Makamanda walioigharimia CHADEMA kwa machozi, jasho na damu, leo ni wakuitwa wasaliti? Karma Haitawaacha salama, itawatandika tu

Umeongea jambo la mhimu sana na unatumia akili nyingi sana, niwakumbushe tu hawa chadema wakijidanganya kuwafukuza jamii haitakaa iwaamini tena, hapo jamii itaanza kuyaamini yale maneno yaliyo semwa na Lijua likali na wenzake, pia watakosa uwanja wa kusikika ndani ya miaka 5 hivyo watakua na wakati mgumu sana, maana huenda wakasahaliuka masikioni mwa watu. Niushauri tu wawaache kabisa hao wakina mama walitumikie taifa.
Ushauri wenu kaeni nao. Mlishindwaje kumsamehe Membe.
 
Ndugu Mayalla

Naomba nikufahamishe tu kwanza kwenye harakati hamna mambo ya aliyegharamia zaidi ya mwenzake. Huwezi kusema mtu anayejiunga Chadema leo ni less entitled than Lissu au Mdee.

Ukianza mambo ya hawa wametoa jasho inamaana hata Magufuli hatakiwi awepo kwenye uongozi wa CCM maana sio katika ma comrade wa chama.

Hayo ni maneno ya kuchonganisha ambayo huwezi kuyatumia upande wa pili.
 
Pamoja na Musa kuwa mtu muhimu katika kuwatoa waisraeli utumwani, Mwenyezi Mungu alimnyima kuingia katika nchi ya ahadi kwa kosa moja tu la kiburi.

Amandla...
 
Wanabodi,

Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa "Karma", na nimekuwa nikikihubiri mara nyingi humu jukwaani. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani, haina Msalie Mtume, wala haujui nani ni nani!, kwenye huku ya karma, kila mtu anahukumiwa kwa matendo yake.

Leo kikao cha CCM ya Chadema, kinakaa as usual as a Kangaroo court, kama kilivyokuwa kinakaa huko nyuma na kutoa hukumu za ajabu, ambazo karma za huku hizo, zinakuja kuigharimu Chadema mbele ya safari, tatizo, wakati wa karma payback time unapofika, hakuna anayekumbuka kuwa ni huku ya matendo yake, tatizo la karma, unaweza kufanya kitu kidogo, tuu, kwako ukakiona ni insignificant, lakini when karma takes its toll, mapigo ya karma yanakushukia in three folds hadi huwezi kukumbuka ulifanya nini kustahili, kinachokupata. Ila pia, anayehukumiwa pasipo haki, karma pia huwa ina m take care, na kumu elevate machoni pa watesi wake!.

Mifano ya Matendo ya Chadema, na Matokeo ya Karma Zake.
  1. Chadema walipo establish a torture chamber pale makao makuu yake na kumshughulikia ipasavyo Mlinzi wa Dr. Slaa, Kagenzi, nilionya kuhusu karma. Kwa vile hii ilikuwa ni internal operation, na mimi sio inside man, naombeni ndugu zangu wa Chadema, jifanyieni tathmini, nani alifanya nini, the roles walizo play, then angalia kilichokuja kuwakupa the players, na sasa Kagenzi yuko wapi na ana hali gani!. Bodigadi wa zamani wa Dr. Slaa, Khalid Kagenzi akanusha kutaka kumuua Dr. Slaa, Ya mke wa Slaa na Mlinzi binafsi wa Dk. Slaa, Tena tazameni karma ilivyo, aliyetuhumiwa kumpa sumu sumu Kagenzi ili amtilie Dr. Slaa, na yeye alikuja kutiliwa sumu na ikmwingia ilikuwa ni almanusura asingewahisha saa hizi tungekuwa tunazungumza mengine.
  2. Chadema mlipokuwa kwenye kikao chenu cha CCM Arusha, kukatokea mtu miongoni mwenu milimuita msaliti, kwa kuvujisha info humu JF, jiulizeni ni nani alimdakua mtu huyo, na mlimfanya nini!, then jikumbumbusheni kilichompata huyo kamanda shupavu aliyemshughulikia msaliti!. Kinachoendelea CHADEMA Mitandaoni: Je, ni Ushujaa wa Mhe. Lema au ni Udhaifu wa "Kule Juu"?
  3. Chadema mlipomtimua Juliana Shonza na masalia kwenye kangaroo court yenu, nililizungumzia hili, sasa leo angalieni waliomshughulikia Shonza, nini kiliwakuta, leo wako wapi, na mlinganishe na Juliana Shonza alipo!. Wito: CHADEMA Watendeeni Haki Wanachama Wenu Ili Kuwatendea Haki Watanzania 2015!
  4. Mlipowatimua kina Kitila kwa hoja ya ule Waraka wa Mabadiliko, ambao nyinyi mliuita ni waraka wa mapinduzi, mimi nikawaambie ule ni waraka wa kui transform Chadema kutoka Chama cha kirakati, kukigeuza Chama Tawala in waiting, hivyo waraka ule haukuwa wa mapinduzi, bali a "winning coalition" kuu revamp uongozi static na stagnant wa Chadema, na kuleta uongozi vibrant na dynamic, angalieni makamanda wa timua timua hiyo nini kiliwakuta, linganisha na mahali alipo Prof. Kitila, tena anakuwa Waziri kwenye key ministry!. Ningekuwa CC ya CHADEMA ningemsamehe Kitila Mkumbo
  5. Mlipomtimua Zitto kwa kutumia CC kangaroo, niliwauliza humu, CC ya Chadema, inapata wapi mamlaka ya kumuadhibu NKM wakati mamlaka yake ya nidhamu ni Baraza Kuu, hakuna aliyejibu, angalieni nini kiliwakuta waliomtimua Zitto, ana angalieni Zitto ni nani, tena anakwenda kuteuliwa mbunge wa kuteuliwa kwenye zile nafasi 10 za uteuzi za JPM, linganisha makamanda waliosimamia kutimuliwa kwa Zitto!. https://www.jamiiforums.com/threads...ie-mkajisahau-jiandaeni-kwa-karma.822703/Hiyo ni mifano ya dhambi ya dhana ya usaliti inavyoendelea kuitafuna Chadema ndani kwa, ndani, hapo sijamtaja Dr. Slaa, hadi watu kumuita Dr. Mihogo!, leo angalia waliombeza Dr. Slaa wako wapi, ulinganishe na mahali Dr. Slaa alipo!, haiwezekani watu na makamanda wameipigania Chadema kwa kuigharimikia kwa Machozi, Jasho na Damu, halafu leo uje uwaite wasaliti na kuwatimua kama mbwa!, kamwe Karma haiwezi kuacha salama Chadema!.

Leo Kangaroo court ya Chadema inakutana kumhukumu Halima na wenzake, ndani ya majina yale 19 ya wabunge wa viti maalum wa Chadema, walioapishwa, wabunge 5 ni 'vidumu' vya wajumbe wa CC ya Chadema ambao sio vile 'vidumu' vya 'mpango kando', no!, ni vidumu vya co habitation, mnaishi nyumba moja, mnalala chumba kimoja, kitanda kimoja!, huku mkiishi katika dhana ya ndoa, na kila mtu anawatambua kama mke na mume!, haiwezekani mwenza wako, akaibukia kwenye majina ya viti maalum bila wewe kujua, kilasha akaamkia bungeni dodoma kuapishwa bila wewe, kujua!, namhurumia sana KM. JJ. Nnyika ni mtu muadilifu sana, lakini hajui, the games people plays!.

Miaka mingi nyuma nililizungumzia Chadema kuwa na kirusi, CHADEMA Kuna Kirusi! Je, Unajua kirusi hiki ni Nani?! Na The Motive Behind?
Sasa miaka mingi imepita nikajua sasa Chadema ni safi, kumbe bado!, na sio kuna kirusi, Chadema ina virusi!. Kikulacho...ki nguoni mwako!.

Naomba kuwa mtu wa kwanza kukujulisha kuwa JPM, anaweza kila kitu!, Japo Tanzania hatuna serikali ya mseto, kama aliweza kumteua Anna Mngwira na Prof. Kitila, wakiwa ACT, kwenye baraza lake la mawaziri, hawezi kushindwa kuwateua Mdee na Esta Bulaya, manaibu mawaziri katika serikali yake na sisi huku bara tukaunda serikali ya umoja wa kitaifa!.

Wish Halima and her team, all the best, kama wataandibiwa kwa kuukataa ujinga!, Karma itawashughulikia watesi wao, na kuwa elevate machoni pa watesi wao!.

Mungu Ibariki Chadema at least for once iweze kutenda haki, kuepuka adhabu ya karma, maana kiukweli Chadema hapo ilipo, ni almost dead kinachosubiri ni kukomelea tuu msumari wa mwisho kwenye naniliu la Chadema na kulishusha 6ft under!. The choice is theirs!

Mungu Ibariki Tanzania!.

Paskali
Yaani JF wangeturuhusu kufuta post za wengine naona kuna watu post zao zisingekaa hata dakika 1 ubaoni. Shwaiin...!
 
Nimesoma kwa kituo tena kwa kurudia rudia huu uzi wako pamoja na link ulizoziweka nimeelimika kwa upeo mkubwa sana ndani ya siku moja.

Mwenyezi Mungu akutunze na kukupa afya tele.

Nitarudi tena kuusoma kisha nitoe maoni yangu kwenye hoja uliyoiweka
 
Pascal Mayalla, Mambo ya CHADEMA waachie Chadema wenyewe.

Pascal Mayalla, karma is myth. Chama chenu kimeua watu Unguja na Pemba, kimeumiza wengi wasio na hatia, je wamedhurika nini?

Tangu enzi za Mwalimu, Karume na kupotezwa Abdullah Kassim Hanga, hadi leo, karma imewaadhibu Nini? Au karma ipo kuwaadhibu CHADEMA tu pale wanapowatimua wasaliti?
Mkuu Bujibuji , karma is real, kwa vile matukio mengine yamefanywa na watu wasiojulikana, karma tayari imeishawashughulikia, na kwa vile hawajulikani, hata karma ilivyoshughulika nao pia haijulikani, ila wameshughulikiwa!. Hilo la tangu enzi za Mwalimu, tusilizungumze, ila unajua waliondokaje!, that is how karma operates, haijali nani ni nani!.
P
 
Wanabodi,

Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa "Karma", na nimekuwa nikikihubiri mara nyingi humu jukwaani. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani, haina Msalie Mtume, wala haujui nani ni nani!, kwenye hukumu ya karma, kila mtu anahukumiwa kwa matendo yake.

Leo kikao cha CC ya Chadema, kinakaa as usual as a Kangaroo court, kama kilivyokuwa kinakaa huko nyuma na kutoa hukumu za ajabu ajabu ikiwemo timua timua, ambazo karma za hukumu hizo, zinakuja kuigharimu Chadema mbele ya safari, tatizo, wakati wa karma payback time unapofika, when karma strikes back, hakuna anayekumbuka kuwa ni hukumu ya matendo yake ya nyuma!. Tatizo la karma, unaweza kufanya kitu kidogo, tuu, kwako ukakiona ni kidogo, it's nothing and insignificant, lakini when karma takes its toll, mapigo ya karma yanayokushukia ni mapigo makubwa in three folds, kulinganisha na ulichotenda, hadi huwezi kukumbuka ulifanya nini kustahili, kinachokupata. Ila pia, anayehukumiwa pasipo haki, karma pia huwa ina mtake care, na kumu elevate machoni pa watesi wake!.

Mifano ya Matendo ya Chadema, na Matokeo ya Karma Zake.
  1. Chadema walipo establish a torture chamber pale makao makuu yake na kumshughulikia ipasavyo Mlinzi wa Dr. Slaa, Kagenzi, nilionya kuhusu karma. Kwa vile hii ilikuwa ni internal operation, na mimi sio inside man wa Chadema, naombeni ndugu zangu wa Chadema, jifanyieni tathmini, nani alifanya nini, the roles walizo play, then angalia kilichokuja kuwakuta the players, na sasa Kagenzi yuko wapi na ana hali gani!. Bodigadi wa zamani wa Dr. Slaa, Khalid Kagenzi akanusha kutaka kumuua Dr. Slaa, Ya mke wa Slaa na Mlinzi binafsi wa Dk. Slaa, Tena tazameni karma ilivyo, aliyetuhumiwa kumpa sumu Kagenzi ili amtilie Dr. Slaa, na yeye alikuja kutiliwa sumu na ikamwingia na kumdhuri, tena alikuwa ni almanusura!, asingewahishwa saa hizi tungekuwa tunazungumza mengine!.
  2. Chadema mlipokuwa kwenye kikao chenu cha ndani, CC Arusha, kukatokea mtu miongoni mwenu aliyekuwa akivujisha jf, kilichokuwa kinajadiliwa ndani, mlimuita msaliti, kwa kuvujisha info humu JF, jiulizeni ni nani alimdakua mtu huyo, na mlimfanya nini!, then jikumbumbusheni kilichompata huyo kamanda shupavu aliyemshughulikia msaliti!. Kinachoendelea CHADEMA Mitandaoni: Je, ni Ushujaa wa Mhe. Lema au ni Udhaifu wa "Kule Juu"?
  3. Chadema mlipomtimua Juliana Shonza na masalia kwenye kangaroo court yenu, nililizungumzia hili, sasa leo angalieni waliomshughulikia Shonza, nini kiliwakuta, leo wako wapi, na mlinganishe na Juliana Shonza alipo!. Wito: CHADEMA Watendeeni Haki Wanachama Wenu Ili Kuwatendea Haki Watanzania 2015!
  4. Mlipowatimua kina Kitila kwa hoja ya ule Waraka wa Mabadiliko, ambao nyinyi mliuita ni waraka wa mapinduzi, mimi nikawaambie ule ni waraka wa kui transform Chadema kutoka Chama cha kiharakati, kukigeuza Chama Tawala in waiting, hivyo waraka ule haukuwa wa mapinduzi, bali a "winning coalition" kuu revamp uongozi static na stagnant wa Chadema, na kuleta uongozi mpya vibrant na dynamic, angalieni makamanda wa timua timua hiyo nini kiliwakuta, linganisha na mahali alipo Prof. Kitila, tena anakuwa Waziri kwenye key ministry!. Ningekuwa CC ya CHADEMA ningemsamehe Kitila Mkumbo
  5. Mlipomtimua Zitto kwa kutumia CC kangaroo, niliwauliza humu, CC ya Chadema, inapata wapi mamlaka ya kumuadhibu NKM wakati mamlaka yake ya nidhamu ni Baraza Kuu, hakuna aliyejibu, angalieni nini kiliwakuta waliomtimua Zitto, na angalieni Zitto ni nani, tena anakwenda kuteuliwa mbunge wa kuteuliwa kwenye zile nafasi 10 za uteuzi za JPM, linganisha makamanda waliosimamia kutimuliwa kwa Zitto!. https://www.jamiiforums.com/threads...ie-mkajisahau-jiandaeni-kwa-karma.822703/Hiyo ni mifano ya dhambi ya dhana ya usaliti inavyoendelea kuitafuna Chadema ndani kwa, ndani, hapo sijamtaja Dr. Slaa, hadi watu kumuita Dr. Mihogo!, leo angalia waliombeza Dr. Slaa wako wapi, ulinganishe na mahali Dr. Slaa alipo!, haiwezekani watu na makamanda wameipigania Chadema kwa kuigharimikia kwa Machozi, Jasho na Damu, halafu leo uje uwaite wasaliti na kuwatimua kama mbwa!, kamwe Karma haiwezi kuacha salama Chadema!.
Leo Kangaroo court ya Chadema inakutana kumhukumu Halima na wenzake, ndani ya majina yale 19 ya wabunge wa viti maalum wa Chadema, walioapishwa, wabunge 5 ni 'vidumu' vya wajumbe wa CC ya Chadema ambao sio vile 'vidumu' vya 'mpango kando', no!, ni vidumu vya cohabitation, mnaishi nyumba moja, mnalala chumba kimoja, kitanda kimoja!, huku mkiishi katika dhana ya ndoa, na kila mtu anawatambua kama mke na mume!, haiwezekani mwenza wako, akaibukia kwenye majina ya viti maalum bila wewe kujua, kisha akaamkia Bungeni Dodoma kuapishwa bila wewe, kujua!, namhurumia sana KM. JJ. Nnyika ni mtu muadilifu sana, lakini hajui, the games people plays!.

Miaka mingi nyuma nililizungumzia Chadema kuwa na kirusi, CHADEMA Kuna Kirusi! Je, Unajua kirusi hiki ni Nani?! Na The Motive Behind?
Sasa miaka mingi imepita nikajua sasa Chadema ni safi, kumbe bado!, na sio kuna kirusi, Chadema ina virusi!. Kikulacho...ki nguoni mwako!.

Naomba kuwa mtu wa kwanza kukujulisha kuwa JPM, anaweza kila kitu!, Japo Tanzania hatuna serikali ya mseto, kama aliweza kumteua Anna Mngwira na Prof. Kitila, wakiwa ACT, kwenye baraza lake jipya la mawaziri, hawezi kushindwa kuwateua Mdee na Esta Bulaya, manaibu mawaziri katika serikali yake na sisi huku bara tukaunda serikali ya umoja wa kitaifa!.

I Wish Halima Mdee and her team, all the best, kama wataadhibiwa kwa kuukataa ujinga!, Karma itawashughulikia watesi wao, na wao kuwa elevate machoni pa watesi wao!.

Mungu Ibariki Chadema at least for once iweze kutenda haki, kuepuka adhabu ya karma, maana kiukweli Chadema hapo ilipo, ni almost dead kinachosubiri ni kukomelea tuu msumari wa mwisho kwenye naniliu la Chadema na kulishusha 6ft under!. The choice is theirs!

Mungu Ibariki Tanzania!.

Paskali
Kila sehemu ya uongozi wa Taasisi lazima kuwe na Ethical Standard na Responsibilit; Halima Mdee alijua consequences za kuvunja hizo ethical standard. Kamari imefanya ilivyotakiwa choosing between Justice Vs Mercy, consequences kama wangehurumiwa zingekuwa mbaya zaidi
 
Pascal Mayalla,
Paskali tumetoka mbali. Usipotoshe. Si unakumbuka enzi hizo tukiwa pamoja pale JKT na baadaye ukija kumtembelea girl friend wako pale UDSM wakati wewe ukiwa TSJ? Sitaki kusema yaliyokukuta, ila usipotoshe suala ya Wanawake 19 wa Chadema kukiuka maadili na miongozo ya Chama chao.
Mkuu Sophist , longi sana!, nikumbujeshe ni JKT ya wapi, na huyo she wa UD ni nani, maana sisi wengine enzi hizo, foleni ni ndefu mpaka feri!, hivyo kumkumbuka mtu UDSM, kiukweli sikumbuki kuwahi kuwa na mtu UD!, unless ni zile za one night stands, hatuwekagi kumbukumbu!, na sio mbaya kama ukinikumbusha TSJ yalinikuta yepi?.
P
 
Pascal Mayalla, Mambo ya CHADEMA waachie Chadema wenyewe.

Pascal Mayalla, karma is myth. Chama chenu kimeua watu Unguja na Pemba, kimeumiza wengi wasio na hatia, je wamedhurika nini?

Mlimuua kwa kumchinja shingo Mawazo, mlimtwanga Tundu Lissu marisasi,
Karma imemuadhibu Nani?

Anzory na Ben Saanane wamepotezwa jumla, karma imefanya Nini?
Tangu enzi za Mwalimu, Karume na kupotezwa Abdullah Kassim Hanga, hadi leo, karma imewaadhibu Nini? Au karma ipo kuwaadhibu CHADEMA tu pale wanapowatimua wasaliti?
we Mzee ushamaliza yaani ,hivi ccm na chadema chama kipi kina madudu,MIMI NAKUMBUSHA MOJA TU la Dr.SALMIN AHMED SALIM basi mengine yawe kiporo.
 
Pascal Mayalla, Mambo ya CHADEMA waachie Chadema wenyewe.

Pascal Mayalla, karma is myth. Chama chenu kimeua watu Unguja na Pemba, kimeumiza wengi wasio na hatia, je wamedhurika nini?

Mlimuua kwa kumchinja shingo Mawazo, mlimtwanga Tundu Lissu marisasi,
Karma imemuadhibu Nani?

Anzory na Ben Saanane wamepotezwa jumla, karma imefanya Nini?
Tangu enzi za Mwalimu, Karume na kupotezwa Abdullah Kassim Hanga, hadi leo, karma imewaadhibu Nini? Au karma ipo kuwaadhibu CHADEMA tu pale wanapowatimua wasaliti?

Ngoja tusubiri hiyo nguvu ya Karma ifanye kazi kwa CCM waliowatuma Polisi kwenda kuwapiga mabomu ya machozi akina bibi walioko majumbani kwao mpaka kuwaunguza wao na vitanda vyao!!!!
 
Uchaguzi ulikuwa wa huru na haki au haukuwa hivyo?

Hili ni swali la msingi kabisa.
Mkuu Kiranga, hili siobandiko la uchaguzi, ila kuhusu uchaguzi wa 2020, nimeisha uzungumza sana,

sasa uchaguzi umekwisha tugange haya yaliyopo na yajayo!.

Uchaguzi hata wa 1965 unajadilika.

Mgogoro mzima umejikita kwenye uchaguzi wa 2020, halafu unasema huu si mjadala wa uchaguzi?

Swali langu dogo sana hujanijibu hapa.
 
Wanabodi,

Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa "Karma", na nimekuwa nikikihubiri mara nyingi humu jukwaani. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani, haina Msalie Mtume, wala haujui nani ni nani!, kwenye hukumu ya karma, kila mtu anahukumiwa kwa matendo yake.

Leo kikao cha CC ya Chadema, kinakaa as usual as a Kangaroo court, kama kilivyokuwa kinakaa huko nyuma na kutoa hukumu za ajabu ajabu ikiwemo timua timua, ambazo karma za hukumu hizo, zinakuja kuigharimu Chadema mbele ya safari, tatizo, wakati wa karma payback time unapofika, when karma strikes back, hakuna anayekumbuka kuwa ni hukumu ya matendo yake ya nyuma!. Tatizo la karma, unaweza kufanya kitu kidogo, tuu, kwako ukakiona ni kidogo, it's nothing and insignificant, lakini when karma takes its toll, mapigo ya karma yanayokushukia ni mapigo makubwa in three folds, kulinganisha na ulichotenda, hadi huwezi kukumbuka ulifanya nini kustahili, kinachokupata. Ila pia, anayehukumiwa pasipo haki, karma pia huwa ina mtake care, na kumu elevate machoni pa watesi wake!.

Mifano ya Matendo ya Chadema, na Matokeo ya Karma Zake.
  1. Chadema walipo establish a torture chamber pale makao makuu yake na kumshughulikia ipasavyo Mlinzi wa Dr. Slaa, Kagenzi, nilionya kuhusu karma. Kwa vile hii ilikuwa ni internal operation, na mimi sio inside man wa Chadema, naombeni ndugu zangu wa Chadema, jifanyieni tathmini, nani alifanya nini, the roles walizo play, then angalia kilichokuja kuwakuta the players, na sasa Kagenzi yuko wapi na ana hali gani!. Bodigadi wa zamani wa Dr. Slaa, Khalid Kagenzi akanusha kutaka kumuua Dr. Slaa, Ya mke wa Slaa na Mlinzi binafsi wa Dk. Slaa, Tena tazameni karma ilivyo, aliyetuhumiwa kumpa sumu Kagenzi ili amtilie Dr. Slaa, na yeye alikuja kutiliwa sumu na ikamwingia na kumdhuri, tena alikuwa ni almanusura!, asingewahishwa saa hizi tungekuwa tunazungumza mengine!.
  2. Chadema mlipokuwa kwenye kikao chenu cha ndani, CC Arusha, kukatokea mtu miongoni mwenu aliyekuwa akivujisha jf, kilichokuwa kinajadiliwa ndani, mlimuita msaliti, kwa kuvujisha info humu JF, jiulizeni ni nani alimdakua mtu huyo, na mlimfanya nini!, then jikumbumbusheni kilichompata huyo kamanda shupavu aliyemshughulikia msaliti!. Kinachoendelea CHADEMA Mitandaoni: Je, ni Ushujaa wa Mhe. Lema au ni Udhaifu wa "Kule Juu"?
  3. Chadema mlipomtimua Juliana Shonza na masalia kwenye kangaroo court yenu, nililizungumzia hili, sasa leo angalieni waliomshughulikia Shonza, nini kiliwakuta, leo wako wapi, na mlinganishe na Juliana Shonza alipo!. Wito: CHADEMA Watendeeni Haki Wanachama Wenu Ili Kuwatendea Haki Watanzania 2015!
  4. Mlipowatimua kina Kitila kwa hoja ya ule Waraka wa Mabadiliko, ambao nyinyi mliuita ni waraka wa mapinduzi, mimi nikawaambie ule ni waraka wa kui transform Chadema kutoka Chama cha kiharakati, kukigeuza Chama Tawala in waiting, hivyo waraka ule haukuwa wa mapinduzi, bali a "winning coalition" kuu revamp uongozi static na stagnant wa Chadema, na kuleta uongozi mpya vibrant na dynamic, angalieni makamanda wa timua timua hiyo nini kiliwakuta, linganisha na mahali alipo Prof. Kitila, tena anakuwa Waziri kwenye key ministry!. Ningekuwa CC ya CHADEMA ningemsamehe Kitila Mkumbo
  5. Mlipomtimua Zitto kwa kutumia CC kangaroo, niliwauliza humu, CC ya Chadema, inapata wapi mamlaka ya kumuadhibu NKM wakati mamlaka yake ya nidhamu ni Baraza Kuu, hakuna aliyejibu, angalieni nini kiliwakuta waliomtimua Zitto, na angalieni Zitto ni nani, tena anakwenda kuteuliwa mbunge wa kuteuliwa kwenye zile nafasi 10 za uteuzi za JPM, linganisha makamanda waliosimamia kutimuliwa kwa Zitto!. https://www.jamiiforums.com/threads...ie-mkajisahau-jiandaeni-kwa-karma.822703/Hiyo ni mifano ya dhambi ya dhana ya usaliti inavyoendelea kuitafuna Chadema ndani kwa, ndani, hapo sijamtaja Dr. Slaa, hadi watu kumuita Dr. Mihogo!, leo angalia waliombeza Dr. Slaa wako wapi, ulinganishe na mahali Dr. Slaa alipo!, haiwezekani watu na makamanda wameipigania Chadema kwa kuigharimikia kwa Machozi, Jasho na Damu, halafu leo uje uwaite wasaliti na kuwatimua kama mbwa!, kamwe Karma haiwezi kuacha salama Chadema!.
Leo Kangaroo court ya Chadema inakutana kumhukumu Halima na wenzake, ndani ya majina yale 19 ya wabunge wa viti maalum wa Chadema, walioapishwa, wabunge 5 ni 'vidumu' vya wajumbe wa CC ya Chadema ambao sio vile 'vidumu' vya 'mpango kando', no!, ni vidumu vya cohabitation, mnaishi nyumba moja, mnalala chumba kimoja, kitanda kimoja!, huku mkiishi katika dhana ya ndoa, na kila mtu anawatambua kama mke na mume!, haiwezekani mwenza wako, akaibukia kwenye majina ya viti maalum bila wewe kujua, kisha akaamkia Bungeni Dodoma kuapishwa bila wewe, kujua!, namhurumia sana KM. JJ. Nnyika ni mtu muadilifu sana, lakini hajui, the games people plays!.

Miaka mingi nyuma nililizungumzia Chadema kuwa na kirusi, CHADEMA Kuna Kirusi! Je, Unajua kirusi hiki ni Nani?! Na The Motive Behind?
Sasa miaka mingi imepita nikajua sasa Chadema ni safi, kumbe bado!, na sio kuna kirusi, Chadema ina virusi!. Kikulacho...ki nguoni mwako!.

Naomba kuwa mtu wa kwanza kukujulisha kuwa JPM, anaweza kila kitu!, Japo Tanzania hatuna serikali ya mseto, kama aliweza kumteua Anna Mngwira na Prof. Kitila, wakiwa ACT, kwenye baraza lake jipya la mawaziri, hawezi kushindwa kuwateua Mdee na Esta Bulaya, manaibu mawaziri katika serikali yake na sisi huku bara tukaunda serikali ya umoja wa kitaifa!.

I Wish Halima Mdee and her team, all the best, kama wataadhibiwa kwa kuukataa ujinga!, Karma itawashughulikia watesi wao, na wao kuwa elevate machoni pa watesi wao!.

Mungu Ibariki Chadema at least for once iweze kutenda haki, kuepuka adhabu ya karma, maana kiukweli Chadema hapo ilipo, ni almost dead kinachosubiri ni kukomelea tuu msumari wa mwisho kwenye naniliu la Chadema na kulishusha 6ft under!. The choice is theirs!

Mungu Ibariki Tanzania!.

Paskali
Mkuu na wewe unataka uteuzi?
Kwanza kuteuliwa kwenye nafasi yoyote ndani ya serikali hii,sio mafanikio,ni ujambazi mtupu,serikali hii Haina moral authority maana imeingia kijambazi,
Wezi huwa hawavsmii nyumba isiyo na mali,
Kelele zote hizi zinaelekezwa kwa Chadema,mbona madudu ya ccm hamyasemi,hivi ubunge wa Mdee,usingepolwa kijambazi na ccm leo hii tungekuwa tunayaongea haya?
Gari imetibua matope,yakawarukia abilia walio kituoni,badala ya kumlaumu dereva wa gari,unawalaumu abiria.
 
Mwenzio pole pole jina limeshatajwa ongeza bidii mivyeo bado iko mingi

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom