Sasa kwakuwa Odinga kaandamana na wewe unataka kuandamana? Wakiandamana Wasomali na wewe unataka kuandamana? Wakiandamana kina Malema na wewe uandamane? Wakiandamana Senegal kupinga Mhe. Rais Macky Sall asiongeze mhula nje ya katiba na wewe uandamane? Hoja yako ni nini hasa? ππππππYapo mengi ya kujifunza kwa nguli mpigania haki huyu:
1. Kutambua siasa ni sayansi yenye kubadilika kulingana na mazingira.
2. Hakuna rafiki wala adui wa kudumu bali agenda.
3. Maandamano yasiyo na ukomo ndiyo njia pekee ya kupata tunachohitaji na kwa wakati.
4. Hakuna nguvu iliyo kuu kuizidi nguvu ya Umma.
5. Maandamano hupangwa na kuratibiwa kikamilifu kuweza kufanikiwa na hata kufika kuliko dhamiriwa.
6. Maandamano hayawezi kuja spontaneous kama mvua.
7. Kwenye maandamano huwa casualties hawakosekani na anaweza kuwa awaye yote.
8. Raila au wakenya katika Mapambano si wajinga wanayo hoja na wanakijua wanachokipigania.
View attachment 2559513
Mafunzo mengine karibuni tuongezee.
View attachment 2559510
"Hatuna haja ya kupoteza muda na vijana was hovyo."
Hadi hapo:
"Shikamoo Raila Amolo Odinga."
Achana na chawa hilo mkuuu lifirwe tuHalafu sijamtaja mtu eti zaidi ya neno 'Makamanda'! Ila wewe umemtaja mpaka Lissu!! Mama zetu, watoto wake!! Shida iko wapi?
Halafu mimi najitegemea mwenyewe. Sina utaratibu wa kumtegemea mtu katika maisha yangu.
Shoga hilo achan nalo mkuuMbona unaandika ukiwa ndani na mumeo. Toa pua yako nje nikusugue kijambio.
We ni kamanda kwa lipi kwaniPambaneni na maisha yenu hakuna kamanda atakayepigania wapumbavu wasiojitambua.
Kwa sababu tunapishana Lugha.
Huwezi gugu hayo ninayo bandika. Hakuna majibu kule.
Hata hivyo siko darasani hapa kukupa wewe mtiririko unaoutaka.
Pita huko, uache kuparamia kila nacho bandika. Utanielewa tu.
Utalegea tuu ....si hitaji ushauri kutoka kwa mjinga kama wewe.Narudia tena, una tatizo kubwa la uandishi, jitahidi kufanyia kazi eneo hilo. Ukifanikiwa hilo uje uendelee na mijadala humu. Ni ushauri wa bure.
Sasa kwakuwa Odinga kaandamana na wewe unataka kuandamana? Wakiandamana Wasomali na wewe unataka kuandamana? Wakiandamana kina Malema na wewe uandamane? Wakiandamana Senegal kupinga Mhe. Rais Macky Sall asiongeze mhula nje ya katiba na wewe uandamane? Hoja yako ni nini hasa? ππππππ
chuma mavi anayeoza chato wajane mmebaki kujifariji ujinga na ikifika 2025 tunawafuta kabisa hata udiwan wa kupita bila kupingwa mtabaki kuuota.Chuma alikuwa anaongea mara moja tu. Waganga njaa wa Chadema wanatii bila shurti ni kauli moja tu πππ
Ukombozi sio lele mama unataka asali alafu unaigiza mwana harakati.
Ndio maana nasema kama mmepigika andamaneni na mamazenu lissu hana muda wa kuwambia muandamane.Baada ya uchaguzi wa 2020,
Siku hiyo ilikuwa jumamosi Lisu akawaambiwa machadema kwamba andamaneni nchi nzima kuanzia jumatatu yake kupinga matokeo!
Jumatatu ilipofika watu wakaendelea na mishe zao hakuna hata mbuzi aliejitokeza kuandamana,
Alipohojiwa na DW kwamba kwanini watu hawajaitikia wito wa maandamano na migomo ulioitisha? Akajibu kinyonge sana eti "nmegundua watz hawako tayari kwa manadariko"
[emoji23][emoji23][emoji23]
kumbe huwa unafirwa ndio maana makonda alipojaribu kutaka kupambana na ushoga alikatazwa na magufuli kumbe kisa alijua kunamabwabwa yamejaza kwenyw makorido ya lumumba.Achana na chawa hilo mkuuu lifirwe tu
kawaulize sukuma gang wenzako watakwambia vizur wewe bwabwa.We ni kamanda kwa lipi kwani
shoga ni wewe na babako mliolindwa na magufuli ili makonda asiwashughulikieShoga hilo achan nalo mkuu
Pole mkuu, umejifunza kwa njia ngumu sana. Sisi wengine tuna macho ya rohoni utuingizi chaka kijinga.Niliacha kutumia nguvu 2015 palee biafra
Wenye nchi walikuja kukwala matokeo vimbele mbele sie tukajifanya wafata mkumbo et! Wazee wasiondoke na matokeo , ilikuwa mshike mshike hatari palee biafra
Zilipigwa njugu live na sio kupigwa juu unalengwa yaani live live bila chenga, wapo waliokamatwa palee wakaenda nyea debe, kuna jamaa alikanyangwa mguu na baada ya matibabu kushindikana jamaa alienda kukatwa mguu- kama kuna mtu ana kumbuka ataikumbuka hii
Mimi kuna asikari mmoja alinikimbiza yaani aliniungia mpaka kwenye kona ya chuo kikuu huria kutoka shule ya biafra , aliniacha kwenye ilee kona ya chuo kikuu huria yaani sikurudi tena wallah nilipofika magheton nikachota maji bombani nikaoga nikaenda kulala moja Kwa moja yaani
Matokeo ya misuko suko ya wengine nilisikia kesho yake
Na nna huhakika kuna watu wanalamba asali kwenye hizi inshu sisi vimbele mbele tutaenda jiuguza baada ya kujitia kimbele mbele- sitaki kabsa mambo ya kutumia nguvu na vyombo vya dola other ways kuna kitu napata.β
Jamaa aliyokatwa mguu yupo tu aangaliwi na yeyote yaani imemgharimu kizembe tu, maisha hayaa daaah nachukia siasa kinoma noma sitaki kusikia chama chochote kilee
Kwani siku Akwilina anauawa Mbowe hakua front ya maandamano?Nakumbuka makamanda waliambiwa kwenye maandamano wakae mbele ili wamwagwe mkojo vizuri...tangia hapo wakapoteana mazima ππ
Viongozi wenu walizoea kutanguliza masikini kama chambo huku wao wanatafuna ruzuku wakakutanana na Chuma. No asali ni pumzi ya moto tu π π π₯π₯π₯
Raila ni mroho wa madaraka. Pamoja na kwamba nawaunga mkono Wapinzani lakini hawataki WI kufanya the Raila way. Raila kapoteza uchaguzi, akaenda mahakamani akapoteza. Sasa seven months after ndiyo anamobilize watu kwa gia ya maisha magumu... This is not right.Yapo mengi ya kujifunza kwa nguli mpigania haki huyu:
1. Kutambua siasa ni sayansi yenye kubadilika kulingana na mazingira.
2. Hakuna rafiki wala adui wa kudumu bali agenda.
3. Maandamano yasiyo na ukomo ndiyo njia pekee ya kupata tunachohitaji na kwa wakati.
4. Hakuna nguvu iliyo kuu kuizidi nguvu ya Umma.
5. Maandamano hupangwa na kuratibiwa kikamilifu kuweza kufanikiwa na hata kufika kuliko dhamiriwa.
6. Maandamano hayawezi kuja spontaneous kama mvua.
7. Kwenye maandamano huwa casualties hawakosekani na anaweza kuwa awaye yote.
8. Raila au wakenya katika Mapambano si wajinga wanayo hoja na wanakijua wanachokipigania.
View attachment 2559513
Mafunzo mengine karibuni tuongezee.
View attachment 2559510
"Hatuna haja ya kupoteza muda na vijana was hovyo."
Hadi hapo:
"Shikamoo Raila Amolo Odinga."
Huu upuuzi hatutaki kuuona tz.Umesoma mada? Wakiandamana tuna ya kujifunza:
View attachment 2559770
Juu polisi wanasepa hilo nyomi si la kawaida:
View attachment 2559773
Yameorodheshwa pale. Kama vipi ongeza na ya kwako.
Achana na chawa hilo mkuuu lifirwe tu