Mwalimu Makini
Member
- Dec 5, 2009
- 65
- 23
Jamani hii iwe treated kama tetesi hadi hapo itakothibitika kikamilifu kabisa.
Habari hizi za uhakika kiasi zimefika mezani kwangu kwa njia za panya.
Baada ya kuona kuwa Mzee Makamba atapata wakati mgumu kujieleza mbele ya wajumbe wa Kikao cha Kamati Kuu mkuu wa nchi ameshauriwa na wapenzi wa CCM kuwa mzee huyu apangwe ukuu wa mkoa ili akapumzike huko.
Katika hali ya kuonyesha kuwa watu hawa walikuwa wamejipanga wamependekeza kuwa Mhe. Makamba apewe mkoa wa Kilimanjaro ambao ni ngome ya CHADEMA ili apambane kuisambaratisha ngome hiyo.
Ni imani ya wapenda chama hao kuwa Makamba anaweza kabisa kuifuta CHADEMA mkoani Kilimanjaro.
Ninaishangaa hii ilivyokaa hovyo!!!!!!!!!!