Makamba kupewa ukuu wa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro?

Status
Not open for further replies.
Dec 5, 2009
65
23
Jamani hii iwe treated kama tetesi hadi hapo itakothibitika kikamilifu kabisa.

Habari hizi za uhakika kiasi zimefika mezani kwangu kwa njia za panya.

Baada ya kuona kuwa Mzee Makamba atapata wakati mgumu kujieleza mbele ya wajumbe wa Kikao cha Kamati Kuu mkuu wa nchi ameshauriwa na wapenzi wa CCM kuwa mzee huyu apangwe ukuu wa mkoa ili akapumzike huko.

Katika hali ya kuonyesha kuwa watu hawa walikuwa wamejipanga wamependekeza kuwa Mhe. Makamba apewe mkoa wa Kilimanjaro ambao ni ngome ya CHADEMA ili apambane kuisambaratisha ngome hiyo.
Ni imani ya wapenda chama hao kuwa Makamba anaweza kabisa kuifuta CHADEMA mkoani Kilimanjaro.

Ninaishangaa hii ilivyokaa hovyo!!!!!!!!!!
 
source? Au udaku? Kama itakuwa kweli huyo Marope atapata shida sana kwa Wachaga...asiote hata
 
Muache aende kmanjaro aendelee kuhiaribia ccm maana kitaifa kashailegezag,aende kaskazin akaharibu ili ukombozi uje uanzie huko kaskazni.
 
ni strategy hovyo kabisa, bora wangempeleka u-dc chalinze kama lengo ni kuwa akapumzike. Kilimanjaro hataweza kupumzika atapambana na madiwani+wabunge wa Chadema mpaka achanganyikiwe.
 
ni strategy hovyo kabisa, bora wangempeleka u-dc chalinze kama lengo ni kuwa akapumzike. Kilimanjaro hataweza kupumzika atapambana na madiwani+wabunge wa Chadema mpaka achanganyikiwe.

U-DC title nayo mjomba. WAMOPELEKE UKATIBU KATA/MTENDAJI KULE MSOGA
 
Lakini sidhani kama inaweza kuwa hivyo kwa sasa. nafasi ya katibu mkuu wa CCM ni mpaka 2012 ndio wabadirishe (all things being constant) na hawezi kuwa k'njaro huku akihitajika sana dodoma kwa kazi za CCM.... sidhani... nadhani hizi habari zitabaki kuwa tetesi
 
U-DC title nayo mjomba. WAMOPELEKE UKATIBU KATA/MTENDAJI KULE MSOGA

Mkuu, for sure I dont see tofauti ya DC na Katibu kata. tofauti ni kuwa mmoja ana usafiri wa nguvu mwingine ana pikipiki au baiskeli.
 
Weeeeeeeeeeee thubutuuuuuuuuuuu!!!!!!akikubali ni sawa na kukubali kurithi kifafa cha bosi wake.mbunge ,madiwani 23 mixa hatudanganyiki=kumweka jela ya kisiasa.tunamsubiri kwa hamu.
 
itabidi awe makini sana maana wazee wa kichaga hawapendi upumbavu
 
muache aende kmanjaro aendelee kuhiaribia ccm maana kitaifa kashailegezag,aende kaskazin akaharibu ili ukombozi uje uanzie huko kaskazni.

katika historia ya ukombozi wa tanzania, ukanda wa kaskazini huujawahi kuhusishwa na ukombozi bali umehusishwa zaidi na kujikomba mbele za wakoloni mfano ni pale mangi marealle alipopingana na mwalimu nyerere kuharakishwa uhuru wa tanganyika na kuwaomba wakoloni waendelee kututawala kwani sisi waafrika hatujawa tayari kuupokea uhuru!

Wakati huohuo wenzetu wa mikoa ya pwani, iringa, tabora na baadhi ya ukanda wa kusini walikuwa mstari wa mbele ktk ukombozi wa nchi hii sasa haingii akilini kudai kaskazini huenda wakaleta ukombozi wakati hawana historia inayofanana nahiyo!!
 
Na ndio maana hao wa PWANI na Tabora wataendelea kuwa wa mwisho kwa kila jambo elimu, kijamii nk................ubongo hovyo.
 
Hatowaweza watu wa Moshi labda aende shule kwanza, asifikiri ni kama wazaramo
 
Mwacheni aende akakione cha mtemakuni................................. Kilimanjaro ccm ilishakufa sasa akienda asisahau sanda na

gharama nyingine za mazishi!!!!!!!!!!!!

Ila kabla hajaenda anaemtuma aandae rambirambi kabisaaaaaaaaaaaa
 
ni strategy hovyo kabisa, bora wangempeleka u-dc chalinze kama lengo ni kuwa akapumzike. Kilimanjaro hataweza kupumzika atapambana na madiwani+wabunge wa Chadema mpaka achanganyikiwe.

hahaaa UDC Chalinze ...hahaaa kazi kweli kweli
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom