Makahaba wa Kinyarwanda wawakirimia Wabunge na WanaCCM Dodoma - HabariLeo

Tusiwalaumu na kuwasikitikia ,TUNAPASHWA KUWAPA ELIMU YA UJINSIA NA MAHUSIANO VINGINEVYO WATAJITUPIA TU KICHWA KICHWA WAANGAMIE, TUWE MAKINI SANA, NA TUWASAIDIE KWA HILI ANGALAU WAJITAMBUE,.:focus:
 
Yamezungumzwa mengi, mada nyingi kuhusu tabia ya makahaba kushamiri Dodoma kipindi cha mikutano ya Bunge na vikao vya CCM, lakini sijawahi kuona jitihada zinazofanyika kuiondoa aibu hii kama wafanyavyo kuwasweka ndani makahaba wa kule mitaa ya wilaya ya Kinondoni na Downtown Dar.

Pamoja na Dada zetu, mabinti zetu, ndugu zetu wakike walio katika vyuo vikuu Dodoma kuangukia kuwa wahanga kwa waheshimiwa hawa, imefikia hawatosheki hadi kuanza kupenyeza wanyarwanda kwani soko linaonekana kusheheni ndio maana madai ya kuongezewa mishahara na posho haviishi kwa sababu kuna ziada ya kuwalipa wanaowakirimia ngono watokapo pale mjengoni.

Hata Waziri Mkuu Pinda aliwahi kutetea nyongeza ya posho kwa kusema kuwa unakuta mbunge awapo Dodoma anavutwa shati na wageni wake eti wakitaka awasaidie japo vihela kidogo. Kumbe ndio madudu wanafanya??? Halafu unakuta mahudhurio Bungeni yanakuwa hafifu kumbe waheshimuwa wako mahotelini wanagegeda!
 
Hawa wabunge wakiume wa bongo ni walafi; hao wanawake wao wa viti maalum waliowajaza humo hawawatoshi mpaka waimport wengine? ndio maana wanapoambiwa wapimwe ukimwi wakiwa hapo Dodoma wengi wao [ wanawake kwa wanaume] huwa wanakimbia; waathirika kati ya wabunge ni wengi sana!!
 
Hawa wabunge wakiume wa bongo ni walafi; hao wanawake wao wa viti maalum waliowajaza humo hawawatoshi mpaka waimport wengine? ndio maana wanapoambiwa wapimwe ukimwi wakiwa hapo Dodoma wengi wao [ wanawake kwa wanaume] huwa wanakimbia; waathirika kati ya wabunge ni wengi sana!!


Nijuavyo mimi karibia wabunge wengi wa kiume wa bongo wameathrika. Sasa unataka kuniambia kuwa hawa wabunge wa ticketi ya kupewa ni chakula cha hawa wabunge? Kama ni kweli basi tumekwisha maana mimi kuna mbunge fulani wa kanda ya kaskazini nammaindi kweli ila kila nikimtafuta naambiwa katoka kidogo, ni mara tatu sasa naambiwa hivi.
 
Wabunge ni rolemodals wa wapigakura wao. Sio wabunge tu wanaotisha kwa ufuska, sasa hivi watanzania wengi priorite yao kubwa iko kwa ngono. Kuna mambo mengi sana ya kutisha yanafanyika humu mijini kuanzia wake na waume za watu mpaka wasio oa au kuolewa. Kwa walio katka maofisi huko mambo inatisha kuliko upeo wa akili ya kawaida. Kabla ya kumtazama jrani yako jtizame mwenyewe kwanza. Kwa matendo yetu haya hatuwezi kupona hata mmoja ila kwa neema ya Mungu tu.
 
nahisi hao wadada ndio wanowashawi wabunge wetu kulilia posho kila siku.!
 
Dada yangu,
Hamasa ipi kwa watu kama wabunge? Unapozungumzia jitihada kufanyika kuhamasisha unamaanisha elimu ya afya ya uzazi na ngono salama.
Watu kama wabunge ni watu wazima,waelewa,wakomavu na wasomi,leo hii ukisema tuanze kutoa elimu ya afya ya uzazi kwa watu kama hawa ni kichekesho.
Leo unamwita mchumi first class unamfundisha kutumia mpira ni kichekesho sana.
Pia ukisema makahaba ndio wanawaambukiza wabunge ni upande mmoja,upande wa pili ni waheshimiwa wanawaambukiza makahaba.

Sikumaanisha elimu kaka, na ndo maana hakuna sehemu ya nimetaja elimu. Natambua fika kuwa wanafahamu madhara ya matendo yao. Ishu hapa ni wao kuacha kudumisha biashara ya ukahaba kwa kutumia huduma zao. Niliposema pande zote mbili zinapswa kubadilika nilimaanisha anayefanya ukahaba anaweza tu kuacha pale ambapo hakuna anayenunua huduma kutoka kwake.
 
hii ni aibu kwa kweli.
halafu kwa nini gazeti linaibeba habari hii kwa umuhimu.
 
Hawa wabunge wakiume wa bongo ni walafi; hao wanawake wao wa viti maalum waliowajaza humo hawawatoshi mpaka waimport wengine? ndio maana wanapoambiwa wapimwe ukimwi wakiwa hapo Dodoma wengi wao [ wanawake kwa wanaume] huwa wanakimbia; waathirika kati ya wabunge ni wengi sana!!

Kuna kipindi cha masomo radioni wakati bado elimu ingali ya kiwango nchini, nilipokuwa shule ya msingi nasikiliza kipindi hicho sauti hii katu haijatoka masikioni mwangu na napenda kushirikisha; "ZAIDI MTU APATAVYO NDIVYO ATAMANIVYO!" Nijuavyo ilikuwa ni nukuru kutoka ama kitabu cha Alflela Ulela au kingine nitakuwa nimesahau jina lake. Hata malupulupu kwa siku yangejaa kapu katu hawataridhika. Mwenye kujawa na kuridhika na amjaliacho Mungu kidogo alicho nacho ni utajiri tayari. Utajiri ni moyo wako kati si materialism. Matajiri wanakufa huku mali yote waliyokuwa nayo ni sanda nyeupe.

Mcheza movie miaka michache iliyo pita Steve Halvey wa nchini Marekani baada ya kubadili msimamo kuona mzunguko wa maisha yake unampeleka kusiko, akaamua kurudi kanisani, na sasa anaendesha kipindi cha maonyesho ya
FAMILY FEUD. Alisema wakati hajamrudia Mungu pesa mfukoni pamoja na kujaa alijiona kama mtupu hana pesa kabisa. Lakini sasa hivi $ 20 akitoka nayo nyumbani inamtosha na kurudi na change. Nadhani mmenipata na tumempata ndugu Steve Halvey.
 
hii ni aibu kwa kweli.
halafu kwa nini gazeti linaibeba habari hii kwa umuhimu.

Gazeti limefanya vema maana hawa makahaba Wanyarwanda walishatinga Dodoma kuwapokelea Wabunge wanaoanza vikao vya bajeti. Hawa waandishi wa habari wako kila kona na wanajua kinachoendelea kuliko wewe na mie.

Wamefanya vema kuutaarifu umma wa watanzania wajue kinachoendelea kwa wawalikishi wao wanachokifanya Dodoma badala ya kazi tuliyowatuma kufanya mjengoni. Utakuta viti vitupu, ni watoro, kumbe wako kugegeda na Wanyarwanda na baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu vya Dodoma.

Unaona wazee wazima wazima wanachapa usingizi bila aibu na wamediriki kusema waandishi wasiwapige picha wakati wanapopiga usingizi, kumbe huwa wanaingia mjengoni wamechoka kufanya ngono na makahaba.

Siri moja ya ngono:
Ukifanya ngono mara moja iwe mwanaume au mwanamke, mchoko wake kitaalamu ni sawa na kukimbia KM 7 kwa saa. Akiongeza awamu ujue kila awamu ni sawa na KM 7. Niambie kwa vijana nguvu bado ipo, kwa hawa wazee na umri ndo umeenda waache kulala mjengoni? Ndio maana wanamichezi wanakatazwa mahusiano ya ngono wawapo katika maandalizi ya mechi.

cc;
Michelle
 
:nono: :hurt:
Hivi hatuna sera zinazowabana hawa waheshimiwa kimaadili juu ya hii mambo?
Moja ya speech ya Mwl J.K Nyerere aliwahi kutujuza kuwa kuwa waziri mdogo katika nchi ya Uingereza aliwajibika kujiuzulu ili kulinda heshima juu ya hii mambo. Kwa nini kwetu tusiwe sheria za kuwabana viongozi wetu juu ya maadili yao. Japo tunajua nao ni binadamu wenye hisia kama wengine
.
:A S 39: :behindsofa:
 
Hii habari imepewa umuhimu kwa kuwa ni aibu kwa taifa juu ya hawa viongozi wetu.
Itafikia pahala picha zao tutaziweka humu ndani ili wana JF waone baadhi ya watunga sera wanavyotia aibu.
 
Back
Top Bottom