taka. Hata kwenye kata kataleta migogoro.
 
Bora apelekwe huko akafundishwe maisha maana hakuna ubabaishaji huko, na huko ndio utakuwa mwisho wa umaarufu wake wa kuropoka!
 
Jamani hii iwe treated kama tetesi hadi hapo itakothibitika kikamilifu kabisa.

Habari hizi za uhakika kiasi zimefika mezani kwangu kwa njia za panya.

Baada ya kuona kuwa Mzee Makamba atapata wakati mgumu kujieleza mbele ya wajumbe wa Kikao cha Kamati Kuu mkuu wa nchi ameshauriwa na wapenzi wa CCM kuwa mzee huyu apangwe ukuu wa mkoa ili akapumzike huko.

Katika hali ya kuonyesha kuwa watu hawa walikuwa wamejipanga wamependekeza kuwa Mhe. Makamba apewe mkoa wa Kilimanjaro ambao ni ngome ya CHADEMA ili apambane kuisambaratisha ngome hiyo.
Ni imani ya wapenda chama hao kuwa Makamba anaweza kabisa kuifuta CHADEMA mkoani Kilimanjaro.

Ninaishangaa hii ilivyokaa hovyo!!!!!!!!!!

If that becomes reality..... It's realy suicidal to them... Let them!!!... I'll be very glad indeed!!!
 
mi nilidhani atakuwa balozi wa mtaa wa moja ya kijiji kule Tanga, kumbe anakuwa RC.... Hii haiwezekani, huwezi kuboronga hivo halafu ukaendelea kunganganiwa....
 
He wont make it there....nimeishi KLM for three years kama public servant...So ninawajua wachaga kwa kiasi kikubwa sana...Any Makamba type guy wont make a day of living in Chaga Land.......
 
Na ndio maana hao wa PWANI na Tabora wataendelea kuwa wa mwisho kwa kila jambo elimu, kijamii nk................ubongo hovyo.

Ujinga wenu waTZ ni kujiona baadhi kuwa mna akili kuliko wengine.. lakini inapotokea kujilinganisha na wakenya nyinyi wa kwanza ku-comment kuwa waTZ wote bongo lala - hamsemi tena kuwa wachaga wana akili... NONSENSE!
 
He wont make it there....nimeishi KLM for three years kama public servant...So ninawajua wachaga kwa kiasi kikubwa sana...Any Makamba type guy wont make a day of living in Chaga Land.......

pia nimefanya kazi huko... machaga yana tabia ya kujikomba sana kwa watumishi yanapotaka huduma, lakini yanaongoza kwa ubaguzi yanapogundua wewe si mchaga na kuita kyasaka. yanaabudu sana wazungu, hayana chochote zaidi ya ubaguzi... ni kizazi cha wakikuyu wa kenya ndo mana ukabila wanaujua vilivyo
 
Tusidanganyane hapa, wachaga ni waTZ walewale hawana lolote la zaidi, zaidi ya inferiority complex, eti wamesoma kuliko watanzania wote, ati nini? ukabila na ufisadi unaowafanya mmoja akipata uongozi wa ofifi ya umma ajira zote kwa wachaga wenzake ndio kusoma? shame on you!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom