and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,224
- 39,704
1. Ndugu zangu tuchukue tahadhari tukitembelea Dodoma hususani wageni wa mji wa Dodoma (unamkuta yupo pale pa kisubiria wageni kama vile anasubiria Mgeni, kwa shepu na muonekano lazima ujichanganye. Miwani Kwenye gari anadai twende ukalale kwangu.,.).
2. Nimetapeliwa na demu pale SGR station Dodoma kwa njia ya ajabu Sana kwa ahadi ya mapenzi.
3. Demu anaonekana anajiweza sana, muonekano na gari analotumia. Ghafla akadai anafanya biashara ya pikipiki anataka tufanye wote. Tukiwa room anaomba nimtumie 3m kutoka benki yangu kwenda akaunti yake ili kumlipa supplier wake wa Dar.
4. Mpaka muda huu najiuliza nilitoaje Ile pesa huenda anatumia dawa aisee
Yani umekula mzigo halafu ukaombwa hela ukatoa hapo umetapeliwaje bwashee?Mkuu hapa nimekuelewa yaani yasipomkuta mtu hawezi kuelewa.
Hapana hakuna dawa / uchawi ni wewe mwenyewe na upwiru wako / hii DUNIA SIO ya wanaume dhaifu pole sana sanaa kaka.1. Ndugu zangu tuchukue tahadhari tukitembelea Dodoma hususani wageni wa mji wa Dodoma (unamkuta yupo pale pa kisubiria wageni kama vile anasubiria Mgeni, kwa shepu na muonekano lazima ujichanganye. Miwani Kwenye gari anadai twende ukalale kwangu.,.).
2. Nimetapeliwa na demu pale SGR station Dodoma kwa njia ya ajabu Sana kwa ahadi ya mapenzi.
3. Demu anaonekana anajiweza sana, muonekano na gari analotumia. Ghafla akadai anafanya biashara ya pikipiki anataka tufanye wote. Tukiwa room anaomba nimtumie 3m kutoka benki yangu kwenda akaunti yake ili kumlipa supplier wake wa Dar.
4. Mpaka muda huu najiuliza nilitoaje Ile pesa huenda anatumia dawa aisee
Hapo hakuna utapeli bwashee safi snaHapana hakuna dawa / uchawi ni wewe mwenyewe na upwiru wako / hii DUNIA SIO ya wanaume dhaifu pole sana sanaa kaka.
Huku pakiwa madawa ya kulevya kwenye chuchu ukajikuta umelala umeibiwa Kila kitu..Mimi ni nadra sana sanaa kumwamini mwanamke stranger.
Tena sisi wapiga pombe Huwa tuna usingizi sana usiku baada ya gemu plus pombe..ila ndio ivyo akili ku mkichwa HATUJAWAI kutapeliwaa..
Kwako min -me
Sio afrika tu popote duniani , ukinunua mbunye magumashi yapoIla Africa ....!π€
Niliwai kuhonga pesa yote ya ada nikajua TU ntaipata haahaa sisi wa government enzi izo ada 75,000 πππππHapo hakuna utapeli bwashee safi sna
Hiyo 3m ungeenda Riverside ungefunga na vijiwe vyenyewe vyote na change ingebakiππππ1. Ndugu zangu tuchukue tahadhari tukitembelea Dodoma hususani wageni wa mji wa Dodoma (unamkuta yupo pale pa kisubiria wageni kama vile anasubiria Mgeni, kwa shepu na muonekano lazima ujichanganye. Miwani Kwenye gari anadai twende ukalale kwangu.,.).
2. Nimetapeliwa na demu pale SGR station Dodoma kwa njia ya ajabu Sana kwa ahadi ya mapenzi.
3. Demu anaonekana anajiweza sana, muonekano na gari analotumia. Ghafla akadai anafanya biashara ya pikipiki anataka tufanye wote. Tukiwa room anaomba nimtumie 3m kutoka benki yangu kwenda akaunti yake ili kumlipa supplier wake wa Dar.
4. Mpaka muda huu najiuliza nilitoaje Ile pesa huenda anatumia dawa aisee
Hiyo kitaalamu inaitwa Trust at first sightSio afrika tu popote duniani , ukinunua mbunye magumashi yapo
Kwa akili hizi ndio unataka kuandamana kupinga uvamizi wa US huko Iran? Wewe mwenyewe unahitaji ukombozi kwanza.1. Ndugu zangu tuchukue tahadhari tukitembelea Dodoma hususani wageni wa mji wa Dodoma (unamkuta yupo pale pa kisubiria wageni kama vile anasubiria Mgeni, kwa shepu na muonekano lazima ujichanganye. Miwani Kwenye gari anadai twende ukalale kwangu.,.).
2. Nimetapeliwa na demu pale SGR station Dodoma kwa njia ya ajabu Sana kwa ahadi ya mapenzi.
3. Demu anaonekana anajiweza sana, muonekano na gari analotumia. Ghafla akadai anafanya biashara ya pikipiki anataka tufanye wote. Tukiwa room anaomba nimtumie 3m kutoka benki yangu kwenda akaunti yake ili kumlipa supplier wake wa Dar.
4. Mpaka muda huu najiuliza nilitoaje Ile pesa huenda anatumia dawa aisee
Mimi kwenye maulevi nilisha tunza kwenye live band zaidi ya mil 2 ,ambayo ni pesa ya mtaji wangu ambayo niliweka ni karata yangu ya mwisho ya kutoboa Seran πNiliwai kuhonga pesa yote ya ada nikajua TU ntaipata haahaa sisi wa government enzi izo ada 75,000 πππππ
Natania TU mchaga mie nionge pesa ya ADA YA SHUREEEEE haaahaa ππ
Kaka tupo kwenye kwaresma/ ramadhan..Pumbu zako mjinga wewe