Makamanda mbona hamsomeki?

Pole kwa maumivu! Yakizidi meza panado.
 
chadema kwisha habari yao viongozi wamekimbia nchi waliobaki wanabaki kubweka tu na kina mdee hawana kazi za kufanya badala ya kuimarisha chama wao kazi ni kina mdee kila siku uchaguzi ukifika mtasema mmeibiwa kura wakati hamzitafuti sasahivi
Hili neno la chadema kufa lalisikiaga tangu 2015 ila cha kushangaza shujaa kafa kaiacha chadema.
 
Team mayatima wanamalizia hasira zao na machungu ya msiba kwa chadema
 
Mbona Lissu kasema furaha za kumfurahia Samia ni premature and this could very well be old wine in an old bottle, not even a new bottle?
 
Mkuu hebu tuweke vyama pembeni tujadiri hoja ya mleta Uzi.
Wewe unamuunga mkono mama yetu( kitu ambacho ni kizuri sana)
Inakuwaje unanuna mtu mwingine kujitokeza hadharani na kwenda kumuunga mkono mama?
Vinginevyo useme kwamba mtu huyu si mzuri, na kama ndivyo ueleze amekuwa mbaya alipoanza kumuunga mkono mama au kipindi kile alipohamia upande wa pili.
 
Makamanda hawana tofauti na Talking Tom.
They're balking dog without owner
 
Mbona Lissu kasema furaha za kumfurahia Samia ni premature and this could very well be old wine in an old bottle, not even a new bottle?
Ndiyo, Lissu kweli kasema hivyo.

Ila hawa makamanda wengine wa humu pamoja na yule sijui anaitwa Malisa Godlisten, umeona jinsi wanavyomdemkia Samia?

Binafsi sitegemei lolote la maana lililo la kimageuzi toka kwa CCM.
 
Mimi sio kamanda
Ila
Mbowe
Lissu
Lowasa
Shibuda
Sumaye

Sikuwahi kuamini kuwa huwa ni wapinzani wa CCM
Katika hao wote Lissu ana credibility kama mpinzani. Tatizo lake yupo too emotional halafu ni boot licker wa mabeberu.
 
Naona Mataga wanakimbiza uzi
Mabingwa wa nyepesi nyepesi
Nyani na akili za kubeba mabox
Kweli wewe Msukusi unapenda
Umbeya umbeya kama Mwendazake
 
Mtatuvunja mbavu bhana,
 
Mfupa wa nyama ya ng'ombe umekwama Kooni.
 
Hii inatwa, nawakeraaa!!! Nawakera kidogo!!

Jiangalie we jamaa Ngabu, utakanyagwakanyagwa na Nyumbu wewe!! Nakwambia Nyumbu wamefuraaa!!!
 
Ndiyo, Lissu kweli kasema hivyo.

Ila hawa makamanda wengine wa humu pamoja na yule sijui anaitwa Malisa Godlisten, umeona jinsi wanavyomdemkia Samia?

Binafsi sitegemei lolote la maana lililo la kimageuzi toka kwa CCM.
Watu wengi huwa wanaona wanachotaka kuona.

Huyu Samia Suluhu Hassan aliwaambia wananchi kwamba wakiipigia kura au wasipoipigia kura CCM, CCM itashinda tu.

Hii ni kauli ya mtu aliyejizatiti kuiba kura tayari, na kama hajajizatiti kuiba kura tayari ni kiongozi mwenye dharau kwa wananchi na haheshimu utawala wa sheria na umuhimu wa kura za watu.

Sasa kiongozi kama huyo, mtu aliyekuwa makamu wa Jiwe mipango yote wamepitisha pamoja mpaka wameshinda kwa figisu nyingi.

Mpinzani anayemsheherekea huyo Samia ni mpinzani asiyejitambua.
 
Uliisikia/ uliiona hii?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…