Elections 2010 Makamba atinga jimboni Bumbuli leo na ufanya vikao vya siri.....

Hapa maji yamefika shingoni kwa mbunge aliyopo Madarakani.....Kama aliwatumikia vyema hana sababu ya kuwa na wasi wasi......
 
..No wonder hata speech za mkuu zimekaa vibaya sana.

Hapa anasema siyo vizuri kutoa ahadi
he really doesnt mean that way.... maybe anatania tu!!

hapa anaelezea ahadi zake

utani tu bana...

ahadi nyingine tena
he rally likes all those jokes... just another joke from his top draw

hapa tena,ana lengo la kuhakikisha kuna benki..sijui ametumia vigezo gani?
C'mon Geeee... this guy is a cracker!!!

hapa tena
mama weeee.... he is still not doing any ahadi maana si wakati wa campaign!!!

Shule za kata pia
...wait a minute!!!

MAYO NENEEEEE

Yote aliyoyaongea hapo alishindwa kuyafanya kwa kipindi cha miaka mitano akiwa anahudhuria vikao vya NEC,Baraza la Mawaziri,Safari mbalimbali za nje ya nchi kama alivyosema hapa

what did you expect after all these crackers????

anyways Mpeni kura za ndiyo kwa kuwa ni kipenzi chenu na mna mpango wa kunufaika na uongozi wake ila bado hajajenga hoja!

... mbwayuwayu wapo watampa kula zao
 
Ushauri wangu kwa wagosi wenzangu wa Bumbuli, msikubali kuuziwa mbuzi kwenye gunia.Januari siyo mzawa wala mkazi wa jimbo la Bumbuli,hivyo hajui matatizo ya jimbo letu,kwa maana hiyo hana uwezo wa kutuwakilisha. Hivi jimbo zima la Bumbuli hakuna mwenye sifa ya kuwa mbunge mpaka mletewe mamluki toka Kagera? Watu wa Bumbuli mtachekwa na dunia nzima mkichagua mamluki kuwa mbunge. Nawe mzee Shelukindo ukifanyiwa mizengwe bora u-cross kwenda upinzani kura utazipata,kwani ubunge siyo lazima kupitia CCM
 
Hivi shelukindo hana wajukuu akapumzike? au ubunge ni urithi alioachiwa??!!!!!!!!

:lie:Huyu mzee mcharuko tu, wakati anaomba kura 2005 alisema hataki tena ubunge 2010 sasa anapiga kelele ya nini wakati huu ndio 2010 aliosema hagombei? Amuachie kijana akamate jimbo kwani muda wake umeisha na hakuna alicho fanya, miaka 25 nothing, hebu asepe mazeya ebooooo.
Hapana anacholalamika Shelukindo ni sahihi kabisa kuwe na uwanja sawa wa mapambano.
 
Pal;

yaani hapo ndipo na mimi nimechoka kabisa... i really dont know what is driving January kwenda kujiunga na ze komedi!!! he will jsu end up bang-bang ze table and stand up kutoa already choreographed verses etc.

nasikitika mtu anaacha kazi nzito kwenda kufuata seating allowance... LABDA AMESHAAMBIWA KWAMBA HANA CHANCE PALE IKULU SO HE HAS NO CHOICE
DeNovo Kaka--I would like to kindly disagree. The Bunge is a tool towards developing a people. It was created there kutunga sheria and to represent people in this government. And provide a check and balance towards the executive branch. Bunge lina nia nzuri tu, if used appropriately. Your cynicism towards bunge is understandable, these politicians have been abusing this noble institutions for their own benefits for years. Again, if the bunge will stay the same--then our chances towards a truly government of the people by the people are in vain. Our mentality towards politics and politicians obviously have to change, and it is going to be a painful process because we have been electing vilaza to represent us for years. If you have acknowledge this Makamba kid as a good talent, don't you think that we need more people like him to truly change the bunge to be the instutution it is should be? Sadly--politics is a vehicle towards our maendeleo, and it need to be transformed. Personally I'm happy that if this kid is elected and I'm praying that he is what he says he is. Because I know the level of debate will be changed. Now, Imaging we get fewer more talents in it--we will be in good shape. Young (able, decent, and talented) people need to be attracted into the politics arena because we need them. You discouraging them, is hurting us.

Huo ni mtazamo wangu tu kaka-
 
Hapana anacholalamika Shelukindo ni sahihi kabisa kuwe na uwanja sawa wa mapambano.

uwanja sawa kati ya wazee na vijana au nini? anacholalamikia ni nini kwa kuwa ni mtoto wa makamba? na je angekuwa si mtoto wa makamba?
Amekuwa mbunge hapo for 25yrs na aliahidi kutogombea 2010, hii inamaanisha bila kumsukia fitina hawezi kutoka, aachie wengine, whether is January au mwingine ye yote. Tunahitaji fikra mpya.

My take; I don't think JM is that fir and good to be MP for Lushoto though. I would support someone else, not the two of them.
 
Mzee Makamba ana wake 3, wawili wapo mahezangulu na Mmoja (mama yake Januari) ndio anayeishi nae DSM, Mama januari hajawahi kuishi BUmbuli na ndiye mke mmdogo, hawa wengine mzee amewaacha nyumbani kijijini....

Na Januari ni mtoto wa kufikia wa Makamba.
 
DeNovo Kaka--I would like to kindly disagree. The Bunge is a tool towards developing a people. It was created there kutunga sheria and to represent people in this government. And provide a check and balance towards the executive branch. Bunge lina nia nzuri tu, if used appropriately. Your cynicism towards bunge is understandable, these politicians have been abusing this noble institutions for their own benefits for years. Again, if the bunge will stay the same--then our chances towards a truly government of the people by the people are in vain. Our mentality towards politics and politicians obviously have to change, and it is going to be a painful process because we have been electing vilaza to represent us for years. If you have acknowledge this Makamba kid as a good talent, don't you think that we need more people like him to truly change the bunge to be the instutution it is should be? Sadly--politics is a vehicle towards our maendeleo, and it need to be transformed. Personally I'm happy that if this kid is elected and I'm praying that he is what he says he is. Because I know the level of debate will be changed. Now, Imaging we get fewer more talents in it--we will be in good shape. Young (able, decent, and talented) people need to be attracted into the politics arena because we need them. You discouraging them, is hurting us.

Huo ni mtazamo wangu tu kaka-

Selemani; i love this post... and i love you positivity!!! I am happy that you are seeing the glass half full, as opposed to me, naiona glass half empty

nakuelewa sana tu, ila ndio maana kwenye post yangu moja nilisema we may 50 potentials but knowing our "collective responsibility crusade" na namna tunavyoingia bungeni, he will have no added value!!!

Reading a few threads regarding January, tayari tumeshaambiwa mama kapeleka kanga, baba keshasema hivi nk... all these make him no better than many mediocre in that house [i mean hata some wapinzani], ni kugonga meza tu!!!

i am cynical about the BUnge because i see no changes, and i see no signs of changes... Zitto was there, he is there and he is alone!!! [sorry maybe with a few wapiganajis]... MUCH AS I AM CYNICAL ABOUT OUR BUNGE, I STILL RESPECT WHAT THEY BECAUSE WANAFUATA TARATIBU WALIZOJIWEKEA

However, i still see January kuwa mbunge kama demotion and probably ameshajua hana nafasi serikali ijayo pale ikulu

just try to understand me kidogo tu
 
Mzee wa watu Shelukindo ataishia kulalamika tu...koz nilisoma thread flani hapa JF kuwa baba na mama wa january makamba wanamsapport Januari kwa anayoyafanya. Na wanamsaidia koz they both know kuwa januari hana uwezo wa kuwa Kiongozi....thus y anapata support kutoka kwa waliomzaa na further more baba yake ndo katibu wa CCM Taifa So unategemea nini hapo??? Kuwa Baba atamuadabisha mwana???? Tusubiri tuone

kuhusu hiyo rubric nilishasema charity begins at home. lets just wait and see.

..ninachoogopa anaweza akaingia huko bungeni akawa patronizing kama Zitto Kabwe.
 
Selemani; i love this post... and i love you positivity!!! I am happy that you are seeing the glass half full, as opposed to me, naiona glass half empty

nakuelewa sana tu, ila ndio maana kwenye post yangu moja nilisema we may 50 potentials but knowing our "collective responsibility crusade" na namna tunavyoingia bungeni, he will have no added value!!!

Reading a few threads regarding January, tayari tumeshaambiwa mama kapeleka kanga, baba keshasema hivi nk... all these make him no better than many mediocre in that house [i mean hata some wapinzani], ni kugonga meza tu!!!

i am cynical about the BUnge because i see no changes, and i see no signs of changes... Zitto was there, he is there and he is alone!!! [sorry maybe with a few wapiganajis]... MUCH AS I AM CYNICAL ABOUT OUR BUNGE, I STILL RESPECT WHAT THEY BECAUSE WANAFUATA TARATIBU WALIZOJIWEKEA

However, i still see January kuwa mbunge kama demotion and probably ameshajua hana nafasi serikali ijayo pale ikulu

just try to understand me kidogo tu

Its all good--nimekupata
 
Waw, it took no time to get 'appropriate response' from 'mhusika'
This was an irresistible bait. You got a response kaka. Haya shangilia. Anytime you want to debate ishuz instead of this silly baits--holla at your guala.

"My intelligence begins where yours peaks at" -CANIBUS
 
Sasa hapa ndio nachoka kabisa.... kumbe na RAI nao wako nyuma ya January??!!! kweli mwaka huu tutaona mengi

kinachosikitisha ni kwamba CCM wanavuana nguo wenyewe hadharani, this is not healthy
 
Kwani huyu si ndiye aliyetumwa na mafisadi kumng'oa mzee wa kazi Shelukindo? Wananchi wa Bumbuli wawe careful na mtu huyu. Halafu sifa ya kufanya kazi na JK inampunguzia uwezekano wa wananchi kumchagua kwani JK mwenyewe hana sifa nzuri ya kiutendaji.
 
This was an irresistible bait. You got a response kaka. Haya shangilia. Anytime you want to debate ishuz instead of this silly baits--holla at your guala.

"My intelligence begins where yours peaks at" -CANIBUS

Haya sasa, wapiga debe mshaanza matusi!! tulijua tu.

Hivi kuleta maendeleo ni lazima mtu awe Mbunge? halijajibiwa swali hili.
 
Its all good--nimekupata
tHANKS MKUU

NAOMBA MWAMBIE JANUARY SI LAZIMA KUPITIA NJIA HIYO ILIYOCHAFUKA KUFIKA BUNGENI.... KAMA PRESIDENT AIDE, HE CAN AS WELL TRY SOME MEMBE OR MAKAMBA SENIOR

HIYO NJIA NYINGINE INAACHAGA MADOA KAMA YA NDIZI, HAYASAFISHIKI HATA KWA JIK
 
Back
Top Bottom