The difference.
Risasi za moto (live bullets) zilipigwa kwenye hayo maandamano kama ilivyokuwa kwa Akwilina na Sheikh Ponda na assassination attempt ya Lissu? Kama hatuoni ujasiri kwenye hayo yanayotokea kwetu basi ujinga, unafiki na roho mbaya ndiyo jadi ya wengi wetu.
Nchi ina mazingira ya kisiasa ya ovyo sana, halafu wengi tunasherehekea tu na kuwakebehi wanaojitahidi kupambana kuyarekebisha. Eti watangulize familia na watoto wao wavunjwe miguu! Halafu tunalalamikia utawala mbaya na kuwashambulia wapinzani badala ya watawala kwa hali hiyo. Pathetic!
Raila ni mroho wa madaraka. Pamoja na kwamba nawaunga mkono Wapinzani lakini hawataki WI kufanya the Raila way. Raila kapoteza uchaguzi, akaenda mahakamani akapoteza. Sasa seven months after ndiyo anamobilize watu kwa gia ya maisha magumu... This is not right.
Mtoto wa odinga umemuona hapo au kwakuwa mnaupumbavu wa sukuma gang, by the way mbowe hawez kupigania wapumbavu wa sukuma gang.Mtoto wa Mbowe anaitwa Dudley. Yeye utazama maandamano kupitia YouTube channel akiwa Dubai. Kisha anatoa inputs nini kiboreshwe na baba yake wakati huo hana hata fungu la panadol.
Ndio maana nimeyaambia humu several times kuwa mbowe na lissu hawawez kuendelea kupambania mapumbavu ya tanzania kama yanafikir maisha ni magumu yaandamane yenyewe na mamazao nyumban kwao kama ambavyo huwaambia kina mbowe na lissu waandamane na watoto wao.The difference.
Risasi za moto (live bullets) zilipigwa kwenye hayo maandamano kama ilivyokuwa kwa Akwilina na Sheikh Ponda na assassination attempt ya Lissu? Kama hatuoni ujasiri kwenye hayo yanayotokea kwetu basi ujinga, unafiki na roho mbaya ndiyo jadi ya wengi wetu.
Nchi ina mazingira ya kisiasa ya ovyo sana, halafu wengi tunasherehekea tu na kuwakebehi wanaojitahidi kupambana kuyarekebisha. Eti watangulize familia na watoto wao wavunjwe miguu! Halafu tunalalamikia utawala mbaya na kuwashambulia wapinzani badala ya watawala kwa hali hiyo. Pathetic!
hilo swali akilijibu natoka jf.Kwani siku Akwilina anauawa Mbowe hakua front ya maandamano?
Acheni kuongea upuuzi
Niliacha kutumia nguvu 2015 palee biafra
Wenye nchi walikuja kukwala matokeo vimbele mbele sie tukajifanya wafata mkumbo et! Wazee wasiondoke na matokeo , ilikuwa mshike mshike hatari palee biafra
Zilipigwa njugu live na sio kupigwa juu unalengwa yaani live live bila chenga, wapo waliokamatwa palee wakaenda nyea debe, kuna jamaa alikanyangwa mguu na baada ya matibabu kushindikana jamaa alienda kukatwa mguu- kama kuna mtu ana kumbuka ataikumbuka hii
Mimi kuna asikari mmoja alinikimbiza yaani aliniungia mpaka kwenye kona ya chuo kikuu huria kutoka shule ya biafra , aliniacha kwenye ilee kona ya chuo kikuu huria yaani sikurudi tena wallah nilipofika magheton nikachota maji bombani nikaoga nikaenda kulala moja Kwa moja yaani
Matokeo ya misuko suko ya wengine nilisikia kesho yake
Na nna huhakika kuna watu wanalamba asali kwenye hizi inshu sisi vimbele mbele tutaenda jiuguza baada ya kujitia kimbele mbele- sitaki kabsa mambo ya kutumia nguvu na vyombo vya dola other ways kuna kitu napata.’
Jamaa aliyokatwa mguu yupo tu aangaliwi na yeyote yaani imemgharimu kizembe tu, maisha hayaa daaah nachukia siasa kinoma noma sitaki kusikia chama chochote kilee
Mkuu yanakuchekesha haya?😅😅😂😂😂😅😅
Aiseee weee wacha tu.....ndugu yangu nimecheka lakini siyo ya kuchekesha .
Pole sana. Duh
Kwani ndugu zako waliokufa hawaozi?chuma mavi anayeoza chato wajane mmebaki kujifariji ujinga na ikifika 2025 tunawafuta kabisa hata udiwan wa kupita bila kupingwa mtabaki kuuota.
Niliacha kutumia nguvu 2015 palee biafra
Wenye nchi walikuja kukwala matokeo vimbele mbele sie tukajifanya wafata mkumbo et! Wazee wasiondoke na matokeo , ilikuwa mshike mshike hatari palee biafra
Zilipigwa njugu live na sio kupigwa juu unalengwa yaani live live bila chenga, wapo waliokamatwa palee wakaenda nyea debe, kuna jamaa alikanyangwa mguu na baada ya matibabu kushindikana jamaa alienda kukatwa mguu- kama kuna mtu ana kumbuka ataikumbuka hii
Mimi kuna asikari mmoja alinikimbiza yaani aliniungia mpaka kwenye kona ya chuo kikuu huria kutoka shule ya biafra , aliniacha kwenye ilee kona ya chuo kikuu huria yaani sikurudi tena wallah nilipofika magheton nikachota maji bombani nikaoga nikaenda kulala moja Kwa moja yaani
Matokeo ya misuko suko ya wengine nilisikia kesho yake
Na nna huhakika kuna watu wanalamba asali kwenye hizi inshu sisi vimbele mbele tutaenda jiuguza baada ya kujitia kimbele mbele- sitaki kabsa mambo ya kutumia nguvu na vyombo vya dola other ways kuna kitu napata.’
Jamaa aliyokatwa mguu yupo tu aangaliwi na yeyote yaani imemgharimu kizembe tu, maisha hayaa daaah nachukia siasa kinoma noma sitaki kusikia chama chochote kilee
Hawa watu ovyo kbs yaaniChezeeni Serikali na Dola zake.....isitoshe karibia kila uzi majivu yenu ni kudai kuwa akwilina alifanyiwa uovu. Mnalia kila siku....
Sasa mnataka Kina Akwilina wengine kwa sababu zenu binafsi.
R.I.P Akwilina
Nimesema nimecheka jinsi alivyohadithia, ndio inachekesha. Lakini vilevile nimesema Jambo hilo silo la kuchekesha....we chagua litakalo kupendeza, mie najua kilicho toka rohoni mwangu na nina amani tele.Mkuu yanakuchekesha haya?
Nimesema nimecheka jinsi alivyohadithia, ndio inachekesha. Lakini vilevile nimesema Jambo hilo silo la kuchekesha....we chagua litakalo kupendeza, mie najua kilicho toka rohoni mwangu na nina amani tele.
Asante kwa taarifa Braza J
Acha kufananisha the king Raila na vitu vya kijinga mkuu
Ukabila mtupu. Hapo "lafudhi" ni akina Okech, Odongo, onyau tupu. Kwetu tunabahati ukianzisha timbwili la kichaga dhidi ya wasukuma utakuta wanawake wa kichaga wameolewa usukumani na ma uncle kibaooo. Utatangqza ukuta watu wanakuangalia tu. Kwa hivyo mzee Nyerere alifanya jambo kubwa sana kutuunganisha watanzania. Hawa jamaa hawaendi hata hata kwenye bar, restaurant hata mabasi hawapandi ya kabila pinzani. Hii mbegu huwa haifi.Subirini matunda mle. Kwani lini yakipatikana huwa hamtokei kudai kumwuunga mkono Mama Kwa mnachoitaga kuwa ni ridhaa yake?
View attachment 2559517
Kama nyote mkiwa na nia Thabiti bila janja janja mazungumzo ni njia bora kabisa kabisa !! Maana hata Uhuru wa Nchi hii ulipatikana kwa njia ya mazungumzo tu !! It can be done ✔️ But no janja janja !!WAAFRICA ni WAJINGA sana.
Mimi kwangu kuandamana ni UPUMBAVU wa Hali ya JUU.
KWANINI USIKAE MEZA MOJA NA UONGOZI MKAMALIZA TOFAUTI???
naamini sana Meza ya mazungumzo.