Elections 2010 Makamba atinga jimboni Bumbuli leo na ufanya vikao vya siri.....

Ndani ya CCM kuna block mbili kubwa, mafisadi na wapinga ufisadi. Hoja kwa wana Bumbuli, hivi Yusuf Makamba yuko katika kambi ipi? Nafikiri umefika wakati watanzania tukachukua hatua za kulikomboa Taifa letu toka mikononi mwa mafisadi, sasa kwa wale waliojipambanua kuwa ni mafisadi au mawakala wa mafisadi kama alivyo YM, ni vema wakatupwa nje ya mfumo wa utawala wa nchi yetu. Huyu dogo Januari anafadhilwa na marafiki wa Mzee Mkamba ambao ni mafisadi papa, itakuwa kosa kubwa kwa wagosi wenzangu wa Bumbuli kuchagua mtu ambaye anatoka katika kundi hatari linaloifukarisha nchi yetu, licha ya ukweli kuwa huyu siyo mwenzetu
 
Shame to Bumbuli resindence ! Inamaana wasambaa wote wanaoweza kuongoza ni makamba family! Mnajidhalilisha!
 
Its funny how you chose to ignore my two detailed posts (that have answered your question) and picked the one that was not even directed to you.

Anyways babu. To each on his own-

Ha ha ha ... Selemani bana. Pesa za Rostam Azizi sio mchezo
Ila bila kuwa na last name ya Makamba, sidhani kama January angefika kokote kule.
Ukizaliwa fisadi, unakuwa kifisadi, unasomeshwa kifisadi, unatetea ufisadi, na utakufa fisadi.
 
Zile billioni 29 zilizochotwa ikulu nadhani zitatumika pia kuhakikisha kijana fisadi January Makamba anarudi ikulu
 
Mangi, hivi wewe ukigombea/uitangaza nia, baba yako au mama yako hatakusaidia?

Wewe Dr Kigwa...whatever tunaomba uje na January Makamba, na mheshimiwa JK, Chenge, Mramba na Rostam hapa Houston, TX kwenye mdahalo!! Karibuni sana kujibu maswali ya wananji in diaspora!
 
Ha ha ha ... sidhani kama January angefika kokote kule.
Ukizaliwa fisadi, unakuwa kifisadi, unasomeshwa kifisadi, unatetea ufisadi, na utakufa fisadi.

This is pointless? What are the reasons ambazo wewe unazitumia kusupport argument yako? Mwanzoni wapo waliosema kwamba hakubaliki jimboni kwao, sasa ameshinda mmebadilisha statement mnasema kwamba no sio tuu yeye kukubalika jimboni kwao, bali wazazi wake wamechangia.

Hizi ni tabia za kibaguzi ambazo inabidi tuzipinge. Nilishasema miaka hiyo na nitasema leo, January ni mmoja wa Watanzania wenye uwezo wa kuongoza. He run a smart campaign ambayo imeweza kumpa landslide winning.

On the other side of the coin, tungoje atakapo anza kazi kabla hatujaanza kulaani na kuuita watu majina yasio na msingi wala maana.
 
Kwa heshima niliyo nayo kwa "ndugu zako" kina kuhani na pundit, nitakukumbusha kuwa nilichoandika ni hiki:

Mwafrika said:

Back
Top Bottom