Unajiabisha kukiri hadharani kuwa chaguzi za Chadema huwa mnahongana. Aibu kubwa ndugu yangu.Mvuto hana, ila hela za kuhonga wajumbe huko kanda ya kati alikuwa nazo. Fuatilia alipokuwa anataka kupata sign za kumdhamini agombee urais kwa tiketi ya cdm alikutana na nini.
Byzantinze bubblegum gab.Welp! Check this out 🤣
Na kakuwekea na mkono kiunoni kabisa!
Naona leo unamwaga pumba jukwaani.Nyalandu hana sababu ya kubaki cdm maana huko ccm alimkimbia dhalimu, na sasa dhalimu yuko motoni. Ifahamike Nyalandu mwenyewe anajua hana mvuto huko cdm, na anajua akirejea ccm ana nafasi ya kuendelea na ufisadi wake maana huko ndio nyumbani.
Unaishi nae kujua kama amenuna?Salari Silipu
Unajiabisha kukiri hadharani kuwa chaguzi za Chadema huwa mnahongana. Aibu kubwa ndugu yangu.
Naona leo unamwaga pumba jukwaani.
Post zetu ziko humu humu jukwaani na hatukuwa tunamfagilia, huyo Nyalandu hakuwa na mvuto wowote ndani ya cdm. Na hakuna yoyote aliyenuna kwa Nyalandu kurudi ccm bali watu wanamwita mpigania tumbo tu. Ushahidi kuwa Nyalandu hakuwa na mvuto huko cdm, ni zile safari zake alizozunguka nchi nzima kutafuta watu wa kumuunga mkono ili kugombea urais kupitia cdm, ukiacha watu aliokuwa anazunguka nao kwenye lile basi lake chakavu, hakuwa na mvuto hata chembe.
Bwana mdogo pole kwa kuzungusha mikono
Chadema wamevurugwa haswaaa , mapambio kama yote🤣🤣Hahaaaa safi!
Wote makamanda a Nyalandu wanaunga mkono kazi za mama!
Sasa kwa nini wanune kisa tu Nyalandu karudi CCM?
Soon 🤣🤣hawana hata muda mrefuHivi lini wanaenda Chamwino kunywa juisi?
Mmawia anademka kuliko kawaida aisee🤣Kina mmawia tuko nao pamoja tukidemka kuimba Mama mi 10 tena