Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,035
- 12,814
Afanye nini zaidi ?!!!Kama unafuatilia habari za kisiasa. Hivi karibuni Makamba amekuwa akitajwa sana kwenye mitandao ya Jamii forums na Twitter kwa tuhuma mbalimbali.
Kuna wabunge pia wamemuattack directly kama wakina Luhanga Mpina na Msukuma.
Busara mara nyingi huwa ni kunyamaza ukweli ujitenge na uongo. Lakini kuna wakati inabidi kutoka na kuchukua hatua za ziada kabla mambo hayajaaminika.
Uongo ukisemwa sana hugeuka kuwa ukweli. Ni muda sasa wa Makamba kutoka na kukanusha habari hizo, na ikiwezekana kuchukua hatua za kisheria kama walivyofanya Fatma Karume na Membe dhidi ya Musiba.
Lakini pia kama yasemwayo ni kweli hebu jitafakari sana, hata kama una ukaribu sana na Rais ni vizuri ujiuzulu.
Rais Mwinyi aliwahi kujiuzulu ukweli ukafahamika na baadae akaja kuwa Rais.
Haina maana kung'ang'ania kitu kama kinazidi kuharibika.
Ni wakati uchague kati ya mawili toka ujitetee au jiuzulu.
Kukaa kimya kwa nyakati kama hizi ni kuzidi kuharibu mambo.
Alichafuliwa mh. mzee Laigwanan EL....
Alishambuliwa mh mzee Laigwanan EL.....
Hawakuchoka....hawakupoa....je ALIWAJIBU ?!!!!!
Walewale waliomchafua na KUMVUNJIA HESHIMA yake walikuja KUMSAFISHA KWA DODOKI......
#Siempre JMT🙏