Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,738
- 42,830
Balile rdk yake pascal mayalla..Makala nzima anazungumza Balile ulitarajia nini?
Wakiwa songea walimualika katibu mkuu wa ccm ndugu nchimbi awe mgeni wao rasmi TEF 🤣🤣🤣
Balile rdk yake pascal mayalla..Makala nzima anazungumza Balile ulitarajia nini?
mmhhh!Nilihudhuria uzinduzi, naomba nirejee hapa kesho kukupa comments zangu.
P
Hao wapumbavu wanasema eti ndio alifadhili maandamano.Hiyo picha ya Trump inahusiana vp
Nimeangalia makala yote hiyo jana umejaa upuuzi mtupu.Balile rdk yake pascal mayalla..
Wakiwa songea walimualika katibu mkuu wa ccm ndugu nchimbi awe mgeni wao rasmi TEF 🤣🤣🤣
Kwamba walipengewa kamasi?P Diddy.?
Sijajisumbua kumaliza MBs zanguNimeangalia makala yote hiyo jana umejaa upuuzi mtupu.
Ni kama yalikua mahojiano ya wale wakatoliki feki wa UVCCM.
Dah 😂Hao wapumbavu wanasema eti ndio alifadhili maandamano.
Yaani mtu anaingia na bango barabarani anazungumzia kero anazokumbana nazo halafu mjinga mmoja anasema mtu huyo amelipwa kutoa kero zake.Dah 😂
Watanzania tuna bahati mbaya sana This time tunaongozwa na Wapumbavu
Hawa watu wanataka tuone damu za watu waliouwawa kikatili October 29 kama walikua kama mbuzi tu waliochinjwa watu wakala nyama wakasahau.Kwamba walipengewa kamasi?
Jana nilikua na free time tena sikua nimesearch makala hiyo , ilitokea kwenye post ya X ya huyo tapeli ndio na mimi kujua kua kumbe documentary yake ya kitapeli ilitolewa ikabidi niangalie ndio namuona Balile chawa wa CCM na nikagundua 99% muandaaji ni yeye hilo tapeli la Nigeria na Zimbabwe walitumika kama covers.Sijajisumbua kumaliza MBs zangu
Waandamanaji wana siri sana, kumbe wenzangu walilipwa 😂Yaani mtu anaingia na bango barabarani anazungumzia kero anazokumbana nazo halafu mjinga mmoja anasema mtu huyo amelipwa kutoa kero zake.
Kama ingekua hivyo kwanini nao hawakuwalipa watu wasiandamane kama wanavyowalipa na kuwajaza kwenye malori kama ng'ombe kwenda kwenye mikutano.
Uafrika ni laana mkuu, hasa ikiwa MtanzaniaHawa watu wanataka tuone damu za watu waliouwawa kikatili October 29 kama walikua kama mbuzi tu waliochinjwa watu wakala nyama wakasahau.
Mtu anafuatwa kwake anapigwa risasi halafi akina Chande wanasema eti waandamanaji walikua na silaha.
NimerejeaHabari wakuu?
Nimejlitazama ile makala. Kinachoelezwa mule ni Uzushi na Upotoshaji Mkubwa ambao, ukiiutamza huoni Professionalism ya Journalism. Je, ule ni Mradi?
Cc: Pascal Mayalla View attachment 3604654
True,Mwacheni Mayalla, yuko juu ya Joni Mtembezi, ganda jeusi
Atarudi kesho
NimerejeaMayalla means NJAA in greek word..
Kijana wa RostamMakala nzima anazungumza Balile ulitarajia nini?