MtazamoWangu
JF-Expert Member
- Apr 25, 2009
- 313
- 7
Waache demokrasia ichukue mkondo wake mi nashangaa wabunge wanao sema wanachezewa rafu wanataka wawe wabunge milele?
Hapo mkubwa tuko pamoja kama rasta na msokoto!!!!!!
yaani huyo kijana wake hata kwenda yeye mwenyewe ameshindwa mpaka baba yake amuendee kwani anapeleka posa???kweli hii bora ibaki kuwa tetesi
Mh. Makamba amekuwa anampigia kampeni mwanae (January) za chinichini katika jimbo linaloshikiliwa na Mh. Shelukindo (Bumbuli).
Japo Shelukindo bado anania ya kuendelea kubakia na pia kukubalika katika jimbo lake lakini Makamba ameshaenda kuwaona wazee na kuwaomba wamsaidie kijana wake ...anayesubiriwa sasa ni kijana aende kujitambulisha jimboni. ...japo Makamba mwenyewe hakubaliki sana kwani alishawahi kugombea na kutoswa mara kadhaa lakini anaona kijana wake ana nafasi..
Mkisikia wabunge wanalalamikia faulo wanazofanyiwa majimboni ndio kama hizi ...lakini mbona mapema?

..Shelukindo amefanya mambo gani makubwa huko Bumbuli?
Taji Liundi na Mwamvita Makamba wameowana ama ni mikasi tu!
inahusiana vipi na Shelukindo kutaka kuwa mbuge wa Bumbuli for the next 20 years?