Ubaya wa UKIMWI ni kuwa hawajifii wenyewe, walio wengi tena hasa hawa wenye fedha wanaueneza na kwaivyo unasambaa. Ukifikiri zaidi utaona kuwa si kitu cha kutakia mtu akipate as hakiishii kwa yule anayekipata. Kama mtu anaweza kusihi nao muda mrefu ina maana ana uwezo wa kuambukiza hata kwa wasio makahaba.
Potelea mbali, ilimradi kuwe na historia kwamba kati ya hao watakao kufa na UKIMWI wabunge vicheche walikuwepo.