Makalio makubwa hips kubwa KULIPIWA KODI?

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Naomba kuuliza kuna haja ya serikali kutoza kodi wale wote wenye makalio makbwa na HIPS kupunguza kasi ya matumizi ya Dawa za kichina.
Kuongeza ukuuaji wa KIUCHUMI TZ.
 
nashauri kama ni kutoza kodi iwe kwenye rate ya ongezeko la hips. manake kuna wenye vitu naturale,itakua uonevu
 
Dada Zubeda, kwa nini hukupeleka hii thrad jukwaa la utani (kama ni utani) au jukwa la economic (kama uko serious)?
 
Hips ni zipi na makalio ni yapi kumbe? yale yanayotumiwa na wabunge wa magamba kufikiria ndio hips au makalio?
 
Hi naona itapunguza matumizi yamadawa kwa wadada wanaotumia. Maana kiukweli inakera hasa wale wapendao kuvaa skin tight huwachora kama walivyozaliwa. By SOSPERLEVISON
 
na kweli..mana huku uswaz kwetu wanashindana size tu!small na medium zinazid kupungua!sikuhiz ni xl,xxl,xxxl na kuendelea
 
Back
Top Bottom