Makamba chukua hatua, la sivyo hutaeleweka

Makamba chukua hatua, la sivyo hutaeleweka

Yaani ni kama vile TEUZI na TENGUZI zinafanyika baada tu ya fikra na hisia zako kuziamrisha......

#Siempre JMT[emoji120]
Yaani ni kama lakini siyo kama, kwa kuwa kama ni kama tu.
 
Sasa atoke asemee nini na akemee nini huku yasemwayo hata mtoto wa Darasa la 3 C anayaona yapo.
 
Wizara ya Nishati ni jumba bovu, kila waziri anayepita hapo anakuja kwa mbwembwe na mipango kibao kichwani mwake, lakini mwisho wake huwa anaondoka kimya kimya na kwa kuinamisha kichwa chini.
 
Nchi za afrika kama bongo zinahitaji Rais smart ila katili sanaaaaaa ambaye kesi za mafisadi atakuwa anazi handle yeye mwenyewe kwa kuwa exterminate mafisadi mara tu itakapothibitishwa ni mafisadi.

Ndo katiba mpya hiyo?
 
Yaaani Makamba aanze kutoka na kujibu uzandiki unaotungwa na watu wenye chuki na roho mbaya?wakati kuna majukumu ya kitaifa ya namsubiri?

Kweli mna shida sana kwenye bongo zenu!

Lazma ukanushe uongo na kutoa mfano kwa waeneza uongo.
 
Mkuu singojr , kwanza asante kwa uzi huu, pili naunga mkono hoja.

Uongo ukisemwa sana na kuachwa kurudiwa rudiwa bila kukanushwa hugeuka ukweli na mwisho wa siku January akaonekana ni kweli hafai na Wizara imemshinda!.

Kwa bahati nzuri sana, January ni reachable, nilizungumza nae akajibu vizuri hoja zote za Nishati hapa



What do they want more?.
P


Asante naisikiliza kwa makini sana lakini imekuwaje hii interview haijavuma sana? Maana ingetoa majibu mengi.
 
Makamba ndio alianza kupandisha hadi bando la vifurushi 2015 akatoa taarifa nikirudi nchini mambo yatakaa sawa hadi leo sijui yupo nje ya nchi
Wakafaidi wachache mambo yakaendelea

Rais alikuwa nani? Je hakubariki? Bunge halikupitisha?
 
Nashangaa sana kwa watu wanaomtetea Makamba,je Makamba ni Mungu mtu kiasi kwamba tusimshutumu kwa mambo ambayo anayafanya? Je tunyamaze tu kisa Makamba? Je ili iweje na kwa faida ya nani? Mbona tuanonekana kama mazwazwa,watanzania ndo tunataka kuwa wajinga kiasi kwamba tufumbwe mdomo tusiongee? Mnaomtetea ni wapumbavu na huenda mna ajenda yenu ya siri shenzi nyie!

Hatujakataa shutuma tunataka ushahidi wa shutuma
 
Waziri anayeongoza kwa shutuma akiulizwa anasema tatizo ni uwaziri wake, kila siku shutuma mpya kwa mtu yule yule huku wajinga wakimtetea mnamuonea wivu!, utadhani waziri ni yeye pekee.

Kama hili taifa lingekuwa na vyombo vinavyoeleweka kuchunguza mienendo ya watu kabla ya kupewa vyeo naamini tusingefika hapa.

Tatizo vetting wanafanyiwa wasio na "connection", lakini wale wenye "connection" wanaingizwa serikalini bila kujali historia ya utendaji wao, na uadilifu wao.

Matokeo yake wanaenda kumchafua mpaka aliyewaweka kwa kujiegemeza kwake wakibanwa kwa udhaifu wao, japo naamini hayo ndio malipo ya wale wasioshughulisha akili zao, mzazi akiwa na mtoto mtukutu sifa mbaya ni zake pia.
Tz mtu anawaza cheo tu hajui kuwa ni koti la kuazima
 
Rais alikuwa nani? Je hakubariki? Bunge halikupitisha?
Kwenye utawala wa Jk kipindi cha maana Magu amengia mwishoni mwa 2015
Rais si alikuwa miaongoni mwa wapigaji cos Vodacom ilikuwa chini ya lowasa rafiki wa mtukufu Jk
Bunge si ndo lele tena lakupisha la kina wasila, ngeleja Makamba n.k
 
Mpuuzi at work!

Yani Makamba apelekwe wizara nyingine kwa chuki na wivu wako tu?
Hii nchi mazezeta ni weng sana. Hivi wivu au chuki kwa mtendaji mzuri utauanikia wapi watu wakuelewe na kukujadili? Ukiona kiongoz anajadiliwa ujue kuna shida mahala
 
Yaaani Makamba aanze kutoka na kujibu uzandiki unaotungwa na watu wenye chuki na roho mbaya?wakati kuna majukumu ya kitaifa ya namsubiri?

Kweli mna shida sana kwenye bongo zenu!
Kiongozi lazima uwajibike kwa unaowaongoza, kuwa transparency ili wasiwe na dukuduku kwako. We kalia pumba eti anamajukum ya kitaifa, nani alishapewa majukum kiasi cha kukosa muda wa kujenga hoja za wanaokukosoa.
 
Siyo vizuri kwa mustakabali mwema wa taifa kuruhusu watu watoe tuhuma hovyo hovyo kama zilizokuwa za musiba ili waziri au mtumishi mwingine wa uma achafuke.
Kama kuna ushahidi uwekwe hadharani na Makamba awajibike, ila kama hakuna, wanaoeneza uzushi washughulikiwe kwa mujibu wa sheria.
Siasa za kijinga zisipewe nafasi.
Ushahidi utolewe, kama hakuna wanaomtuhumu wakae kimya hadi wapate ushahidi, vinginevyo wanafanya makosa kisheria na kimaadili.
 
Kama unafuatilia habari za kisiasa. Hivi karibuni Makamba amekuwa akitajwa sana kwenye mitandao ya Jamii forums na Twitter kwa tuhuma mbalimbali.

Kuna wabunge pia wamemuattack directly kama wakina Luhanga Mpina na Msukuma.

Busara mara nyingi huwa ni kunyamaza ukweli ujitenge na uongo. Lakini kuna wakati inabidi kutoka na kuchukua hatua za ziada kabla mambo hayajaaminika.

Uongo ukisemwa sana hugeuka kuwa ukweli. Ni muda sasa wa Makamba kutoka na kukanusha habari hizo, na ikiwezekana kuchukua hatua za kisheria kama walivyofanya Fatma Karume na Membe dhidi ya Musiba.

Lakini pia kama yasemwayo ni kweli hebu jitafakari sana, hata kama una ukaribu sana na Rais ni vizuri ujiuzulu.

Rais Mwinyi aliwahi kujiuzulu ukweli ukafahamika na baadae akaja kuwa Rais.

Haina maana kung'ang'ania kitu kama kinazidi kuharibika.
Ni wakati uchague kati ya mawili toka ujitetee au jiuzulu.

Kukaa kimya kwa nyakati kama hizi ni kuzidi kuharibu mambo.
Mwizi wa mitihani Galanosi atokee wapi? atabumburuka zaidi...acha kumdanganya kwa kweli...
 
Back
Top Bottom