Makala za Mohamed Said Katika Mwananchi: Miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika

Chama,

Ndugu yangu sasa baada ya kusomesha historia unataka niingie
katika "semantics!"

Kwa ufupi ni hivi.

Chukulia hayo niliyoandika kama kitu tu cha kawaida unasoma
unaamini au unakataa.

Huna sababu ya kuteseka sana kutaka kujua hivi hii nisomayo
ni historia ya kweli au historia ya kweli ni ile niliyosomeshwa
na walimu wangu?

Si lazima uniamini.

Hadi leo Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam wanasomesha historia
rasmi.

Wala hapaja kuwa na maandamano.

Shule nyingi za Kiislam wanasomesha historia hii yangu hakuna
shida. Wanafunzi wanatembea kifua mbele. Washajijua.

Kuna vijana wa Kiislam walimu wa historia katika shule za Kiislam.
Hawa vijana wanasomesha ile historia ya Nyerere kuanzia 1954.
Wakimaliza wanasomesha historia hii ya kitabu changu.
Taarifa nipatayo ni kuwa darasa huchangamka kweli kweli.

Sasa kama kuna jipya Insha Allah tuendelee na mjadala.

Mohamed

Bwana Mohamed nadhani umeelewa nini nilichoandika; unataka kutumia hekima zako za kiusomi kukwamisha mjadala; wewe ndio mtoa mada sisi ndio wanafunzi ; hivyo tunahaki ya kuuliza maswali na kuomba ufafanuzi; jipya lipo lakini kabla sijaenda mbele nipe ufafanuzi wa nilichoomba.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
To many uninformed people, Nyerere is a public defender of secularism in the ruling Party and the government. But his secret meetings with Church leadership is quite the opposite. In his confidential conversation on August 2, 1970, with Rev. Robert Rweyemaum, the then Secretary General of Tanzania Episcopal Conference (TEC), the largest Christian denomination of Catholic Church, Nyerere is quoted in a book Development and Religion in Tanzania by J. P. van Bergen as saying that he has established in TANU a department of political education and that he deliberately appointed a Christian minister to head it not because he was a strong politician but because of his Catholic Faith. This book published by the Catholic Church stated that this reason the Rev. Mushendwa with his strong solid Christian faith, was put in charge of TANU's Development of Political Education. Nyerere continued what was left by the British educational discparity against the Muslims. He was aware of Muslim's grievance in the area of education. He wrote in his bookFreedom and Unity that the disparity of educational levels could be used as a political issue:
 
Recent study conducted by G.A. Malekela, a Christian Professor in the Faculty of Education at the University of Dar es Salaam, stated that in the government Secondary schools in Tanganyika in 1983, Christians were 78% and all non-Christians were only 22%. Christians are clearly over represented despite the fact that Muslims are 65% in the population of Tanganyika. The latest research done by the Dar es Salaam University Muslims Trusteeship (DUMT) and published in 1992 by Al-Haqq International showed that the number of Muslim students has been falling in the country's university Dar es Salaam and colleges. At the University of Dar es Salaam alone, the research reported that the total enrollment for the 1986-1990 was 4,191. Out of this number, Muslim students were only 586, or 13%, whereas Christians were 3,609 or 87%. It is was not therefore a sheer coincidence throughout his uninterrupted 24 years as the President of Tanzania (1961-1985), Nyerere, being a Catholic had always appointed a Christian to head the Ministry in Education. Muslims stated that because of this ever-increasing under-representation of Muslims in relation to Christians in Secondary and Higher Education, all key posts in the Tanzanian administration and public institutions came to be dominated by Christians, while Muslims largely relegated to menial positions such as drivers and messengers. The Muslims in Tanganyika are demanding their a fair share of the national cake because after independence, Tanganyikan Muslim student intake, is below 10%; the Muslim Cabinet ministers are negligible while Muslim principal secretaries and heads of parastatal organization are non-existent.
 
KLEIST was "AIDE DE CAMP" to Von Lettow Vorbeck,hapa umetuchanganya kidogo,Aide as to the true meaning of the word AU msaidizi as in mpishi,eg
 
Bwana Mohamed nadhani umeelewa nini nilichoandika; unataka kutumia hekima zako za kiusomi kukwamisha mjadala; wewe ndio mtoa mada sisi ndio wanafunzi ; hivyo tunahaki ya kuuliza maswali na kuomba ufafanuzi; jipya lipo lakini kabla sijaenda mbele nipe ufafanuzi wa nilichoomba.

Chama
Gongo la Mboto DSM

Chama,

Niwie radhi.

Sikulazimishi kuniamini.
Historia rasmi iko na ndiyo inayotambulika na serikali.

Sisi hatuna ugomvi nayo.

Tumeandika yetu na sasa inasomwa pamoja na historia
rasmi.

Mtu ana uhuru wa kuamini ainayo ina ukweli.

Hapa tulipofika mimi na wewe panatosha yote nishaeleza.

Mohamed
 
Zing,

Sina ujuzi katika hilo.

Mohamed
Mzee saidi maoni na mtazamao wako je unona ulikuwa na mpaka sasa ni uamuzi sahihi kuahamisha makao makuu ya serikali Dar Es-Salaam Kwenda Dodoma .

Napenda kujua maoni yako kuhusu jambo hili?
 
Bw. Said, nimekusoma kwa kina na kukuelewa nina swali moja: naomba uandike kwa kifupi tu mapendekezo manne ambayo ungependa Serikali iyafanyie kazi ili kushughulikia malalamiko au mambo yale ambayo umeyaonesha kuwa yanawaletea shida Waislamu wa Tanzania. Naomba uangalie maeneo haya manne:

a. HIstoria ya Uhuru (serikali ifanye nini ili historia kamili iandikwe na kufundishwa?
b. Kuondoa mwonekano wa Wakristu kupendelewa?
c. Kuondoa kumfanya Nyerere aonekane ana mchango wa pekee kwenye historia ya Tanzania ili wengine waliosahauliwa wapate nafasi yao?
d. Kupunguza nguvu za Kanisa Katoliki Tanzania ili lisionekane linaiendesha serikali

Nitashukuru kwani itanisaidia na mimi kuandika zaidi juu ya jambo hili.
 
Labda mwanakijiji swali lako hili hili Mohamed Saidi angelitolea maelzo kwa Makundi matatu na sio serikali Pekee. Yaani

  • Serikali
  • wakiristu, Kanisa na wasio waislam
  • Waislam
Haya makundi yafanye nini?
 
Chama,

Niwie radhi.

Sikulazimishi kuniamini.
Historia rasmi iko na ndiyo inayotambulika na serikali.

Sisi hatuna ugomvi nayo.

Tumeandika yetu na sasa inasomwa pamoja na historia
rasmi.

Mtu ana uhuru wa kuamini ainayo ina ukweli.

Hapa tulipofika mimi na wewe panatosha yote nishaeleza.

Mohamed

Bwana Mohamed hapa hatutafuti mshindi wala hapana ugomvi; wala hapana sababu ya kuombana radhi; kwa sababu mtiririko mzima wa majadiliano umekwenda kwa amani na kuheshimiana; tunachofuta ni facts; nimeshiriki mjadala huu kwa sababu kuu tatu kwanza ni Muislam pili ni mtanzania tatu naamini kabisa Mwl. Nyerere pamoja na mapungufu ya kibinadamu alijitahidi kadri ya uwezo wake kutuletea usawa; binafsi ni mmoja wa waislam ambao tumenufaika na siasa za Mwalim; sijui kama ni watawala hawa tulionao labda ningekuwa Kariakoo nauza nyanya; namshukuru sana Allah kwa kunipa fursa ya kuchangia mjadala huu; nimepata fursa ya kutembea sehemu mbalimbali nimeshuhudia migogoro yenye vyanzo vya udini na ukabila; hazina ya amani waliotuachia wazee wetu ni kubwa sana na tunapaswa kuilinda bila kutumia vigezo vya udini na ukabila. Pamoja na kasoro zilizopo Waislamu tunaweza kutatua matatizo yaliyopo bila kubughudhiana na Wakristo au Wapagani. Bwana Mohamed kama Waislamu hatutatafuta njia muafaka wa kutafuta njia sahihi za kutatua matatizo yanayotukabili tutaendelea kulalamika vizazi na vizazi.

Chama
Gongo la Mboto DSM.
 
Waislamu tunaweza kutatua matatizo yaliyopo bila kubughudhiana na Wakristo au Wapagani. Bwana Mohamed kama Waislamu hatutatafuta njia muafaka wa kutafuta njia sahihi za kutatua matatizo yanayotukabili tutaendelea kulalamika vizazi na vizazi.

Chama
Gongo la Mboto DSM.

Chama umesema kitu kimoja kinaitwa "hekima". Leo hii mjadala wa haki za Waislamu au kile kinachodaiwa ni haki za Waislamu unaendeshwa vibaya sana kwani unategemea antagonism betweena Christians and Muslims. Kwa maneno mengine, haki za Waislamu zinatakiwa kupiganiwa na Waislamu peke yao kwa hiyo ili hili lifanikiwe ni lazima Wakristu wawekwe pembeni kwanza. Tatizo siyo kuwaweka pembeni tu Wakristu lakini pia kuwafanya wawe na hatia ya makosa ya ukoloni ulioletwa na Wakristu. Leo hii unasikia maneno "Mfumo Kristo" au yanafanana na hayo; lakini siyo hivyo tu maneno ambayo wanaharakati wa Kiislamu wakati mwingine wanayatumia yanalazimisha Wakristu kuwa pembeni hata kama kimsingi wanakubaliana na madai mbalimbali. Kwa mfano, je ni lazima ili hoja ya kuwatambua wazee wengine waliochangia sana kwenye uhuru kumfanya Nyerere duni kwanza au hata kumuweka kama * ya historia ili wengine nao wajulikane au kufahamika? Je ili kuandika historia ya mchango wa watu wengine (zaidi ya Nyerere) ni lazima kuweka wale waliokuwa Waislamu tu?

Mkandara kauliza mahali fulani kuhusu Cecil Matola - Watanzania wengi yawezekana hata hawajawahi kusikia jina la huyu bwana? Je mchango wake ulikuwa ni nini? Je mchango wa wananchi wengine kama kule Kagera na Kilimanjaro katika harakati za uhuru ni nini? M. Said anatuambia hao wengine waandike historia zao yeye alitaka kuandika za "wazee" wake. Sasa historia ya familia vipi yawa historia ya nchi nzima? Utaona kuwa kile anachomtuhumu Nyerere yeye mwenyewe anakifanya! Yeye anasema Nyerere alificha historia ya wazee wa Kiislamu akitaka yeye ajulikane sana; lakini wakati huo huo yeye anaelezea historia ya wazee wa Kiislamu na kuwaacha wazee wa Kikristu walioshiriki kwenye harakati za uhuru! Kama Nyerere aliandika (japo tunajua hajawahi kuandika historia yake) historia ya kumpendelea yeye na ilikuwa vibaya iweje leo M. Said anaandika historia ya kuwapendelea wazee "wake" nayo ikawa sahihi?
 
. "Sasa historia ya familia vipi yawa historia ya nchi nzima? Utaona kuwa kile anachomtuhumu Nyerere yeye mwenyewe anakifanya! Yeye anasema Nyerere alificha historia ya wazee wa Kiislamu akitaka yeye ajulikane sana; lakini wakati huo huo yeye anaelezea historia ya wazee wa Kiislamu na kuwaacha wazee wa Kikristu walioshiriki kwenye harakati za uhuru! Kama Nyerere aliandika (japo tunajua hajawahi kuandika historia yake) historia ya kumpendelea yeye na ilikuwa vibaya iweje leo M. Said anaandika historia ya kuwapendelea wazee "wake" nayo ikawa sahihi?"

Mwanakijiji hii mada ipo wazi na malengo ya mwandishi yalikuwa ni kumpaka matope Nyerere zipo sababu nyingine lakini hili dai la kusema eti Nyerere aliwachukia Waislamu linashangaza, mpaka siku ya mauti yake Nyerere alikuwa karibu na Waislamu, laiti kama hizo chuki kama zingalikuwapo basi alikuwa hana sababu hata ya kufanya muungano, Mzee Mwinyi asingekuwa Raisi, kulikuwa na mtu wa kumzuia Nyerere kama alikuwa hataki Mwinyi asiwe Raisi? Jibu hakuna; Kinachotetewa na Bwana Mohamed ni wazee wa Gerezani; hili dai la Waislamu linatumika tu; na ndiyo sababu kuu anashindwa kutoa majibu; ipo agenda lakini anashindwa kuiweka wazi.

It appears that Nyerere is one of the best known political figure, but the least understood of African leaders. Millions of Africans who struggled for liberation from the Western imperialism, believed that Nyerere is the supreme theoretician and practitioner of the African Liberation. Others concidered him as the man who committed himself and the resources of his country to rid the African continent from the hegemony of European colonialism and apartheid, sponsored by the Ducth Reformed Church, the major evils of Western imperialism in the African history. According to some political philosophers, Nyerere is the most outstanding political guru, thinker, writer and spokesmen in Africa and the chief architect of socialism in Tanzania, branded as "Romantic Tanzaphilia" by Professor Ali A. Mazrui.
In the Euro-Christian parlance, Nyerere was a serious bulwark against what was believed as Communism in Zanzibar. This was concorted and by the American Government. because the book, US Foreign Policy and Revolution: the Creation of Tanzania by Amrit Wilson revealed some official US documents, including from the CIA that regarded Nyerere as the only "responsible" African leader to suppress (Islam in) Zanzibar which was erroneously equated with communism during the Cold war. Before the creation of Tanzania in 1964, Nyerere was frequently heard and so quoted that he wished he could tow out Zanzibar into the Indian Ocean, if he can. Tanzania received more Western aid per capita than any other African country. But to many Islamists in Zanzibar, Nyerere is a devout Catholic and Crusader against Islam in Zanzibar though it was only recently that the book "The Course of Islam in Africa" by Mervyln Hiskett indicated that the Union was imposed by Nyerere for Crusade against Islam in Zanzibar:
 
You know sometimes I get sick and tired of propaganda against Nyerere; use your common sense; do you know population of Zanzibaris in 1964? If that was the case then he could have go after Muslims in Tanganyika; it does not make sense for him to go after small number of Muslims; after all Nyerere was not viewed as a friend to Americans. You will hear a lot of craps but truth will remain the same.
Chama
Gongo la Mboto DSM.
 
KLEIST was "AIDE DE CAMP" to Von Lettow Vorbeck,hapa umetuchanganya kidogo,Aide as to the true meaning of the word AU msaidizi as in mpishi,eg

Son of Alaska,

Nimepitia michango mingi asubuhi hii naona tushachoka.
Dalili ziko wazi.

Ikiwa ni hivyo nami bora nipumzike.

Mohamed
 
JokaKuu;2651227]Mohamed Said,Nguruvi,Nyambala,MM,Mdondoaji,Topical,Chama,...
..nadhani Afrika Kusini nako wana matatizo kama yetu Tanzania.
..kila kitu ni Mandela, Mandela, Mandela, wakati wengine hawaandikwi, wala hawatengenezewi filamu.
..sitashangaaa kwamba kuna vijana hawana taarifa kuhusu wanaharakati waliofungwa pamoja na Mandela kama Walter Sisulu,Ahmed Kathrada, Govan Mbeki, .....naamini kuna tatizo kubwa sana ktk utunzaji wa kumbukumbu katika nchi yetu. vilevile kuna tatizo kubwa zaidi ktk utoaji habari.
..Historia ya nchi yetu itatendewa haki kama kutakuwa na "Mohamed Said" wengine toka Arusha, Tabora, Songea, Mwanza , Kagera,..ambao nao wataandika kuhusu harakati za uhuru zilizokuwa zikiendelea ktk maeneo mbalimbali ya Tanganyika
mkuu Jokakuu, kwanza nikubaliane nawe kuwa kuna tatizo la kuweka kumbu kumbu za taifa linalotokana na viongozi wetu. Tuna wasomi lakini hawatumiwi ipasavyo. Hakuna pesa za kuweka kumbu kumbu lakini kuna pesa za chaguzi ndogo na mfuko wa wabunge.
Nchi za wenzetu viongozi wastaafu wana maktaba zao zenye kumbu kumbu za tawala zao kama Ronald Reagan Library, Clinton n.k. Viongozi wetu wastaafu wapo bize na kampeni na si kutoa elimu na uzooefu wao wakiwa kazini.

Tatizo la Afrika kusini si sawa na letu. La kule ni kuwa yupo anayetajwa sana kwa mazuri kuliko watangulizi wake. Mandela akizaliwa aliikuta ANC na kuna wakati alikuwa na mgogoro nayo. Tatizo sio kuwa watangulizi wake na washirika kama Tambo, Sisulu, Hani n.k walifanya vibaya au walisingiziwa ubaya, hapana, ni kwasababu Mandela alikuwa 'unique role' kama alivyosema mwanakijiji.
Tunaweza kusema akina Nkrumah nao wanatajwa kwa mambo 'unique' hata kama hayakuwa sahihi. Yupo kiongozi wa Algeria aliyeitwa Huari Buomedien, alikuwa rafiki wa Nyerere na msaada mkubwa kwa wapigania uhuru kusini mwa Afrika,je nani anamjua?

Kuna kitu kinaitwa 'Charisma' hicho ndicho kina define historia ya kiongozi kwa kiasi kikubwa sana. Tony Blair, Clinton, Mahathiri Mohamed, Indira Gandhi, Traudeu ni miongoni mwa viongozi ambao hatuwezi kusema walifanya makubwa sana lakini madogo waliyofanya yalikonekana au yale mabaya waliyofanya yanafunikwa na 'charisma' yao.

Gordon Brown ndiye 'mentor' wa Tony Blair lakini hana Charisma na alisingiziwa kila baya si mazuri aliyoyafanya. Dick Cheney hana Charisma ndiyo maana alibeba mzigo wa Bush asiye na charisma pia. Winston Churchill alikuwa shujaa wa taifa la malikia lakini hakuwa na charisma na alishindwa uchaguzi baada ya kuliokoa taifa na aibu ya kuwa koloni la mjerumani.

Kama umetusoma vizuri wengi wetu, ni kuwa hutakatai historia anayoandika Mohamed. Nyerere mwenyewe amethibitisha hadharani kuwa wazee wa Dar walimsadia sana na akasema kama hamtawaheshimu hao hamtafanikiwa. Wote wanaotajwa na Mohamed walikuwepo, nani atabisha kuwa Tambaza hakuwepo, Sykes, Mshume Kiyate, Dossa Azizi n.k ambao ndio walimkaribisha mwalimu.

Tunachopinga si historia ni kutumia neno historia kutaka kuchomeka ajenda za kuvuruga taifa. Mohamed anasema anaandika historia, sasa anapokiri kuwa anaandika historia ya Waislam na wakati huo anadai ni historia ya Tanganyika anakuwa na utata wa hali ya juu.
Mohamed anaposema anaandika historia ya Tanganyika na kukiri hajui historia ya Musoma na Mbeya hapo kuna tatizo.
Mohamed anapowaongoza wasomaji kwa kuingiza hisia zake na si kuacha fikra zichambue ukweli kuna tatizo.
Mohamed anapopindisha historia au kupotosha baadhi ya mambo kwa kuingiza au kutoa hapo kuna tatizo.

Kibaya zaidi na ambacho kinatusukuma wengi kumhoji ni pale anapotumia karata ya historia kuleta mpambano wa dini.
Hakubali kuwa kuna dini na kuna wakati watu hawana dini. Tena dini anayoiongelea sana ni ile inayomhusu Nyerere na Wakatoliki sio wakristo kwa ujumla wao. Huwezi kuandika historia ya waislam ukawatenga Shia na Ismailia, au Sunni na Ahmadiya!

Amefikia mahali anajenga hoja kwa dhana na kuunga unga ili mradi tu Nyerere na dini yake wawe front and centre of discussion. Katika kufanikisha hilo hakosoi historia mbaya iliyoandikwa bali kutafuta njia za kumdahalilisha na kumkashifu Nyerere hata bila uthibitisho.
Uthibitisho ni ule wa 'Inasemekana' halafu ana conclude kwa kusema huo ndio ukweli.

Anaandika historia ya kujenga chuki baina ya watu na si kuleta utangamano. Anaposema kuna dhulma, yaweza kuwa zipo na historia haiwezi kuficha, lakini anaposhindwa kuorodhesha dhulma na kubaki kusema dhulma ipo ni jambo la hatari sana.
Ametoa madai dhidi ya taasisi na hawezi kuyatetea kwa hoja kuwa kila mtu aandike historia ya kwakwe! na hoja anazokataa kuzijibu ni zile zinazo hoji historia ile ile anayosema imekosewa na anaandika upya. Mohamed hataki kuhoji wahusika wa historia waliopo hai ila anatuaminisha simulizi.

Lau kama asingetanguliza hisia za kidini kama alivyowahi kukiri na kutoa ushahidi kuwa hii si historia bali ni kuamsha hisia za kudai haki kwa kutuma masheikh mikoani , tungeweza kumwelewa kama tunavyomwelewa Mtikila leo hii. Kinachogomba ni kutufanya wajinga kwa neno historia huku tunajua kuna zaidi ya historia.

Kwahiyo hatupingi maandishi yake na maudhui, tunapinga hisia za kujenga chuki za kidini anazojaribu kuzipandikiza hata kama hakuna ukweli.
Hisia za kusingizia watu ili kuwapaka matope. Kama yupo anayeandika historia ya wakristo au waislam na shughuliza zao za kujenga taifa au ukombozi hilo halina tatizo, lakini akienda mbali na kutaka kutuvuruga kwa matishio ya kupigana, kudai haki isiyodhulumika tutasimama na kumkemea.

Jokakuu, tunachosimamia hapa ni kujenga taifa lenye heshima kwa majadiliano mezani. Hatuwezi kujenga taifa kwa kuhimiza matumizi ya mapanga na mawe, hayo hayajafanikiwa Srilanka, Tibeti, Nigeria, Rwanda, Burundi au Kenya. Na wala tusidhani matatizo yanayodaiwa yapo kwetu tu, marekani wanayo pia, la muhimu wao wanakaa na kuajdiliana kwa ukweli sio kuhimiza chuki kwa kutumia mambo kama dini na kujenga hoja zisizolitakia mema taifa hili. Wengi hatusimamii udini tunasimamia ukweli na utaifa ili tuwe na nafasi nzuri ya kuwa na jamii huru bila kufungwa na minyororo ya dini. Dini zibaki kuwa imani na mahusiano ya mwanandamu na mola wake na wala zisitumike kudhihaki wale wasiozikubali kama raia nusu wa nchi hii. Huwezi kudai kuwa waislam wanafanywa second class citizen wakati huo huo ukiwafanya wapagan na atheist second citizen. Hapa ni kufeli 'simple common sense test'. Haya yafuatayo yanashadidia hoja yangu
Mzee Mwanakijiji;265158 Kinachonishangaza mimi ni kuwa wapo wanaojaribu kufuta, kupunguza hata kukana nafasi ya Pekee (unique role) ya Nyerere ili kwa kufanya hivyo wawainue wengine. Hawawezi kuandika historia na kuweka nyongeza ya kile kilichopungua. Hili ndilo tatizo alilo nalo M. Said.
 
You know sometimes I get sick and tired of propaganda against Nyerere; use your common sense; do you know population of Zanzibaris in 1964? If that was the case then he could have go after Muslims in Tanganyika; it does not make sense for him to after small number of Muslims; after all Nyerere was not viewed as a friend to Americans. You will hear a lot of craps but truth will remain the same.
Chama
Gongo la Mboto DSM.

[h=1]“Why Shakespeare once said, “A coward dies a thousand deaths, a hero only one.” Why would this be? Is that you...?[/h]
 
Mr.Right said:
In the Euro-Christian parlance, Nyerere was a serious bulwark against what was believed as Communism in Zanzibar. This was concorted and by the American Government. because the book, US Foreign Policy and Revolution: the Creation of Tanzania by Amrit Wilson revealed some official US documents, including from the CIA that regarded Nyerere as the only "responsible" African leader to suppress (Islam in) Zanzibar which was erroneously equated with communism during the Cold war.

Mr.Right,

..ukisoma hapo kwenye RED utaona kwamba mwandishi analazimisha tu uadui kati ya Mwalimu na Waislamu.

..umoja miongoni mwa Waislamu dhidi ya udhalimu ni jambo jema, lakini nadhani ni makosa sana kuwaunganisha Waislamu kwa kutumia fitina na uzushi kama anavyofanya mwandishi uliyemnukuu.

..kwa taarifa yako Ukomunisti ambao ulikuwa uingie Zanzibar ulikuwa hauna urafiki wowote ule na imani za Kiislamu na Kikristo.

..wakati CIA wanasema walimtuma Mwalimu kudhibiti Ukomunisti Zanzibar, mwandishi analazimisha hoja kwamba Ukomunisti na Uislamu huko Zanzibar ulikuwa kitu kimoja!!!!
 
Back
Top Bottom