Mwalimu Makini
Member
- Dec 5, 2009
- 65
- 23
ni strategy hovyo kabisa, bora wangempeleka u-dc chalinze kama lengo ni kuwa akapumzike. Kilimanjaro hataweza kupumzika atapambana na madiwani+wabunge wa Chadema mpaka achanganyikiwe.
U-DC title nayo mjomba. WAMOPELEKE UKATIBU KATA/MTENDAJI KULE MSOGA
muache aende kmanjaro aendelee kuhiaribia ccm maana kitaifa kashailegezag,aende kaskazin akaharibu ili ukombozi uje uanzie huko kaskazni.
Na ndio maana hao wa PWANI na Tabora wataendelea kuwa wa mwisho kwa kila jambo elimu, kijamii nk................ubongo hovyo.katika historia ya ukombozi wa tanzania, ukanda wa kaskazini huujawahi kuhusishwa na ukombozi bali umehusishwa zaidi na kujikomba mbele za wakoloni mfano ni pale mangi marealle alipopingana na mwalimu nyerere kuharakishwa uhuru wa tanganyika na kuwaomba wakoloni waendelee kututawala kwani sisi waafrika hatujawa tayari kuupokea uhuru!
Wakati huohuo wenzetu wa mikoa ya pwani, iringa, tabora na baadhi ya ukanda wa kusini walikuwa mstari wa mbele ktk ukombozi wa nchi hii sasa haingii akilini kudai kaskazini huenda wakaleta ukombozi wakati hawana historia inayofanana nahiyo!!
ni strategy hovyo kabisa, bora wangempeleka u-dc chalinze kama lengo ni kuwa akapumzike. Kilimanjaro hataweza kupumzika atapambana na madiwani+wabunge wa Chadema mpaka achanganyikiwe.